Exclusive: Mkubwa Fella asema Yeye ndiyo humbebea Hirizi na Matunguri Diamond Stejini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
43,016
2,000
Lol, umeliamsha dude lisilojulikana.
Hawa fans wake watakutukana utaweza kuwakabili kweli?

Kwani unadhani na Wao wenyewe ni Wageni wa hii ID iliyotukuka ya GENTAMYCINE Mkuu? Wewe umeona kuna hata mmoja wao ' kajipendekeza ' kunijibu kwa matusi? Mtatukanwa nyie ila Mimi Kazi yangu ni kunyooosha tu maelezo na kusema ukweli juu ya Jambo fulani tena bila upendeleo au unafiki na ndivyo nilivyo wala sitobadilika hadi Umauti wangu utakaponikuta.

Wakija Kistaarabu nitajenga nao Hoja Kistaarabu ila wakija Kihuni / Kisela basi nami nitawaonyesha kuwa Uhuni na Usela naujua tena kuliko wao. Na yawezekana wamenyamaza / wamejificha kwakuwa wameshajua wanakabiliana na Mtu wa aina gani ila naamini huu ' uzi ' ungeanzishwa na Member mwingine mpaka sasa hivi ' angeshayakoga ' sana ' Matusi ' na hata page 10 ungeshafikia kwani najua Team Ndomo Mondi huku JF ni wa kutosha.
 

Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,305
2,000
Huenda wasanii wote hutumia ndumba (nasema huenda) mtu anaanza kama utani na kuwa tajiri inakuaje?
 

bahati30

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,625
2,000
Huyo jamaa kulikua na tamasha leaders club lilikua organized na THT/clouds ..mvua na wingu zito likatanda mchana kweupe...RG akamuita akiwa yuko frustrated akamuuliza 'show itaharibika na mvua inashuka..we unafanya kazi gani hapa' jamaa (Fella) akaondoka chemba aliporudi wingu lilikatika na show ikapigwa..(Nilikuwepo) we jiulize MTU hata caption zake za insta kuandika hajui eti nae anatunga 'by-laws' za wakazi wa TMk..
Hahahahahah......
 

playboy babu

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
2,591
2,000
watu wanamshambulia mtoa mada baada ya wamshambulie fella....team domo punguzeni stress na shirk na kiba isingekuwa kumtanguliza Mungu mngeshampoteza pumbav zenu
 

Emmadogo

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,129
2,000
Wasanii wote washirikina tofauti yao ni njia za huo ushirkina
Wengine MIPETE
Wengine MAFUVU
Wengine MATUNGURI MAHIRIZI etc
 

playboy babu

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
2,591
2,000
Haters wa Mondi naona mnavyojazana Ila kijana hashuki bado sana
mondi ana mashabiki na misukule, misukule ni ile ambayo mondi akikosea au akizingua na watu wakisema tu utaskia "HASHUKI" hakuna mwenye haja ya kumshusha kazingua acha achanwe yaan mtu kupost humu ndo kumshusha mondi? akizingua watu wakichana waacheni au jibuni hoja ooh hashuki, hashuki, ashuke Mara ngapi katoa ngoma tatu mfululizo afu zote hovyo au unamaanisha kushuka aanze kutembea kwa miguu?
 

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,183
2,000
mondi ana mashabiki na misukule, misukule ni ile ambayo mondi akikosea au akizingua na watu wakisema tu utaskia "HASHUKI" hakuna mwenye haja ya kumshusha kazingua acha achanwe yaan mtu kupost humu ndo kumshusha mondi? akizingua watu wakichana waacheni au jibuni hoja ooh hashuki, hashuki, ashuke Mara ngapi katoa ngoma tatu mfululizo afu zote hovyo au unamaanisha kushuka aanze kutembea kwa miguu?
kama kashuka waulize Mozambique
 

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,875
2,000
Sidhani kama alikuwa siriaz, kama ndo hivyo basi amfanyie ndumba na Temba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom