Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

huo ndio uanaume si wengine wavulana wangebaki wanalialia au hata kujinyonga au kuchukua sheria mkononi kuna kitu kinaitwa compensation of nature malipo ya wema au ubaya huwa hapahapa duniani
 
Daaah ila huyo mwanamke kakudharau sana yaani alitaka uwe mchepuko wake aiseee yaani huyo anakuchukulia kirahisi sana uwe mchepuko wake.
 
Kitu cha kufahamu wanawake huwa hawafuti namba za wanaume ambao waliwala au waliwatokea ilimradi tu mlipeana namba na ukamtokea akazingua kwa sababu anazijua yeye,huwa wanaweka akiba hapo tuu ndio huwa wananiacha hoi maana wanajua wakizinguana aliko ataanza kuwatafuta wale wa zamani hadi atampata wa kumuegemea
 
Haya matukio acha tuu asee,
Back in the days nipo hapo kwa m7 nikakutana na mtoto mzuri sana, nadhani bibi yake alikuwa Mmanga, alikuwa chombo haswa,
Niko chuo yupo high school, mtoto alikuwa a nashinda hostel mazee, nikalea kama wife kabisa
Nikamaliza chuo naye akamalizia high skul, basi bwana ile hustle ya kitaa sina mawe wala nini lakini mtu mzima najitoa sana kwa bibie ili tuuu utamu usiende kwengine,
Mapenzi ni ny*ko sana. Bibie C akapata Job kampuni flani hivi since kimalkia kinapanda vyema, baada ya mwaka mmoja baharia bado sijapata kazi ya maana zaidi ya hustle za kitaa.
Huko kwa kampuni c akapata mjuba mwenye vyuma vyake, akamuahidi paradise life.
Asee asikwambie mtu mapenzi yanauma sana, yani Sanaaa.

Miaka kadhaa ikapita bahati mbaya kumbe demu aliwahi toa mimba kipindi flani hivi so akawa hazai kabisa mfuko wa kubeba waarabu ulizingua so mjuba mwenye pepo zake ikabidi amwage manyanga,
Juzi kati nakutana na huyu manzi, mitaa ya offisini niko kwa chuma yangu kitu leather so soft
Kaja kwa interview ya job hapa offisi ya jirani.
Ebana ee kachoka kinoma noma, yani huwezi hata amini ndio ule mrembo.
Kwa ufupi wanawake hata muwe wazuri Vip heshima adabu na uvumilivu ni vitu muhimu sana kwenu.
Maana jinsi mnazeeka na utamu wenu biashara inakwisha kabisaaaa
 
UKIMUUMIZA NI UNAPANDA MBEGU NA UTAIVUNA , UNAFURAHI X WAKO KUTAABIKA?

Kwanza mkuu niseme ulikuwa humpendi huyo binti, ulitaka umfaidi tu. yamkini hata yeye alikupima kama unampenda kweli, kutoka moyoni, wana akili hao! ukiongeza na darsa ndo kabisaa! heee!
but in real fact hakuolewa. kama angeolewa kweli, asingesema negativeness to her marriage, kukutamkia wazi kirahisi ivo eti nioe, wakati anajua wazi utamdhihaki, na kukataa kuhusu hilo.

Pia mke wapili hawezi kuolewa kwenye ndoa changa hivo, tena bila watoto,(angalia hapa; Siyo mtoto watoto} second marriage comes too late. while one of you is matured enough.

Kama kweli angeolewa na kupata mapito magumu. Hence that she wanna win you back angezuga tu kukutembelea tena amejipodoa kupitiliza udhaifu anaoujua kwako na kujinenepesha vitako vya kutamanisha kidume chochote, na kujipitisha hata kwa rafiki zako, ambao wangekuletea habari za masifa, za kulipua moyo.

Lkn pia asingekupa penzi mara moja, angezuga kama hataki, mpaka wewe ung'ang'anie sana. asingeongea negative to her current husband. never ever.
kubali tu kwamba Psychology capacity yake ni kubwa kukupita.wengine hufanya ili umkatae wewe kwa kumtamkia na umdharau, ivo basi umtoe moyoni mwako, usijemchafulia kibarua ulicho mtafutia.

Binti huyo yuko sawa, alitaka kuingia njia isiyo sahihi, wewe ulikuwa muongo inawezekana hata wewe ungemtosa huko mbele ya safari, na alijua mapema kuwa wewe siyo mwake, ndo kakuzuga FB kuwa anaolewa, na wewe ukaiamini FB ukajaa bila kuhoji, akajua yametimia.

Naamini siyo mzuri kabisa, kwa namna navo wajua wazuri wasomi wa chuo ambao wako kwenye hatua za kutafuta kazi bado ni wabichi, utazimia! kama siyo domo zege. Kwanza ni watoto wakike wanao chipukia kiumri, na Oestrogen level ziko at the peak.kiiila mtu mume anataka. hawatangitangi, muda wa kutangatanga na mihasira kwenye 40 na kuendelea.
UMETUNGA TU HII.
 
Kwa hiyo ulivyomuona kachoka wewe kwako ikawa furaha. Kweli akili za binadamu ni mbovu sana. Badala ya kutafuta namna ya kumsaidia regardless alikufanyia nini siku za nyuma wewe unamfanya a laughing stock
 
Mtetezi binafsi wa wanawake
 
1. Amezaa watoto wawili..SIWEZI KUANDIKA KILA KITU..NITACHISA WASOMAJI

2. Alipost picha fb akiwa kitandani na mumewe (waislamu mume akiwa anaenda Kuchukua mke hupiga picha kitandani kajifunika usoni.. Hii picha ndio aliyopost)...ULITAKA NITUKANE FB?

3. Nilitaka kweli kumuoa ila nilim convince abadili dini akagoma.. Kwao wotee sunni na huu ndio ulikua msimamo wake.

4. Nilimkuta wa kawaida nikamlea akawa kigoliii... Mwamba akanipiku.. SIKUA NA JINSI ZAIDI YA KUMUACHA AENDE

5. Hakuna anaefurahia maisha yake ya Ku depreciate ila pia ANAVUNA alichopanda.. Nilipenda na kumuhudumia vizurii ila alinikimbia na kwenda kwa muislamu mwenzake, na najua anataabika kwasababu KACHAKAA...

6. Unasema sikumpenda.. Ulitaka nifanye nini baada ya kuachwa?

KIFUPI "KAWA BIBI SIMTAKI TENAA""

#YNWA
 
Kwa hiyo ulivyomuona kachoka wewe kwako ikawa furaha. Kweli akili za binadamu ni mbovu sana. Badala ya kutafuta namna ya kumsaidia regardless alikufanyia nini siku za nyuma wewe unamfanya a laughing stock
Let KARMA take IT'S PLACE...
Kila mtu apambane na HALI YAKE

#YNWA
 
Wewe ungekuja na elimu tu ya hivyo vitu badala ya kujifanaya unajua kumbe hujui chochote..... Njoo na elimu ya kumuelimisha kama wewe ni mjuzi wa mambo mkuu. Na mtoa mada akisoma nikujibuvyo akupotezee asihangaike na swali lako.
wise idea
kwa waislamu KAFIRI maana yake ni mtu yeyote anayeenda kinyume na mafunzo ya kiislamu ni same kwa wakristo wengine wanaoenda kinyume na muongozo mzima wa kanisa katoliki la mitume huitwa PROTESTANTS
 
Iko hivi...

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja mzuri hatari. Alionekana ana stress kiasi na mzee baba nikajikaza na kuomba namba. Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni stress za kukosa ajira.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi ikaanzia hapo. Alikuwa anakuja sana 'ghetto' mpaka nikamkabidhi funguo, akawa anakuja muda wowote atakao, mimi nikiwa job (niliajiriwa fasta sana baada tu ya kumaliza chuo).

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona kulala na mtoto wa mtu ndani bila wazazi wake kujua alipo sio poa. Nikawaza nimletee wazo la ndoa, maana katika story zetu alikuwa akizungumzia sana "Mr. Liverpool utanioa lini au ndio unanit*mba tuu?"

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote tunaingiza kipato. Nilihustle sana kutuma applications kila ofisi nikisikia hata tetesi natuma. Mara Mungu bariki akapata serikalini.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio wakati wa kuleta proposal ya ndoa. Nilivyoiwakilisha mbele yake jibu alilonijibu "Mimi nafikiri siwezi kuolewa" Aisee! asikwambie mtu.Lile jibu liliniuma sana tena sana. Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikuwa tarehe 01/May), mara tarehe 20/May naona anapost Facebook picha za ndoa, tena na 'baharia' waliokutana ofisiniI kwenye kazi niliyomtafutia.

Dah! Yule dada aliniuma sana. Yaani kujitoa kote kule, leo haya ndio malipo yangu? Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9, mara namba ngeni ikaingia. Kupokea kumbe ni yeye. Tuliongea mengi ila alileta proposal anataka kurudi kwa kafiri. Kisa mumewe ameoa mke wa pili na yeye uke wenza hawezi. Nilichomjibu mimi ni "Pambana na hali yako, mimi siwezi kufanya hivyo". Yeye akasema "Basi hata uwe mchepuko wangu?" Mimi nikasema "Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka".

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane. Tukakutana mitaa ya Uwanja wa Ndege. Aisee! Amekonda. Tako lote limeyeyuka. Shape yote imesepa. Yaani mpaka namuonea huruma.

Tuliongea sana na nikamuomba kuondoka. Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "Siwezi kukusaidia kwa lolote". Japo namuonea huruma sana ila "Kila mtu avune alichopanda".

Ukipendwa, pendeka mtoto wa kike.

Wanaume, tutumia kichwa kikubwa cha juu, cha chini huwa kinatudanganya sana.

#ASANTE
#YNWA
Umenikumbushaa mbaliii saaaana Lilian wangu alinikataa .....!!!! Leo imekuwa usumbufu
 
Sasa hivi upepo wa Ma-ex kurudi ni mkali mno. Huyu alinipotezea tangu mwezi wa 1 mwaka huu alipopata kazi, nkajaribu mtafuta tafuta akawa hajibu sms wala hapokei simu japokama nlikuwa namuona kabisa online na status anaweka ila baada ya muda nikawa simuoni tena nkajua nshakula block. Sasa sijui kimemtokea nini yaani amerudi na sababu ya kitoto mpaka nimegundua kumbe nilikuwa nadate na kilaza namna hii[emoji1] na bado anajiamini kuniita Love kwa miezi yote hiyo alokuwa kanipotezea.

Polisi wanajua shikilia simu miezi 9 kwa upelelezi kudadekiView attachment 1240684
Bae[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ungemkuta bado na tako lake, ungempotezea?

Mkuu umetuwakilisha vema sana. Hawa viumbe sometimes ni Wa puuzi sana inahitaji kuwa na IQ kubwa sana kuwakabili

[emoji23][emoji23][emoji23] nimejikuta nasoma mara mbili mbili polisi oyeeee

Kwanza pole sana baharia, pili daah! Asikwambie mtu, baharia usijaribu hata siku moja kumzunguka huyo bahatia wake. "mabaharia hatuzungukani tunasaidiana"
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Back
Top Bottom