Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ila nadhani kuna kiukweli Fulani hivi..
Ukidate na wanawake waliokuzidi umri (na hasa 30's) kuna amani na vitu Fulani unaPata tofauti na hawa 20's.. Na kimoja waPo ni "" FREE FROM HEADACHE""
ahahahaah nani kakudanganya?, unafika nao hawana wivu?
 
Twenty's wana leta sanaa STRESS...

#YNWA
jitahd kuchagua , chagua kwa umakini kwa akili, usitumie moyo...kuna wanawake wana umri mdg lkn wana mapenz ya dhati ww acha tuu...lkn ndo ivyo tena mapenz ata hayatabiriki duniani apa...ata mimi siyaamini mapenzi asilimia zote
 
Duh... Pole yetu vijana..!!!
jitahd kuchagua , chagua kwa umakini kwa akili, usitumie moyo...kuna wanawake wana umri mdg lkn wana mapenz ya dhati ww acha tuu...lkn ndo ivyo tena mapenz ata hayatabiriki duniani apa...ata mimi siyaamini mapenzi asilimia zote
#YNWA
 
Majimama na majidada...!! Ndio vijana twapenda...!!!!
Ahahahhh hamna bhn, ni jinc unavyowajenga ww km ww...mbona sisi hatuna mambo meng kiasi iko...ni ww tu mwnyw unaogopa
#YNWA
 
Ah kila mtu na uelewa wake na jinsi anavyopenda...so we kama umeona umri huo ndo sahihi kwako basi sawa...
Kila la kheri
Lakini Mkuu usisahau misemo ya wahenga in akisi ukweli mwingi,mfano msemo usemao "ujana maji ya Moto".
Vijana wanataka kufanya Kila Jambo,kwa hiyo utulivu inakua ni shida kidogo na kadri umri unavyoenda utulivu ndo unaanza kuja.
Kwani wewe mwenzangu uko ktk level gani ya umri? Teenager,ishirinager ,thelathinger ,ama?
Naomba nijue ili ikiwezekana tuongee faragha?
Maisha ndo hayahaya,hakuna maisha mengine.
 
Nicheki pm
 
Umri wa mtu huo ni siriiii[emoji16][emoji16]

Ni kweli umri ukiwa umezd utulivu unapatikana ...si unajua vijana mambo mengi, bd hawajamaliza starehe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lkn tambua kuna wkt starehe unakuwa umezichoka na unahitaji mtu wa kujenga nae maisha na kuwa nae uzeeni uko, lzm utawahtj hao vijana..au nako utaoa mijimama?
Nitaoa nikizeeka kidogo... Wakati huo hao madada wa rika langu watakua majimama wa wakati huo..!!
 
Back
Top Bottom