Pale kasema wengine wanafira au?Forever King
umesikiliza wimbo au unamuwaza platnamziNgoja wakusikie wafuasi wa Mond
Mimi simo, Wanakuja, Wakikusikia! Teh! Teh! Teh!umesikiliza wimbo au unamuwaza platnamzi
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani.Forever King
yooo!
biti kama nimewahi lisikia mahala.
ngoja nisikie maudhui