Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Mkuu naomba nikutoe wasiwasi.. "visichana" na "vivulana" vingi vinavyosoma huu uzi, wala havina clue ya kitu kinachoendelea hapa. Nimetangulia kusema this sh*t is deep!
no kakaangu hapo unakosea
sio kila mwanamke
kuna ambao tunaamini ktk upendo na tumekuwa na watu ambao hawana kitu
bt ana vision na anabidii ya kutafuta
sio coz nimekupenda ndo ukae tu nakupiga chini
Hapa ndipo penye tatizo kubwa la msingi, ambalo watu wengi hawataki kuliona. Ukishaona mwanaume umefikia point ya kuona kwamba ili mdada akuvulie pichu lazma umhonge, then something is terribly wrong somewhere! It sn't spossed to be like that.. where did we go wrong?data nahsi kunapointi imekuvuka.. Kunapost anasema "kutoa hela haimaanishi avue pichu, hlo ni swala jingne linalohtaji ushawishi mwingne, anatumia hela yako kwa ajili ni ukatili kukataa huruma yako.
Kuwa na itikadi za kipare ni vizuri saa nyingine!!imeandikwa amelaaniwa mtu anayewasahau watu wa nyumbani kwake.Kuhonga ni sawa nakula unga ukianza hauachi,Kuna watu wamejipa majukumu ya ubabaJana nilikuwa nastorisha na wadada in their late 20's. Mawazo ya huyu sista ndo mawazo ya wanawake walio wengi sasa hivi, dunia imebadilika, baadhi ya wanawake ''wamechoka'' kufikiria... Wanahitaji ready-made, they are tired to strive on their own. Free lunch and dinner, then getting laid is the modern game..
tatizo kubwa kwa wanaume, wazazi wako wanaishi maisha ya kubangaiza, yawezekana kabisa una watoto wanaoishi maisha magumu, then unamsapotpi mwanamke ambaye hata asante kwake ni issue, i see the problem with men....some men are just ignorant kwa kweli.
lara 1 has been realistic but sorry to a.sses with a mentality of this kind..
Lala 1 mwanaume ndo huwa mtu wa mwisho kuamua matumizi ya kinga(Condom)..Kutokana na life style yako bila shaka Condom kawa rafiki yako wa karibu ili uendelee kula hizi raha maana hatujui kama tuendapo zipo.Swali ushawahi kulala na mtu mkakubaliani avae then wakati wa majambozi akaivua Condom juu kwa juu?kama ilitokea ilikuaje ulivyogundua kama haijatokea ikitokea utafanyaje?
Swal la dogo la nyongeza:Ikitokea umepata mimba kwa mistake zozote upo tayali kuzaa?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
kwa MAWAZO NA MAANDIKO YA LARA NI AINA YA MABINT WANAOJIUZA KWA VIBOPA. SOMA KOMENT YAKE HAPO JUU ANAMREFER AUNT YAKE(5O YEARS) KWAMBA BADO ANACHUNA MABUZ,..
THATS WHY I SAY SHE IS UNLUCKY TO HAVE TO SHARE THE BLOOD....WITH RELATIVES THAT SELLS PUU**Y FOR MONEY..
LAKINI HOJA YANGU KUBWA HAPA NI VISCHANA AMBAVYO NAONA VINAMPRAISE LARA.. SAD.
SHE IS JUST,, ILL.
KOMA UKOMAEEEEEEEE! Aunt yangu mzuri, na alikuwa mjane tangia 34 years ULITAKA NAE AFE NA KIKOKO???????? Kwani alipenda kufiwa? Ndio alifiwa but LIFE HAD TO O ON and she is still a woman. Hao wanaume wanaochunwa WAMETAKA WENYEWE! Kilichowatoa kwa wake zao?????????
Nishakwambia KUPIGWA PUMBU FREELY SIO GUARANTEE FOR HAPPINESS!!!!!!!!! Watu kibao wanapigwa free pumbu miaka hadi miaka hakuna happiness yoyote zaidi ya kuchakaa tu abortions zisizo na idadi.
WAKEUP GIRLS!!!!!!!!!!!!! ITS NOT WORH IT.
Ndio maana nikasema kama wewe ni mgeni kwenye mambo ya mapenzi, na unatumia mbinu za kizamani kama hii ya kuhonga, ukikutana na mwanamke mjanja utahonga na papuchi hupewi! Achana na wanawake type hii. Unaweza kupata wanawake wengi tu kwa gharama ambazo ungetumia kumpata huyu mmoja! lolTheChoji tatizo linaanzia kwetu wanaume, na hili lilikuzwa na sisi akina "domo zege" ukifika pochi ndio inakuwa mdomo na kwasababu mwanamke ni bnadam na vizuri anavipenda pesa ikajaa akilini zaidi ya maneno matam. Sahv tunamtafta mchawi kumbe tumejiloga wenyewe.
Kwahiyo Lara ni kila mwanamke?
Okay, suppose ni kweli, basi live with it or die; hayo malalamiko ya kila siku yanaboa. Au sijui unataka kujicomvice nini, maana ni wewe mwenyewe ushakuja na shuhuda za watu wenye kile ulichokiita real love.
This lady is smart and a realist who knows what she wants,when and how to go about to have it!if i were a man this would be the type of woman to go for!Smart women are always seen to be weirdos because of their high thinking capacity and realistic ways of tackling and handling life!! Lara1 is smart and brave,thats all i see!:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
no kakaangu hapo unakosea
sio kila mwanamke
kuna ambao tunaamini ktk upendo na tumekuwa na watu ambao hawana kitu
bt ana vision na anabidii ya kutafuta
sio coz nimekupenda ndo ukae tu nakupiga chini
This lady is smart and a realist who knows what she wants,when and how to go about to have it!if i were a man this would be the type of woman to go for!Smart women are always seen to be weirdos because of their high thinking capacity and realistic ways of tackling and handling life!! Lara1 is smart and brave,thats all i see!:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
Trust me, if u were a smart man, u wldnt go for such a woman. Ask urself.. whats in it for you? Either way as a man u stand to lose.. so why go for her?
Ndio maana nikasema kama wewe ni mgeni kwenye mambo ya mapenzi, na unatumia mbinu za kizamani kama hii ya kuhonga, ukikutana na mwanamke mjanja utahonga na papuchi hupewi! Achana na wanawake type hii. Unaweza kupata wanawake wengi tu kwa gharama ambazo ungetumia kumpata huyu mmoja! lol
^^
Nimewahi kuleta mada hapa kuwa Mbele ya pesa kila goti la mwanamke litapigwa, niliandamwa..sasa at least mmeona hali ilivyo.
..
Benki zetu ziandae FEDHA HALALI KWA MALIPO YA MWANAMKE.
lara 1 si mnafiki ila kuna wanawake wanajifanya saints wakiona noti hizo yatakuwa Yes Sir
^^
^^
Unazunguka pale pale
Mwanamke aina ya lara 1 ni mzuri maana unamjua tangu mwanzo kuwa hapendi wanaume wa pato la chini, binafsi mwanamke wa aina hii simhitaji hata kama wa bure! Maana natambua pesa ni maua, si wakati wote ntakuwa na pesa! Pia wakujifanya ana upendo hali ikiyumba anaondoka huyo ni hatari kuliko sumu ya nyoka..ni ndege arukae kila mti kutafuta vilipoiva na ku-pretend ana real love kumbe mchumia ukoo!
All in all wanawake wa toleo la sasa,
MONEY IS YOUR HUSBAND
^^
^^
Mi sikulala aisee