uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,681
- 20,446
- Thread starter
- #101
Mmh naweza kusema am happy with present relationship kwani hiyo ya past pamoja na kumwamini bado nilikuwa na mashaka nae but huyu sina nashaka nae japo si mda mrefu sana tangu niwe nae bt i trust him than ex. Sex sitaki kuizungumzia sana but alikuwa na kaubinafsi kakujiridhisha mwenyewe ht ukimwambia anapuuzia mara chache anasikiliza bt huyu tunaelewana he is the best.
Hongera sana! sema umemtaja sitaweza kukuuliza baadhi ya maswali afu nkakuta nakuharibia..
then shansarie! uliwahi kumpa ex wako zawadi yoyote? au yeye aliwahi kukupa chochote kama zawadi? the thing which u have until now..
or kwa upande wake
Last edited by a moderator: