Exclusive: Canada Pulls back!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,343
39,013
Kevin Rutashobya - Dodoma (KLHN)


The Canadian lobbying group led by Amb. Ms. Janet Siddal has decided to pull back from their well coordinated campaign to influence the parliamentary discussion and eventual decisions on reforms outlined and proposed by the Presidential Commission on Mining Sector Reform led by Judge Mark Bomani.

The pull back came in the wake of a massive counter campaign orchestrated by JamiiForums, individual MPs, with the on-ground detailed and well carried out moves by journalists in Dodoma.

The counter campaign was initiated after it came to light that world largest gold mining company Barrick Gold was trying to derail the much needed change in the mining sector for the fear that the changes might in some ways reduce its massive profit from this East African nation.

Some of the MPs who had had a chance to meet with the Canadian delegation in Dodoma during breakfast and dinner meals arranged and paid by the Canadians were enraged and others puzzled why such an effort from the Canadians (especially the presence of the Ambassador) except if the changes were to benefit the country and bring new standards, laws and regulations in the mining sector.

The lobbying involved the use of so called "sticks and carrots" methods which basically involved promises of aid to individual MPs and their constituencies and other favors while at the same time using very clear and pronounced threats if the MPs failed to compromise in favor of Barrick Gold.

In countering this move, JF and some media houses carried a campaign of "questions and more questions" aimed at the ambassador and her delegation, and accusing them of interfering with a parliamentary process and by doing so showing detectable signs of contempt of our August House. The campaign was carried out by distinguished journalists who are expected to write reports and feature stories that some will come out tomorrow to questions the Canadians motives and actions.

"this loose network of our own counter lobbying seems to have worked perfectly, we couldn't have asked for anything better" one journalist told this writer.

It was after this barrage of questions that the Canadian Ambassador H.E. Siddal called off the exercise.

A Canadian source who spoke to KLHN on conditions of anonymity because she was not authorized to speak on the matter told KLHN that the Ambassador and her delegation are returning to Dar-es-Salaam ASAP where she is expected to issue a statement on the matter probably sometimes on Friday.

The Commission on Mining Sector Reform was created by President Kikwete late last year to review mining contracts and propose better changes in the law and regulations so that the mining industry would be very beneficial to the country economy and the welfare of our people. The deliberations of the commission's report are expected sometimes before the end of this year's budget session.
 

Sam GM

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
535
27
Hii sasa Mzee mwanakijiji ndio breaking news, kumbe vitu vinawezekana ila hatujiamini tu. sio siri jana nilikuwa nasoma na kuandika kuhusu hiyo thread ya huyo ambassador kwa hisia mchanganyiko!
 

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,233
657
Stupid idiots wanafikiri Watanzania ni wale wale wa enzi ya ukoloni. Hakuna FISADI yoyote atakayeachiwa kuwadhulumu WTZ nguvu zao kamwe, huu ni mwanzo na mwisho. Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha na kupuuzwa kiasi cha kutosha na iko siku VIBAKA wote wataishia Keko.
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,531
5,367
Hii sasa Mzee mwanakijiji ndio breaking news, kumbe vitu vinawezekana ila hatujiamini tu. sio siri jana nilikuwa nasoma na kuandika kuhusu hiyo thread ya huyo ambassador kwa hisia mchanganyiko!

gm,
That is the spirit. Lazima tujiamini. Nilivunjwa moyo na baadhi humu waliokwishakata tamaa kwamba hakuna tunachoweza kufanya. Tudumishe moyo huo huo. I am an optimist.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,343
39,013
The only thing people need is support.. mwenzenu ndio maana leo na miye nimekuwa kimya muda mrefu... this is what I figured out.. if you need change, go and bring them! Sitakaa tena chini kulalamika on things on the ground... mwenye kutaka kukataa akae.. haitoshi tena kulalamika kwenye mtandao..!
 

Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,734
115
Sasa inatakiwa parliament ya 2010 tutoe angalau member mmoja wa JF.
 

KakindoMaster

JF-Expert Member
Dec 5, 2006
1,357
83
Mungu Mkubwa sara zetu naona zimefika hivi walifikiria bado tuko usingizini.

Ongeleni JF kwa kujua hili mapema naona sasa huyu alitaka kutembeza rushwa hadharani.

Nafikiri sasa hivi inatakiwa wajue kwamba hakuna kulala tena,.
 

Sam GM

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
535
27
gm,
That is the spirit. Lazima tujiamini. Nilivunjwa moyo na baadhi humu waliokwishakata tamaa kwamba hakuna tunachoweza kufanya. Tudumishe moyo huo huo. I am an optimist.

Jasusi,

This is comforting, really comforting, I guess because I felt that we could do something about it, and somehow I felt like the deal has been sealed. I guess we kind of played a certain role in this kwa sababu kila aliyekuwa anachangia hoja alionesha uchungu sana wa kumobilize kila mtu kufanya chochote. Naamini wapo waliowapigia simu wabunge wao. Na waliojihusicha moja kwa moja in one way or the other.

Bottom line is a journey of a million miles starts with a single step.
 

Mwawado

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
993
242
Sasa inatakiwa parliament ya 2010 tutoe angalau member mmoja wa JF.

Wapo Waungwana wanajitayarisha humu kwa Kinyang'anyiro cha 2010,na kwa Msaada wetu na mashabiki wengine wa Maendeleo,Inshallah watafanikiwa.Tuwe na subira tu,wakati Mwafaka ukifika tutajulishwa hapa(kwa majina yao) nani wanakwenda kugombea Ubunge na kwa tiketi ya chama kipi....Tuwape support kama wanaJF bila kujali Itikadi zao za vyama.Naomba tuwiane radhi kama post hii itawakwaza watu au kuwaletea usumbufu kwa namna yoyote..
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,343
39,013
Sasa inatakiwa parliament ya 2010 tutoe angalau member mmoja wa JF.

mzee unaniangusha.. mmoja kati ya 5000? it'll be a failure of incredible proportion... why not aim a little higher.. kwa sababu hadi hivi sasa tayari wapo members wa JF Bungeni.. sasa kumrudisha mmoja.. CCM watanesa nesa..

Ila wacanada wakiendelea hivi.. wasije kushangaa wanaongeza idadi ya watu wanaotaka kwenda Bungeni 2010
 

LeoKweli

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
335
17
Mwanakijiji, Wengine washashitukia wana aanza kuongeza speed kabla mambo hayajaharibika

Aminex eyes fast track production from Tanzania discovery


Thursday, July 17, 2008

Aminex, the oil and gas explorer, has announced plans to fast track production from its recent gas discovery in Tanzania.

The company recently completed the second stage of a three-stage production sharing agreement, known as the Nyuni PSA, which saw the discovery of apparently large gas resources at the Kiliwani North-1 (KN-1) well.

Ahead of moving on to the third stage of the exploration programme, the company said it had applied to the Tanzaninan government to let it kick off production from the KN-1 well at the same time as fulfilling its exploration obligations.

Aminex said KN should be treated as one of several adjoining gas accumulations in acreage it holds with partners, which should provide the basis for development of a significant new gas business in the region.

During drilling in June, the KN-1 well encountered a 60 metre gross gas column in Lower Cretaceous sands. A 20 metre interval was perforated and was later successfully production-tested. The well test recorded a flow rate of 40 million cubic feet per day.

Partners in the Nyuni PSA are Ndovu Resources Ltd (Aminex) 40% (operator), RAK Gas Commission (25%), Key Petroleum Ltd (20%), East African Exploration (10%) and Bounty Oil (5%).
 

Sam GM

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
535
27
Hii sasa ni one down two to go, Je wabunge wetu watapitisha mapendekezo ya kamati teule ya madini? kwa sababu ishu ya hawa jamaa walikuwa wanalobby isipitishwe!
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,343
39,013
Kazi kubwa imefanya on the ground by different people.. and these are the people that we JF fired them up... watu wengi walipoamka leo asubuhi walipochungulia hapa na wale waliosikiliza matangazo ya KLHN saa mbili asubuhi (East African Time) walisikia hiki na tukawaambia ni nini kiko kwenye stakes. Hawa ndio wa kuwaunga mkono!
 

Magabe Kibiti

JF-Expert Member
Jan 20, 2008
292
0
Kazi kubwa imefanya on the ground by different people.. and these are the people that we JF fired them up... watu wengi walipoamka leo asubuhi walipochungulia hapa na wale waliosikiliza matangazo ya KLHN saa mbili asubuhi (East African Time) walisikia hiki na tukawaambia ni nini kiko kwenye stakes. Hawa ndio wa kuwaunga mkono!

Kazi nzuri sana Mzee Mwanakijiji, hii inatia moyo sana kuwa mambo mazuri ingawa machache yaweza kutokea kwa juhudi za wanajamii.

MUNGU awabariki na kuwatia nguvu wote walioshiriki kwenye hili.

Amen
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,343
39,013
Kazi nzuri sana Mzee Mwanakijiji, hii inatia moyo sana kuwa mambo mazuri ingawa machache yaweza kutokea kwa juhudi za wanajamii.

MUNGU awabariki na kuwatia nguvu wote walioshiriki kwenye hili.

Amen

I dont' know kama Mungu alikuwa katika hili maana nina uhakika na wacanada walikuwa na bado wanamuomba Mungu tubadilishe mawazo..
 

Peasant

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
3,949
687
mzee unaniangusha.. mmoja kati ya 5000? it'll be a failure of incredible proportion... why not aim a little higher.. kwa sababu hadi hivi sasa tayari wapo members wa JF Bungeni.. sasa kumrudisha mmoja.. CCM watanesa nesa..

Ila wacanada wakiendelea hivi.. wasije kushangaa wanaongeza idadi ya watu wanaotaka kwenda Bungeni 2010


Sio siri, kama kasi yenyewe ndiyo hiyo ya Canada kutaka kutufisadi hadhari namna hiyo, niko tayari kufikiria kutia timu 2010.
 

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,945
694
JF, Moja ya silaha iliyo na sumu kali aliyonayo Mdanganyika katika harakati za kudai haki zake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom