Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Kama yaliyonitokea mimi kiongozi, mimi kuna msichana tulitokea kupendana sana, kipindi hicho nakutana nae alikuwa ndo kamaliza diploma yake, alikuja mkoani nilikokuwa nafanya kazi nikawa namsaidia sana ku apply kazi.

Mungu akasaidia akaitwa kwenye interview moja ya utumishi huku dar basi nikampa nauli akaja akafanya interview kisha akarudi tena niliko huko mkoani.

Baada ya kurudi kutoka kwenye interview akaanza kubadirika tabia kumbe kuna jamaa kati ya walio mu interview alimtongoza na inaonekana demu alimkubalia jamaa, yule jamaa alikuwa akimpa taarifa zote za interview hata alivyochaguliwa jamaa ndo akampigia na akamwambia alikopelekwa.

Siku ya kuripoti kazini ilivyo wadia nikampa nauli na kianzio cha maisha kidogo akaondoka, baada ya muda mawasiliano yakazidi kuwa hafifu sana,ila siku moja ndo akanambia eti hawezi kuolewa na muislam maana wa Islam ni magaidi hivyo hataki kukaribisha magaidi kwenye familia yao,na akaongeza kuwa ashapata jamaa mwingine mwenye dini kama yake, basi nikakubaliana na hali halisi.

Baada ya mwaka mmoja niko zangu geto jioni nashangaa mtu huyo kazama ndani, Yaani katoka tanga hadi iringa, nikamuuliza vipi umesahau nini eti oh yule jamaa kumbe mwongo mana ana mke na watoto tayari, aisee nikamuambia tu mimi nishatafuta gaidi mwenzangu japo sikuwa na mtu kweli. Basi akakaa kama wiki 2 kisha akaondoka zake, ilibidi tu nimkule ke ila siku zote nilitumia condom.
Iko hivi...

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja mzuri hatari. Alionekana ana stress kiasi na mzee baba nikajikaza na kuomba namba. Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni stress za kukosa ajira.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi ikaanzia hapo. Alikuwa anakuja sana 'ghetto' mpaka nikamkabidhi funguo, akawa anakuja muda wowote atakao, mimi nikiwa job (niliajiriwa fasta sana baada tu ya kumaliza chuo).

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona kulala na mtoto wa mtu ndani bila wazazi wake kujua alipo sio poa. Nikawaza nimletee wazo la ndoa, maana katika story zetu alikuwa akizungumzia sana "Mr. Liverpool utanioa lini au ndio unanit*mba tuu?"

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote tunaingiza kipato. Nilihustle sana kutuma applications kila ofisi nikisikia hata tetesi natuma. Mara Mungu bariki akapata serikalini.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio wakati wa kuleta proposal ya ndoa. Nilivyoiwakilisha mbele yake jibu alilonijibu "Mimi nafikiri siwezi kuolewa" Aisee! asikwambie mtu.Lile jibu liliniuma sana tena sana. Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikuwa tarehe 01/May), mara tarehe 20/May naona anapost Facebook picha za ndoa, tena na 'baharia' waliokutana ofisiniI kwenye kazi niliyomtafutia.

Dah! Yule dada aliniuma sana. Yaani kujitoa kote kule, leo haya ndio malipo yangu? Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9, mara namba ngeni ikaingia. Kupokea kumbe ni yeye. Tuliongea mengi ila alileta proposal anataka kurudi kwa kafiri. Kisa mumewe ameoa mke wa pili na yeye uke wenza hawezi. Nilichomjibu mimi ni "Pambana na hali yako, mimi siwezi kufanya hivyo". Yeye akasema "Basi hata uwe mchepuko wangu?" Mimi nikasema "Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka".

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane. Tukakutana mitaa ya Uwanja wa Ndege. Aisee! Amekonda. Tako lote limeyeyuka. Shape yote imesepa. Yaani mpaka namuonea huruma.

Tuliongea sana na nikamuomba kuondoka. Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "Siwezi kukusaidia kwa lolote". Japo namuonea huruma sana ila "Kila mtu avune alichopanda".

Ukipendwa, pendeka mtoto wa kike.

Wanaume, tutumia kichwa kikubwa cha juu, cha chini huwa kinatudanganya sana.

#ASANTE
#YNWA
 
Naona chembechembe za huruma hapo.

1. Mkiendelea kuwasiliana mtarudiana
2. Una mpango wa kulipa ubaya kwa ubaya?!
 
2004 ulikuwa mwaka mgumu sana kwangu miezi ya mwishoni. Nilipigwa kibuti na mwanamke niliempenda sana, na akanipenda sana. I am sure tulipendana sana.

Nilikuwa na ujana mwingi kutokana na kupata uhuru kidogo kutoka mikononi mwa wazazi na kuhitimisha masomo. Nikaanza kujichanganya na washkaji. Kujifunza ya duniani. Dada akaniandikia barua ndefuuuu kama makala za kwenye "Daily News". Mwisho wa barua akaandika " Puppy sikutaki tena, Nimepata msomi zaidi yako". Iliniuma sana, i kept the letter.

Ten years after (2014) naingia internet cafe nafungua facebook nakutana na messages kibao, nampa namba. Tunaanza mawasiliano ya kawaida na salamu za familia once or twice a week. Siku moja ananipigia kabisa anakuja mtaani kama sitojali tuonane, nakubali. Tunaonana amechoka sana (ana kazi nzuri tu na anaishi ushuani), namtania mbona pesa zimekuchuja namna hii??

Ananiambia ndio haswa kimenileta tuongee, nataka turudiane hata kama mchepuko, nimegundua nakupenda sana bado, niko tayari kwa lolote. Nkamwambia nimekusikia wacha nikalale nikiwaza tupange siku nyingine tuonane.

Next time was brief, tumeonana tumeagiza fanta nikampa barua aloniandikia miaka hiyo. Nikamwambia soma hitimisho hapo. Akasoma. Nikamwambia naomba na ibaki hivyo hivyo.

I only agreed to meet for closure.
Respect Chief! Unajua wanawake ndio chanzo kikubwa cha matatizo yetu sisi wanaume hasa unapofanya kosa kumrejesha alie zingua.
 
Amen

#YNWA
 
Kama yaliyonitokea mimi kiongozi, mimi kuna msichana tulitokea kupendana sana, kipindi hicho nakutana nae alikuwa ndo kamaliza diploma yake, alikuja mkoani nilikokuwa nafanya kazi nikawa namsaidia sana ku apply kazi.

Mungu akasaidia akaitwa kwenye interview moja ya utumishi huku dar basi nikampa nauli akaja akafanya interview kisha akarudi tena niliko huko mkoani.

Baada ya kurudi kutoka kwenye interview akaanza kubadirika tabia kumbe kuna jamaa kati ya walio mu interview alimtongoza na inaonekana demu alimkubalia jamaa, yule jamaa alikuwa akimpa taarifa zote za interview hata alivyochaguliwa jamaa ndo akampigia na akamwambia alikopelekwa.

Siku ya kuripoti kazini ilivyo wadia nikampa nauli na kianzio cha maisha kidogo akaondoka, baada ya muda mawasiliano yakazidi kuwa hafifu sana,ila siku moja ndo akanambia eti hawezi kuolewa na muislam maana wa Islam ni magaidi hivyo hataki kukaribisha magaidi kwenye familia yao,na akaongeza kuwa ashapata jamaa mwingine mwenye dini kama yake, basi nikakubaliana na hali halisi.

Baada ya mwaka mmoja niko zangu geto jioni nashangaa mtu huyo kazama ndani, Yaani katoka tanga hadi iringa, nikamuuliza vipi umesahau nini eti oh yule jamaa kumbe mwongo mana ana mke na watoto tayari, aisee nikamuambia tu mimi nishatafuta gaidi mwenzangu japo sikuwa na mtu kweli. Basi akakaa kama wiki 2 kisha akaondoka zake, ilibidi tu nimkule ke ila siku zote nilitumia condom.
Wasichojua KARMA is always AVAILABLE...

#YNWA
 
Nilidhani ni mm mwenyewe nimeona hili
Nikiangalia muda ambao 'binti' anakutumia yeye sms na wewe unavyotuma inaonyesha hua upo standby ili kujibu sms zake. Which means ana attention yako.
Which means unaenjoy anavyohangaika.
Which means na wewe ni mwanaume kama sisi wengine.

Hivyo usijizungushe sana. Kamata mega.
 
Mleta mada nikupe pongezi kama hii stori yako ni ya ukweli..maana 90% ya wanaume wako tayari kua second option ilimradi tu awe anakula mzigo wanaume wengi hawanaga misimamo haswa linapokuja kurudiana na wapenzi wa zamani
Hata mademu wapo walio tayari kuwa second option.
 
Back
Top Bottom