Meneja(Babu tale/ Mkubwa fela) na msanii nani (Diamond) nani Genius?

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Kuna uvumi kwamba wasanii wengi hawatoboi kisa wana management mbaya.

Sasa kwa msanii mondi ambaye mameneja wake wana manage wasanii wengi kama Tale( Madee, Janjaro, Shaa) na Mkubwa Fela( Chege, mh Temba, wanaume tmk) kwa nini hao mameneja msanii diamond tu ndiyo katoboa wakati wao ndiyo mameneja kwanini wasiwameneji wengine nao watoboe.

Kwaiyo kama meneja ndiyo dawa ya msanii kutoboa mbona wengine hawatoboi na meneja wao mmoja?

Au shida siyo menejiment mbovu labda ni msanii mwenyewe tu ndo anajua kutoboa
 
Yeye mond ndiye aliwatafuta na akawambia kazi zao kwake ni nini hasa. Hivyo mwenye akili ni mond, aliwaona akajua nini anataka na wanaweza kumfanyia nini.
 
Meneja wa diamond ni salam sk hao wengine ni madalali tu wakumtafutia waganga wa kienyeji ukitaka kujua hamna kitu kichwani wasikilize wakiongea wanajibu utumbo tu.
Hivi mtu kama Babu Tale ubunge aliupataje?mtu kuongea tu shida
 
Hata Carlo Ancelotti alifundisha Tottenham hakuchukua hata Community shield, lakini anabeba makombe mengine na Real Madrid. Kwahiyo meneja kufanikiwa popote inategemea na program na progress.
Maana hata Jay Z, katoa wasanii wengi lakini waliofikia kwenye level ya mafanikio ni Kanye na Rihanna. Sasa ku fail kwa Madee sio kosa la Tale
 
Said Fella kawasimamia
Diamond
Juma Nature
Yamoto band
Chege
Mh Temba
Jux
Sumalee
Feruzi
Wanaume TMK
WCB

Babu Tale kawasimamia
Diamond
Tundaman
Madee
MB Dogg
Z Anto
Kassim Mganga
Tiptop connection
WCB

Diamond ni msanii mkubwa mwenye talent na akili kubwa sana ya muziki. Ndio maana anatambua mchango wa awa legends kwenye muziki wake.
 
Meneja wa diamond ni salam sk hao wengine ni madalali tu wakumtafutia waganga wa kienyeji ukitaka kujua hamna kitu kichwani wasikilize wakiongea wanajibu utumbo tu.
Sallam namkubali saaana sijui kwa nn
 
Sababu nyingine iliyopo nyuma ya pazia kwa Mond kuchukua mameneja wote hao ni kuua pia muendelezo wa wasanii wengine. Simply akose upinzani kutoka sehemu nyingine
 
Meneja wa diamond ni salam sk hao wengine ni madalali tu wakumtafutia waganga wa kienyeji ukitaka kujua hamna kitu kichwani wasikilize wakiongea wanajibu utumbo tu.
Sure kama Fella no hatari kwa ulozi achilia mbali huyo tale
 
Kuna uvumi kwamba wasanii wengi hawatoboi kisa wana management mbaya.

Sasa kwa msanii mondi ambaye mameneja wake wana manage wasanii wengi kama Tale( Madee, Janjaro, Shaa) na Mkubwa Fela( Chege, mh Temba, wanaume tmk) kwa nini hao mameneja msanii diamond tu ndiyo katoboa wakati wao ndiyo mameneja kwanini wasiwameneji wengine nao watoboe.

Kwaiyo kama meneja ndiyo dawa ya msanii kutoboa mbona wengine hawatoboi na meneja wao mmoja?

Au shida siyo menejiment mbovu labda ni msanii mwenyewe tu ndo anajua kutoboa
Level za kimataifa ni kitengo Cha sallam sk. So hao wanaishia tu ndan... Je Kwa ndan hawajafanikiwa
 
Back
Top Bottom