Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Kafiri si neno Baya kiislam.....Maana yake Asiyehamini katika Uislam
Duuh, msamehe tuu kwa maneno hayo ya dini. Niko muangalifu sana kwenye kusema dini ya mtu. Huwa naheshimu sana imani ya mtu, maana imani ya mtu ilipo ndipo alipo, ukimdhihaki kwenye imani yake tuu umemharibu... Na mahusiano hayawezi kuwepo.

Matata K.
 
Kafiri maana yake ni Asiyeamini katika Uislam...non Islam Beliver.
Wewe ungekuja na elimu tu ya hivyo vitu badala ya kujifanaya unajua kumbe hujui chochote..... Njoo na elimu ya kumuelimisha kama wewe ni mjuzi wa mambo mkuu. Na mtoa mada akisoma nikujibuvyo akupotezee asihangaike na swali lako.
 
Pole sana....Nadhani mtoa mada umeingiza mambo mawili...Kukataliwa na mwanamke Kwa kuwa Haukuwa Fresh Kwa kipato Kwa muda huo....na pili alikukataa Kwa Sababu Wewe mkristo na yeye muislam.

Kama Alikukataa Kwa tofauti ya Dini zetu alikuwa Sahihi....but kama alikutosa Kwa Sababu ya Kuchoka kwako Hapo Hakuwa Sahihi.

Why Kaamua kurudi....Tafakali Kwa kina,Dhiki ndo inamrudisha....Hana True love Huyo
 
"tuliongea mengi ila alileta proposal anataka kurudi kwa kafiri"

ha ha ha ha ha ha.. nimecheka sana.
 
Pole sana....Nadhani mtoa mada umeingiza mambo mawili...Kukataliwa na mwanamke Kwa kuwa Haukuwa Fresh Kwa kipato Kwa muda huo....na pili alikukataa Kwa Sababu Wewe mkristo na yeye muislam.

Kama Alikukataa Kwa tofauti ya Dini zetu alikuwa Sahihi....but kama alikutosa Kwa Sababu ya Kuchoka kwako Hapo Hakuwa Sahihi.

Why Kaamua kurudi....Tafakali Kwa kina,Dhiki ndo inamrudisha....Hana True love Huyo
Amen..

#YNWA
 
Alikuaje sahihi?

Ukafiri ulikuje baada ya kutafutiwa kazi?

Wakati hakua na kazi ukafiri hakuuona?
 
yani huyo dada kifurushi chake kimebaki Dakika 5 kiishe

akiangalia salio anaambiwa

Ndugu mteja una dk 5600 za kupiga mitandao yote

SMS 280000000, DK 480000 ZA KUPIGA NNJE YA NCHI

data GB 35 za 4G

Kifurushi chako kitaisha ndani ya dk 5 zijazo.

(dada haelewi yaniiiiiiii)
😂😂😂😂
 
Kafiri maana yake ni Asiyeamini katika Uislam...non Islam Beliver.
Siyo kutokuamini uislam tu ndugu yangu........katika context ya uislam ni yule asiyeamini uislam.....lakini neno hilo hilo lingetumika kwa Budha nao wangesema asiyeamini ubudha ni kaafir......Maana yake halisi ni asiyeamini katika mungu na imani fulani. So hata mkristo akitumia hilo neno atamwita asiyeamini hiyo dini kaafir.
 
Katika viumbe vyenye dharau na wenye kujisahau ni hawa watoto wakike ,pole kiongozi na shukuru mungu kwa kupona majiraha ...

Mimi nilishawahi kataliwa enzi hizo sina kitu akaja olewa na mtu ambaye kwa wakati huo alikuwa na vyuma(pesa) ila mambo hayakuchukuwa muda kwa upande wao kubadilika na kushuka chini na mimi kuja juu ,[emoji23] alijirudi ila huwa namwambia huwa sisahau ubaya mtu naonifanyia kama ilivyokuwa unaponifanyia jema [emoji23] haya maisha yaache tu kama yalivyo ,tujifunze kutokumaliza maneno
Ukala makombo?
 
Au wewe unaonaje mkuu?hawana utulivu huo?wanaelewa haraka sana.akikupenda hakusumbui,tofauti na madogo,wao aweza kukupenda lakini akakupigisha kwata kinoma.
Ah kila mtu na uelewa wake na jinsi anavyopenda...so we kama umeona umri huo ndo sahihi kwako basi sawa... Kila la kheri
 
Ah kila mtu na uelewa wake na jinsi anavyopenda...so we kama umeona umri huo ndo sahihi kwako basi sawa... Kila la kheri
Ila nadhani kuna kiukweli Fulani hivi..
Ukidate na wanawake waliokuzidi umri (na hasa 30's) kuna amani na vitu Fulani unaPata tofauti na hawa 20's.. Na kimoja waPo ni "" FREE FROM HEADACHE""
 
Usiwaze sana, mimi ndiye niliyemuoa. Nivyoona kaanza kuisha nkasema ngoja nimpe changamoto ya kuleta mtoto mzuri.
 
Back
Top Bottom