Exclusive Interview! Motion: New relationship over the Old Ones!

Exclusive Interview! Motion: New relationship over the Old Ones!

Naamini ni kujiendekeza tu...kwangu binafsi naheshimu good memories nilizokuwa nazo na my ex...
Na zinabaki hivyo hivyo kuwa memories "kwa faida ya kila mtu".

"kwa faida ya kila mtu." unamaanisha nini?
 
Okay! na safi.
but do know just a little bit about the past relationship ya mpenzi wako wa sasa?
alishakuwambia?

Hajaniambia na sijamuuliza mengi zaidi najua walikutana wapi na kwa nn waliachana mengine siitaji kujua sana
 
"kwa faida ya kila mtu." unamaanisha nini?

Kwa faida yako binafsi na mpenzi wako mpya
Na yake na mpenzi wake mpya..
Akishaitwa ex..inamaanisha anabelong kwenye past yako na wewe kwenye past yake.
Kuna watu wapya ambao wako kwenye present yetu ili tusiumizane ni vizuri past ikabaki kuwa past.
 
Okay okay!
poa na ninashukuru sana sana kwa wewe kushiriki huu mjadala.
asante sana.
 
Hajaniambia na sijamuuliza mengi zaidi najua walikutana wapi na kwa nn waliachana mengine siitaji kujua sana

Poa na ni vizuri sana kufanya hivyo.
Nakushukuru kwa kubali kushiriki katika mjadala.
Ubarikiwe sana.
 
Mapenzi yangekuwa elimu kuna watu wangepewa PhD za hivi hivi. Mi nahisi nina crrtificate tu
 
Okay okay!
poa na ninashukuru sana sana kwa wewe kushiriki huu mjadala.
asante sana.

Karibu tena...
Hope nimefanya ulichokitarajia. uran
 
Last edited by a moderator:
Poa na ni vizuri sana kufanya hivyo.
Nakushukuru kwa kubali kushiriki katika mjadala.
Ubarikiwe sana.

Kiukweli hadi nimefika mwisho cjajua nia yako maana sijapata jibu la heading yako ni km vile unachunguza kitu ila nimeinjoy asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom