Makutano Show
Member
- Aug 3, 2012
- 21
- 65
Wana-JF
Kwenye Makutano Jumamosi hii atakuwepo katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye na baadae mkurugenzi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba.
Moja ya vitu atakavyoiongelea Nnape ni kuhusu kauli yake ya kuwa CHADEMA ina wafadhili nje ya nchi na kuwa harambee ya M4C Jumamosi Serena hoteli ilikuwa ya kisanii. Pia atazungumzia mambo mbalimbali ya ndani ya chama.
Ruge Mutahaba ambaye nilifanya nae kazi wakati nikiwa Clouds FM atazungumza kuhusu maisha yake binafsi na ya kazi na changamoto walizokutana nao hadi kuufikisha Muziki wa bongo hapo ulipo.
Kama kawaida nitapenda kupata maswali toka kwa wanajamvi hapa ambayo watayajibu moja kwa moja kwenye kipindi.
Na pia sasa tutapatikana online kupitia http://www.ustream.tv/channel/makutanoshow kuanzia saa tisa hadi kumi na mbili jioni na kipindi kitakuwa www.youtube.com/makutanoshow saa moja jioni.
Karibu.