EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......



halooooooooooooooooooooooooooooooooo aisee meniacha hoi!
 

FUTA KULI YAKO MKUU! Kamwe mimisitokuja kujitapa sababu ya MWANAUME!!!!!!!!! Thubutu yenu wanaume! Kama nilvosema hela za wanaume NAKULA, KUNYWA NA KUNYA BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSSSS!!!!!!!!!!! Sitangazi dhiki kwa mwaname asilani!

So kama hizo bier ndo kujitapa sababu ya wanaume sawa, ila kama bia mikojo tu basi NITAKE RADHI! Nijitapa kwa jeuri yangu mwenyewe.
 
hahah! lara 1 umenifurahisha kwa hii interview, nafikiri wanaume wachukulie kama challenge badala ya kukumwagia povu watafute mshiko kwa bidii, kama unaona kuna wanawake dizaini ya lara wanaopenda mazito na wewe una mtu wako karidhika nawe basi mjali kwa hicho hicho ulichonacho. na kwa wanawake wengine," iga ufe".
 
Last edited by a moderator:
EXACTLY BABU!!!!!!!!!!!! Watu wanasema UTUUZIMA DAWA!!!!!!!Una point kubwa sanaaa! KUHONGA AMA KUWA BAHILI NI UAMUZI WA MTU BINAFSI! Mwenine anapenda vya kunyonga, mwengine vya kunyonga haviwezi anapenda vya KUCHNJA! Hata usipomuomba anapenda tu kukutreat mtu wake VIZURI, mwenyewe tu anakumwagia mipesa kibao kibao, anakupeleka sehemu za maana, anaku treat na expensive gifts, hivo yani anajisikia baridaaaa kutumiafuba lake kukufurahsha, bila kunganganiza wala kumshurutisha.Mwengine mke wake wa NDOA hampi hata kumi, atakopa mama wa watu kia mtaa, atapauka, atachakaaje! Vitu vizuri anaviona kwa wenzie tu. Na mara nyingi unakuta wako so loyal kwa waume zao.SO KUTOA AU KUBANA NI TABIA TU YA MWANAUME!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:


my lovely brother, we didnt go wrong anywhere.

mwanaume kumhongo mwanamke ni kitendo ambacho ni automatic sana,

Mungu alimwambia Adam kwamba atakula kwa jasho lake, what did HE mean exactly? ah jamani
 
Some one once told me "almost every lady there is a point anajiuza either directly or indirectly either kwa kujua au kwa kutokujua..." this thread made me remember whatshe told me.

kama kila lady anajiuza basi na kila mwanaume ananunua. yaani ukiwa jf hasa mmu unaweza kuwa na perception mbaya juu ya mahusiano. ila unachokisoma humu unatakiwa uchanganye na akili zako.
 

lara, mimi nina swali, interview sijui ishaisha.!! kama una mpenzi wako mmoja, ana mihela, anakutreat vizuri na unapata mema yote unayoyataka. je hapo utasema anakuhonga? je wewe utajihesabia kuwa unamchuna au mazingira hayo yapo vipi.?
 
haya ni mawazo ya kawaida kwa watu wa kawaida , ukitaka kua mtu wa kawaida kuwa na mawazo kama haya
 


hapo kwa red nakupinga sana tu

mie kama niliwahi kuhongwa in my life basi ilikua after kuvua chupi, tena ndo napata nguvu ya kuomba pesa kubwa immediately after the game.

anyway, am not always after kuhongwa but inorder for me to enjoy the sex game, ni lazima nijue nitapewa japo posho kidogo ya usafiri na usumbufu hata kama sio on the same day basi hata kesho yake lol
 

techinically ur selling p.u.s.s.y.....no offence intended....im just saying and thinking differently....
 
techinically ur selling p.u.s.s.y.....no offence intended....im just saying and thinking differently....

ofkoz am selling it, nothing comes for free my brother. una shilling ngapi? ha ha ha ha ha

Mie kwakweli wanaume maskini wasio na kitu nilishawaachaga zamani sana, wanaume wasio na pesa hata mapenzi hawanaga.

Sasa si bora umvulie chupi mwenye pesa yake lol, hata kama hakutakua na mapenzi lakini angalau utapata japo pesa
 

:israel: hahahah huyo ndo lara 1 mwingo ni copy
 
Last edited by a moderator:

duh nimekukubali kwa msimamo wako......
 


usiishie kulike tu hapo juu , nadai unijibu PM zangu mapema iwezekanavyo.
 
ME NI MWANAUME, NARUDIA TENA NI MWANAUME LAKINI KIUKWELI NIMEMWELEWA NA KUMSOMA #lara 1 MWANZO MWISHOOO!! KIFUPI HAPA WANAUME TUMESEMWA KIAINA KUHUSU TABIA ZA KUHONGA OVYO, UKIWA MAKINI KUSOMA HII THREAD UTAELEWA KUWA #lara 1 ana encourage wanaume wachunge mifuko na zipu zao, ukiwa makini zaidi utagundua anafundisha wadada wenzie wasiteseke kwenye ndoa na mahusiano(in the name of love) kwa ujinga ujinga wa kusema 'nampenda ivo ivo'....
 
mkuu
Money is power, money is everything, money buy everything......... so man will not stop paying/offering valuable service/assets for women for the return of pus**y, get money you will know, what I mean!!
SP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…