Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,633
- 28,635
Ha haa Genta mambo zako aiseUnauliza Mitumba Mchikichini?
Ha haa Genta mambo zako aiseUnauliza Mitumba Mchikichini?
Lol, umeliamsha dude lisilojulikana.
Hawa fans wake watakutukana utaweza kuwakabili kweli?
Hahahahahah......Huyo jamaa kulikua na tamasha leaders club lilikua organized na THT/clouds ..mvua na wingu zito likatanda mchana kweupe...RG akamuita akiwa yuko frustrated akamuuliza 'show itaharibika na mvua inashuka..we unafanya kazi gani hapa' jamaa (Fella) akaondoka chemba aliporudi wingu lilikatika na show ikapigwa..(Nilikuwepo) we jiulize MTU hata caption zake za insta kuandika hajui eti nae anatunga 'by-laws' za wakazi wa TMk..
MENEJA WAKE KATHIBITISHA?...kama meneja wa kiba hajathibitisha jitulize kwanza..Kaka unamhukumu diamond wakati alikiba nae ni walewale
Kuna utofauti wa viewz ngp mpk sasaIla tunguli hazifanyi kazi katika kuiba "likes" za YouTube
watu wanamshambulia mtoa mada baada ya wamshambulie fella....team domo punguzeni stress na shirk na kiba isingekuwa kumtanguliza Mungu mngeshampoteza pumbav zenu
mondi ana mashabiki na misukule, misukule ni ile ambayo mondi akikosea au akizingua na watu wakisema tu utaskia "HASHUKI" hakuna mwenye haja ya kumshusha kazingua acha achanwe yaan mtu kupost humu ndo kumshusha mondi? akizingua watu wakichana waacheni au jibuni hoja ooh hashuki, hashuki, ashuke Mara ngapi katoa ngoma tatu mfululizo afu zote hovyo au unamaanisha kushuka aanze kutembea kwa miguu?Haters wa Mondi naona mnavyojazana Ila kijana hashuki bado sana
kama kashuka waulize Mozambiquemondi ana mashabiki na misukule, misukule ni ile ambayo mondi akikosea au akizingua na watu wakisema tu utaskia "HASHUKI" hakuna mwenye haja ya kumshusha kazingua acha achanwe yaan mtu kupost humu ndo kumshusha mondi? akizingua watu wakichana waacheni au jibuni hoja ooh hashuki, hashuki, ashuke Mara ngapi katoa ngoma tatu mfululizo afu zote hovyo au unamaanisha kushuka aanze kutembea kwa miguu?