uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,681
- 20,446
- Thread starter
- #81
Ilikuwa hivi...mimi nilipata shule nikaenda zangu A level pale pale mkoani kwetu...ilikuwa boarding...alinisindikiza mpaka shule...
Baada ya hapo nikawa nawasiliana nae kwa simu za friends mara moja moja....
Baada ya muda yeye aliondoka akaenda shinyanga mi nkiwa arusha...
Tukawa tunawasiliana kwa tabu sana matokeo yake mawasiliano yakapotea kabisa...
Namba yake ikawa haipatikani.....
Nikaamua kuconclude kuwa its over...
Haikunitesa sana coz nilikuwa najua it has to be that way kwani sikuwa na future nae.....
Nilipomaliza form six nikiwa nimeshasahau kabisa habari zake akaja home na kuomba tuendelee ila sikumpa hiyo nafasi
Ulikuwa ushapata mwingine?