Exclusive pics: uchafu wa mwalimu wa kibasila

Exclusive pics: uchafu wa mwalimu wa kibasila

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,203
Reaction score
832,061
1425123517045.jpg 1425123550538.jpg
 
Huyu jamaa amenishangaza sana, ila matatizo Haya na mengineyo yatakuwa mengi sana Kwa walimu, wamechoka....
 
ilikuwaje akaijaza hiyo mimavi chumbani kwake
 
Dooooooo...!!! Mmmh mchizi sasa ana demu au mchumba maana nawaza Game alikuwa anspigia wapi. !! Aiseee au ana majini huyo mjamaaaaa...
 
....acheni kumlaumu bhanaaa rais alitangaza gesi itakuwa dili kwa rais ajaye, mama akaona isiwe taabu kama ni gesi basi anaaanza kukusanya taratiiibu hazina ya kutengenezea gesi...
 
Dooooooo...!!! Mmmh mchizi sasa ana demu au mchumba maana nawaza Game alikuwa anspigia wapi. !! Aiseee au ana majini huyo mjamaaaaa...

Sio mchizi yeye mwenyewe ni demu,anaitwa Gaudensia massiga
 
Nimetfta picha zake sijafanikiwa kuzipata,hata fb hakuwa na acount huyu kiumve wa ajab kwakweli
 
Ni baada ya chumba chake kuanza kufuka moshi na kutoa harufu kali na ya ajabu ndio mama mwenye nyumba akaamua kumgongea
Mwanzoni jamaa alikataa kufungua lakini mama alipokomaa na kutishia kuita polisi ndio akafungua na hicho ndicho kilichokutwa chumbani mwake

Sio jamaa ni msichana
 
Kwa mujibu wa wapangaji wenzake alikataa kushiriki kazi za usafi was choo hivyo wakamzuia kutumia choo yeye akaona poa tu kumbe alikuwa na plan B

Huyu ameathirika ana mfadhaiko wa akili na mawazo anahitaji msaada na si kumshangaa mkuu binadamu wa kawaida hawezi kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom