shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Nambe na Shansarie nimewakubali, ila uran ulipaswa kuleta huu uzi mapema bhana.
Shukran
Nambe na Shansarie nimewakubali, ila uran ulipaswa kuleta huu uzi mapema bhana.
Kiukweli hadi nimefika mwisho cjajua nia yako maana sijapata jibu la heading yako ni km vile unachunguza kitu ila nimeinjoy asante
mbona mengi umeyaongea humu ndani? na jibu limekuja moja kwa moja, kwa sisi wachambuzi wa mambo tupeta mengi kutoka kwako.
Asante. Ila challenges mmezitaja sana tu, na hongera kwa kuwa imara.
Ni mjadala wa kawaida tu hakuna kinachochunguzwa mkuu.
usipende jina tu
hope u can do it mr.
Shukran
Niligungua ana mwanamke mwingine tukiwa bado kwenye mahusiano na alizaa nae na mara nyingine analala kwake na mipango ya arusi walikuwa wanafanya nikaona isiwe tabu ngoja nitambae niendelee na maisha yangu.iliuma sana but hadeserve my tears hata kidogo.wanaume saa nyingine ni viatu sana nilimpenda wakti hana kitu hana mbele wala nyuma hata kazi aalikuwa hana elimu hana.niliridhika nae,akaja dar akawa mjanja kapata kazi maendeleo kidogo kaniona sifai.lol bad experience
Kitu ambacho kiukweli nakumbuka kwa huyu jamaa ni kweli alikuwa mstaarabu na aliniheshim na kuheshim mahusiano yetu...
Kwa miaka miwili nliyokuwa nae sikumbuki kama tuliwah kugombana na hakuwah kunionyesha dalili ya usaliti japo nlimbania papuchi
Yeah huwa namkumbuka sometimes kwa mazuri yake.
Ila hatukuwahi kuonana tena baada ya kuachana rasmi japo tulikubaliana kubakia kuwa marafiki.
Nyie wanawake kwanini huwa mnadhani wanaume tu ndo wanachangia mahusiano kuvunjika bla kujichunguza kwanza wenyewe?
Je ka aliona hujui kupika, unanuka k au mdomo, unatoka vitu vyeupe kunako k je?, huthamini ndugu zake nk.
Yani mnataka kuolewa tu wakati mmebweteka na hata kuosha miguu mpaka kwa wauza urembo!
Kwanini huwa mnatusingizia?
Interview ni nzuri sana... Nimejifunza kitu kutoka kwa Nambe hasa katika hii kauli " Akishaitwa ex..inamaanisha
anabelong kwenye past yako na
wewe kwenye past yake.
Kuna watu wapya ambao wako
kwenye present yetu ili
tusiumizane ni vizuri past ikabaki
kuwa past" ..... Safi sana na Mungu aendelee kuisimamia ndoa yako!
Hongera sana mkuu uran kwa interview nzuri... Hongera pia shansarie
Kuna thredi humu mwanamke analalamika mpenzi wake sio mkali ni mstaarabu hata akiona anapigiwa simu.
Kweli wanawake tunapaswa kuishi nao kwa akili sana.
Interview ni nzuri sana... Nimejifunza kitu kutoka kwa Nambe hasa katika hii kauli " Akishaitwa ex..inamaanisha
anabelong kwenye past yako na
wewe kwenye past yake.
Kuna watu wapya ambao wako
kwenye present yetu ili
tusiumizane ni vizuri past ikabaki
kuwa past" ..... Safi sana na Mungu aendelee kuisimamia ndoa yako!
Hongera sana mkuu uran kwa interview nzuri... Hongera pia shansarie