ME NI MWANAUME, NARUDIA TENA NI MWANAUME LAKINI KIUKWELI NIMEMWELEWA NA KUMSOMA #lara 1 MWANZO MWISHOOO!! KIFUPI HAPA WANAUME TUMESEMWA KIAINA KUHUSU TABIA ZA KUHONGA OVYO, UKIWA MAKINI KUSOMA HII THREAD UTAELEWA KUWA #lara 1 ana encourage wanaume wachunge mifuko na zipu zao, ukiwa makini zaidi utagundua anafundisha wadada wenzie wasiteseke kwenye ndoa na mahusiano(in the name of love) kwa ujinga ujinga wa kusema 'nampenda ivo ivo'....
lara, mimi nina swali, interview sijui ishaisha.!! kama una mpenzi wako mmoja, ana mihela, anakutreat vizuri na unapata mema yote unayoyataka. je hapo utasema anakuhonga? je wewe utajihesabia kuwa unamchuna au mazingira hayo yapo vipi.?
Binafsi sioni tatizo katika mawazo ya mtu yeyote + mienendo yake. Nobody else has control on that except him/herself.
Kwa maana hiyo, kila mtu atafute mtu wa kulingana na uwezo wake. Na pia kila mtu ajipime kabla ya kuparamia watu ambao anaona kabisa wamemzidi viwango. Najua hili ni gumu sana kwa wanaume walio wengi. But failure to take it in the equation is not excuse in case smarter women take an advantage of that loophole.
Babu dC!!
Mdogo wangu Husninyo,
Neno kuhonga/kuhongwa haliwahusu BF/GF au mume/mke...umeelewa??
When it comes to Bibi, huwa siangalii gharama kwa sababu its my duty to make her happy...(ingawa pia najua kuwa ni vigumu sana kumridhisha mwanamke in material terms)!
Babu DC!!
Mhhhhhh!Hi guys
Mi mgeni humu hivyo kwanza salamu kwenu pili poleni kwa majukumu. Nami nikiri mjadala ulikuwa interesting sana na wa lakini sina uhakika kama unafundisha sana,ila ndio kawaida ya mambo yanayovutia sana.
Swali kwa lara1
Kutoka kwenye maelezo yako na kwa kawaida ya pesa sio za kuweka ni za matumizi,itakuwaje pale utakapokuwa na pesa zako za jasho lako za kitosha na ukawa na karibia kila kitu kinachohitaji pesa je bado utaendelea kutoa kwa pesa?
Pili ni maelezo yako yanaonyesha kuwa mama yako haishi maisha unayoishi wewe,je unadhani anakosea na kwamba she is old school?
Tatu ni kwamba huoni inaweza ikatokea siku uliokula vyao wakakutana kwa bahati na wakapanga baya dhidi yako kwasababu mali ya mtu haiendi bure?
Nne dini yako haitoi mafundisho ya kukataza hayo kwamba yakupasa sasa kifikiria kuacha kabisa hayo?
Mwisho ni kwamba unacho amini wewe ni kutokana na kuruhusu akili yako kuamini hivyo,jambo lililosababishwa na mazingira uliyokulia.tunachoamini sisi tulio tofauti na wewe ni kutokana na maisha tuliyokulia.je huoni kama kuna haja ya kufanyia utafiti msimamo wako kujua ukweli kama sisi tunavyofanyia utafiti msimamo wako? Maana unaonekana uko defensive sana.
Sorry kama nitakuwa nimekukwaza na swali lolote.
Thank you mkuu...
sioni kwa nini watu hawalioni hili
kila mtu aishi kwa utashi wake...hupaswi kumpangia mtu morals zako...
it is so simple
Mandela aliwahi kusema 'sometimes to quit is to lead'
hupaswi kukomaa na usiyoyaweza
Naomba utuandikie kwa kiswahili mkuu.......
Babu DC!!
Good! You should never bother! Hapa unasema hivi dakika kumi nyingi unaanza kunichimba.
Huduma gani? Who is talking about huduma? Usichanganye madesaa kabisaaa! Huduma na pesa haviingiliani! Kula esa yako doesn necessarliy mean ndo im into you na pichu navua! Thubutu yakoooo! Kiherehere hako kunihonga mie nalaaa tu, ila sex is another issue kabisaa amabayo haihusiai.
It doesnt mean kukea hongo yako ndo utapata sex, you are not evenclose. Mie napokea cause its RUDE tu anakupa kitu then wewe unaktaa kwa dharau. NDO MAANA NALIZIMIKA KUPOKEA! Hahahaaaa!!!!!!!!
To hav sex with me YOU HAVE TO OUTMART ME WHICH AINT EASY EITHER, AU YOU GOTTA TRICK ME NIKUONEE HURUMA. To me sex is always just a GAME, If i win n i control your mind hutokaa univue pichu, if you win then you are LUCY we will see for how long will you continue to be lucky.
Ndo maana nikasema for a man tobewith me HE HAS TO WORK HARD TO MAKE ME STAY.