na vile vile kuanzisha mahusiano ambayo unaweza fika nayo mbali ki namna fulani mfno ndoaOk,
Turudi kwenye mada ya leo. Nadhani sio mara yako ya kwanza kusikia neno online dating hasa ikitegemea wewe ni mtumiaji mzuri wa mitandao kama JF na mengine.
Unaweza kutuambia umeielewaje mada japo kwa ufupi kabla hatujaendelea mbele ?
hahahh sumbai niache ujue huyu Daby sio mtu mzuri
Huyo jamaa kakukumbatia vizuri.....kikaangoni
Hahahaa aisee.mzee baba huishiwi porojo
Kwakuwa Yeye Ni..........????Inna asije akahojiwa kwa heshima na taadjima ombi hilo
Siwez sema ndio au hapana kwasababu unaweza ukaaanzisha mausiano kweny mitandao na mtu ambae bdae ukafika nae mbali ki maendeleo na mkaoana na mkafanya maishaHeewaala, dunia siku hizi imejisogeza karibu saana...unaweza kufanya lolote kiganjani mwako na limojawapo ni hili la kufahamiana na watu au kuanzisha mahusiano mitandaoni.
Kwako hili suala la kuanzisha mahusiano mtandaoni ni sahihi? Yes/no. kwanini?
hahahhhHahahaa aisee.
na nitakimbia kweliNgoja Nione Maswali Yatakayo Ulizwa hapa kama MTU hajakimbia
Leo ndio Utajua Nan Adui Yako ayo maswali utakayo ulizwa Ah ah ah ah ah ah siyapatii Pichana nitakimbia kweli
Khaaa naanzaje kujibu nasepa tehLeo ndio Utajua Nan Adui Yako ayo maswali utakayo ulizwa Ah ah ah ah ah ah siyapatii Picha
Huyo jamaa anaweza kumhojo akahamia hadi pm. Namjua huyu usimuone hivoTeh tehhhhhhh....
Baba ushaanza kujistukia....
Jibu banaaKhaaa naanzaje kujibu nasepa teh
Kwanza maswali Yanaanza Saa Ngap. ..??Khaaa naanzaje kujibu nasepa teh