Exclusive: Canada Pulls back!

Kuhani, kufurahi watu walipaswa.. hata kama mtanashindwa kwenye mechi kama goli mlifunga kwanza mnalishangilia..! Hamuwezi kuacha kushangilia bao ati kwa vile mechi haijaisha. So, we have to have the so called "cautious optimisim..." la maana ni kuendelea kushambulia wakati huo huo kulilinda bao letu.. yawezekana ndilo pekee la ushindi!
 
Huu ndio uzalendo, I thank everyone for the contributions that led these scums to stop thier motion.
Mabadiliko ktk sekta ya madini yabnaweza kufanywa kwa kupitishwa kwa hiyo ripoti tu!!! Mungu bariki wanzania wenye nia njema na nchi yao!!!
 
Hii sasa Mzee mwanakijiji ndio breaking news, kumbe vitu vinawezekana ila hatujiamini tu. sio siri jana nilikuwa nasoma na kuandika kuhusu hiyo thread ya huyo ambassador kwa hisia mchanganyiko!

GM ondoa hayo mawazo yako ya kutojiamini, kitu kinachofanyika hapa JF ni hakika na kina impact kubwa sana kwa jamii kwani kina influence kubwa sana kwa nchi. Hili jukwaa la jamii ni kiboko bwana. Siku nyingine ondoa wasiwasi na kutojiamini
 
Hongera sana, wote mlio mstari wa mbele, vita inapiganwa battle by battle, we win some we loose some, eventually us, our children, or grandchildren should be doing the same.
Trick is not to loose hope and to win more battles than loosing.

I we stop attacking individual personalities, we will go farther.

i have met one to one with some of the current MD's and some are nervous, they want the conclussion as early as possible. They are trully not comfortable, they fear the press, keep on the work!!!
 
Tufike mahala kibali cha kuchimba madini, mafuta( kama yatapatikana), gesi na rasilmali nyingine kitolewe na Bunge au kamati ya Bunge. Nilimwona Mzee Bush juzi anabembeleza Seneti iruhusu uchimbaji wa mafuta kwenye mwambao wao baada ya bei ya bidhaa hiyo kuwa ghali mno hivi sasa. Hapa kwetu TZ Waziri tu anauza mgodi wowote popote kama ilivyotokea kwa KARAMAGI na BUZWAGI.
 
Pamoja na kuwa huyo Balozi 'anakimbia' Dodoma, nina wasi wasi kwamba tayari ameshatega wavu wake. Siwaamini hata kidogo baadhi ya wabunge. Watakuwa wameshalambishwa na watatuangusga tu. bado kuna muda mrefu sana mpaka ripoti hiyo itakapojadiliwa.
Na pia, hata kama atakuwa amegonga mwamba kwa wabunge, anaweza kutafuta avenue nyingine. Nadhani tunapaswa kuwa macho zaidi ku-detect haraka spining nyingine kutoka kwa hawa wazungu
 
Mining sector review report: Canadians on intense lobbying mission in Dodoma




THISDAY REPORTER
Dodoma

A DELEGATION led by the Canadian High Commissioner to Tanzania, Janet Siddall, is in Dodoma to lobby MPs about their position on the report findings of the presidential mining sector review committee, which is set to be debated in the National Assembly during the ongoing budget session, it has been revealed.

Parliamentary sources told THISDAY that Ambassador Siddall and other senior officials from the Canadian High Commission in Dar es Salaam have in fact been in Dodoma for the past week, holding private meetings with legislators and other consultations.

It is understood that the Canadian team has been in talks with influential lawmakers from both the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) and the Opposition camp.

A number of Canadian companies, particularly the giant Barrick Corporation, are heavily involved in the country's mining sector, and according to various industry watchers, would be hardest hit if the government were to carry out many of the wide-ranging reforms to current mining policy and taxation, as recommended by the report of the committee chaired by retired judge Mark Bomani.

''They (the Canadian delegation) are keen to ensure that our Parliament does not endorse the Bomani committee report for immediate implementation, because that would have quite negative consequences for that country's business and investment interests in Tanzania,'' a parliamentary source told THISDAY.

''I believe the lobbyists are trying to convince MPs not to endorse the committee report, and instead recommend that it should be forwarded to experts for a critical analysis of its implications to this country's investment climate and future financial welfare of the (investing) mining companies,'' the source added.

Several MPs have also confirmed to THISDAY that Ms Siddall, Counsellor Ines Le Minter, and other embassy officials have been holding meetings with the legislators, either individually or in small groups, outside the Bunge Hall and at the Dodoma Hotel.

It has also been learnt that MPs who have had private meetings with Ms Siddall and other delegation members include those who were also members of the Bomani committee.

''These meetings have been both formal and informal. But the Canadians seem to have a lot of interest in the forthcoming Bunge debate on the mining sector review report,'' our sources said.

The Canadian ambassador was yesterday not available for comment, with a local Canadian embassy trade official, Gasper Tarimo, telling THISDAY that she will be in a better position to grant an interview with our reporter once she returned to Dar es Salaam.
According to Kigoma North legislator Zitto Kabwe (CHADEMA) who was a member of the Bomani committee, he too had a meeting with the Canadian delegation. He, however, declined to say what exactly was discussed.

Said Zitto: ''All I can say is that Tanzania is a sovereign country and it makes its own independent decisions. We have listened to their advice, just as we listened to them in the past when drafting our mining and tax laws that have now disadvantaged us.''

Another member of the committee, John Cheyo (Bariadi East-UDP), said there was nothing wrong with a foreign country lobbying for its business interests in Tanzania.

''This is what we call economic diplomacy, which our own ambassadors in foreign countries can emulate. They (Canadians) have seen a business threat to their companies and are meeting with MPs to voice their concerns. There is nothing bad about that,'' said Cheyo.

He added: ''The ambassador (Ms Siddall) wants to present her country's views on the matter, but they should understand that the recommendations in our report have taken into account national interests while seeking to avoid driving away investors at the same time.''

As the biggest investor in the local mining sector, Barrick Corp alone currently runs three large-scale gold mines at Bulyanhulu, North Mara and Tulawaka, is in the process of launching a fourth gold mine at Buzwagi, and is also running a nickel mine.
 
Sidhani kama wameshindwa... wanachofanya ni kujipanga upya. I'm really interested to hear utakachosema Ubalozi. Lakini vyovyote vile.. kuna hela nyingi sana iko njiani and I'm telling you Barrick at the end will get whatever they want. Hata hivyo, kama hilo litatokea tusife moyo kwa sababu kupambana na giant kama barrick it gonna be bloody messy!

They have the money, they have the resources.. they have CCM MPs believe me.. hata kina Zitto wapige kelele namna gani kama CCM haitaki... ndivyo haitakuwa.

So friends.. ndio maana tumesema wame "pull back" they have not totally withdrawn or defeated.. it is a strategic maneuver...

Hapa ndipo tunaelekea kwenye kiini kabisa cha kunyanganywa raslimali zetu na kutufanya tukawa masikini.

Hapa ndipo tunatakiwa tukatae misaada badala yake tuseme Raslimali tulizo nazo zinatosha kutufanya tukawa matajiri kuliko hivyo vimisaada mnavyotupatia baada ya kutuibia mali zetu.

Na hapo ndipo tunaweza kuona kwa nini watu waliweza kupata ripoti ya kamati ya madini kabla ya watanzania. Lazima kama wanataka kuwekeza wafuate sheria za nchi na siyo tufuate sheria zao.
 
Hata Zimbabwe wanatutazama kwa hili, wao ilikuwa ardhi sisi ni madini.

Tanzania eager to adopt Zim's mining laws

An industry body in Tanzania says it wishes to take a leaf from Zimbabwe's mining laws as concern deepens about retaining the benefits of mining ventures.

An official at the Confederation of Tanzanian Industries (CTI) says a quota system in the extraction industry akin to one proposed by Zimbabwe would be ideal for the mineral-rich country.

Zimbabwe is in the process of amending the Mines and Mineral Act to warehouse 51 percent shareholding for indigenous black extractors as part of its black economic empowerment strategy.

Tanzania, with rich diamond, gold and gemstone endowments, has rapidly grown to become the country's leading growth sector in the past five years.

However, CTI claims that growth has not led to the development of the country as the government only retains 2 % of export earnings in royalty with 98 % being repatriated by foreign-owned mining conglomerates.

Tanzania has recently introduced a free and 100 percent profit repatriation by foreign corporations to pull investors to the country.

Mining in the country is dominated by South African and British mining companies.

Although President Jakaya Kikwete's government promised to review mining contracts in 2005 following pressure from CTI, the Tanzania Chamber of Commerce and other industry bodies, no concrete action has so far taken place.

BO

Source:
http://www.bw.co.zw/index.php?option=com_content&task=view&id=2039&Itemid=149
 
Sasa si ndio walikuwa wakisema Mugabe ni mbaya kwa sera zake wengi wenu mkiwasapoti kwa kusemaMugabe avamiwe?
Kulikoni?
 
Balozi hajaonekana huko bungeni mpaka sasa, ama ameamua kwenda kujipanga ama karejea ili kwenda kuitisha press na kusema alikuwa anafanya kitu gani huko Dodoma.

JF mbele daima....naambiwa alikuwa na gari lenye namba hizi T 17 CDM1.
 
Sidhani kama wameshindwa... wanachofanya ni kujipanga upya. I'm really interested to hear utakachosema Ubalozi. Lakini vyovyote vile.. kuna hela nyingi sana iko njiani and I'm telling you Barrick at the end will get whatever they want. Hata hivyo, kama hilo litatokea tusife moyo kwa sababu kupambana na giant kama barrick it gonna be bloody messy!

They have the money, they have the resources.. they have CCM MPs believe me.. hata kina Zitto wapige kelele namna gani kama CCM haitaki... ndivyo haitakuwa.

So friends.. ndio maana tumesema wame "pull back" they have not totally withdrawn or defeated.. it is a strategic maneuver...

..EPA ishakuwa settled?
 
Jana kuna thread niliianzisha yenye kuonyesha umuhimu wa EPA kabla ya mjadala wa madini lakini siioni tena.
 
Pamoja na kuwa huyo Balozi 'anakimbia' Dodoma, nina wasi wasi kwamba tayari ameshatega wavu wake. Siwaamini hata kidogo baadhi ya wabunge. Watakuwa wameshalambishwa na watatuangusha tu. bado kuna muda mrefu sana mpaka ripoti hiyo itakapojadiliwa.
Na pia, hata kama atakuwa amegonga mwamba kwa wabunge, anaweza kutafuta avenue nyingine. Nadhani tunapaswa kuwa macho zaidi ku-detect haraka spining nyingine kutoka kwa hawa wazungu

..kampeni zinaanza lini, mwaka kesho?

..fund raising ishafanyika?
 
...Siwaamini hata kidogo baadhi ya wabunge. Watakuwa wameshalambishwa na watatuangusga tu. bado kuna muda mrefu sana mpaka ripoti hiyo itakapojadiliwa.
Na pia, hata kama atakuwa amegonga mwamba kwa wabunge, anaweza kutafuta avenue nyingine. Nadhani tunapaswa kuwa macho zaidi ku-detect haraka spining nyingine kutoka kwa hawa wazungu

Lobbyist wa Kikanada waliwalisha Wabunge chakula cha jioni huku "wamekasirika!"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom