Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
Hii ngoma ni shidaa
ulitaka aimbe kisingeli?....binafsi nimependa alivyo-fuse na miondiko ya kikongo na chakacha kwa mbali. bonge la ubunifu.ah kumbe amekua mrithi wa kina werasoni na mwijuma?
You look like zombieCheketu cheketu.
sioni ukifanya vyema siku za usoni labda kwa mbeleko ya chuma.ulitaka aimbe kisingeli?....binafsi nimependa alivyo-fuse na miondiko ya kikongo na chakacha kwa mbali. bonge la ubunifu.
halafu ngoma inachezeka vizuri ukijumlisha sisi waafrika hasa wabantu tumebarikiwa kuwa na instinct ya kucheza mziki tofauti na jamii zingine za africa.
Acha kufananisha hili song na vitu vya kijinga....Jamani nyimbo za Ali Kiba zinakuwaga overrated sana,hivi huu wimbo tuongee tu ukweli unaweza kusimama na jini kisirani wa Amber Lulu? ongea kutoka moyoni...
ah ah ah serious,,km cjakosea uo jn ksran c una mistar ''unanuka p*p*''Jamani nyimbo za Ali Kiba zinakuwaga overrated sana,hivi huu wimbo tuongee tu ukweli unaweza kusimama na jini kisirani wa Amber Lulu? ongea kutoka moyoni...
Huohuo..ah ah ah serious,,km cjakosea uo jn ksran c una mistar ''unanuka p*p*''
sema sasa hapo kuna kitu kipya? wimbo wa kawaida sana huoAcha kufananisha hili song na vitu vya kijinga....
You look like zombie
But no way I love you.
wimbo gani siku hizi unafanya vizuri bila mbeleko au bila muhusika kuwekeza katika kuu-promote?.sioni ukifanya vyema siku za usoni labda kwa mbeleko ya chuma.