AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Kop inamana ulishindwa hata kuazima baluti ya kumpigia kichwani😆😆. #Ynwa
Hongera sana kwa umri huo ,wengi walitamani kufika umri huo lakini ndo ivo tena,ndio maana,maana sio kwa busara hizo.uko vizuri.Miaka 50.
kwa hiyo nitie neno?umefanya vizuri sana...huo ndiyo uanaume kijana...hakuna kurudi nyuma.
kwa hiyo nitie neno?
Amenumefanya vizuri sana...huo ndiyo uanaume kijana...hakuna kurudi nyuma.
Hahaha aiseAisee....
Amekonda
Tako loote LIMEYEYUKA
Shape yotee IMESEPA..
Kama mie nilivoonana naye huyu wangu.Mara ooh nizalishe basi
Hawa viumbe ni hatari ukimwamini tu imekuka kwakoSasa hivi upepo wa Ma-ex kurudi ni mkali mno. Huyu alinipotezea tangu mwezi wa 1 mwaka huu alipopata kazi, nkajaribu mtafuta tafuta akawa hajibu sms wala hapokei simu japokama nlikuwa namuona kabisa online na status anaweka ila baada ya muda nikawa simuoni tena nkajua nshakula block. Sasa sijui kimemtokea nini yaani amerudi na sababu ya kitoto mpaka nimegundua kumbe nilikuwa nadate na kilaza namna hii[emoji1] na bado anajiamini kuniita Love kwa miezi yote hiyo alokuwa kanipotezea.
Polisi wanajua shikilia simu miezi 9 kwa upelelezi kudadekiView attachment 1240684
Sijaoa na sina MPANGO nae KABISA..Uyo ni kumptezeaaaa
Lakini Je ulishaoa??
Kama haujaoa ujue Ulikuwa unamsubiri mbebeeee tuuu
Kuna mmoja alinitosa baada ya ya miezi 8 kanipigia nilicheka Sana aise nilimpa Maka u tuKitu cha kufahamu wanawake huwa hawafuti namba za wanaume ambao waliwala au waliwatokea ilimradi tu mlipeana namba na ukamtokea akazingua kwa sababu anazijua yeye,huwa wanaweka akiba hapo tuu ndio huwa wananiacha hoi maana wanajua wakizinguana aliko ataanza kuwatafuta wale wa zamani hadi atampata wa kumuegemea
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]" She will never walk alone "
Juzi birthday ya miaka 50 Siku tatu mtu mzima nasherekea mbuzi tatu mtaa mzima ulifungwaMiaka 50.
Yako mengiHili bandikobona kama lilishawahi letwa humu. Kesi iko hivihivi..ila sikumbuki memba gani alilileta tu.
Haha ngoja nimlie timing huyo bidada ili nitie neno,unajua watu wazima sio wasumbufuAhahahah weka
Much respect to you brooh2004 ulikuwa mwaka mgumu sana kwangu miezi ya mwishoni. Nilipigwa kibuti na mwanamke niliempenda sana, na akanipenda sana. I am sure tulipendana sana.
Nilikuwa na ujana mwingi kutokana na kupata uhuru kidogo kutoka mikononi mwa wazazi na kuhitimisha masomo. Nikaanza kujichanganya na washkaji. Kujifunza ya duniani. Dada akaniandikia barua ndefuuuu kama makala za kwenye "Daily News". Mwisho wa barua akaandika " Puppy sikutaki tena, Nimepata msomi zaidi yako". Iliniuma sana, i kept the letter.
Ten years after (2014) naingia internet cafe nafungua facebook nakutana na messages kibao, nampa namba. Tunaanza mawasiliano ya kawaida na salamu za familia once or twice a week. Siku moja ananipigia kabisa anakuja mtaani kama sitojali tuonane, nakubali. Tunaonana amechoka sana (ana kazi nzuri tu na anaishi ushuani), namtania mbona pesa zimekuchuja namna hii??
Ananiambia ndio haswa kimenileta tuongee, nataka turudiane hata kama mchepuko, nimegundua nakupenda sana bado, niko tayari kwa lolote. Nkamwambia nimekusikia wacha nikalale nikiwaza tupange siku nyingine tuonane.
Next time was brief, tumeonana tumeagiza fanta nikampa barua aloniandikia miaka hiyo. Nikamwambia soma hitimisho hapo. Akasoma. Nikamwambia naomba na ibaki hivyo hivyo.
I only agreed to meet for closure.