Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,007
- 306
Naomba nambazake huyo white
Kuna demu mmoja hv nilikuwa nae na nilitoka nae kijijini kwetu mpaka yeye kuwa chuo nilafanya kazi kubwa ya kuwashauri baadhi ya ndug zakeIlikutokeaje mkuu,
Nimekuelewa zaidi ulivyoelezea kuna mwanamke alizingua kipindi cha chuo sasa hivi ana mtoto kazalishwa mtoto miaka mitatu anasema nimuoe mimi namwangalia nacheka tu
Kumbe ulikuwa unatombana na kenge mkuu dohHawa kenge(wanawake) wanatuonaga sisi tunaowapenda tunakuwa kama vile vipofu (hatuoni ukweli)
Hahahahahahaahahah. wote watamtafuta sio?Tusua kwanza maisha
Miaka ya nyuma nilikuwa na msichana wangu mweupe(ugonjwa wangu aisee) Ni msichana ambae nilimpenda sana kwa sababu wenge la mapenzi ndo alinitoa yeye.In short nae alikuwa mzuri sana(according to my eyes) mpaka ikafika point akawa anavuma pale chuoni.
Nakumbuka ilipofika mwaka wa pili mwenzangu akawa na mambo mengi mimi nipo bize na masomo.Ilifika point akawa anafuata na gari kila ijumaa pale chuoni na jamaa fulani wa makamo.
Nikimuuliza mwenzangu anajibu kuwa yule ni uncle wake huwa anampenda sana na pia anafanya kazi pale mlimani city mall hivyo kila ijumaa anamchukua ili aende kwake na mke na watoto.Kwa uzoba wangu ilinibidi nikubali tu japokuwa kuna kitu kilikuwa kinanistua moyoni nikawa nakikemea.
Yule dada kwa kweli aliuwin moyo wangu kwa sababu kila sababu aliyokuwa akiniambia nilikuwa naiubali hata kwa kujilazimisha.
Uncle nilianza kumsuspect kwa sababu alikuwa anamnunulia zawadi nyingi sana including laptop,
na mazaga mazaga akawa ananitenga nikiuliza anakuwa mkali,Niwe tu muwazi mwaka wa pili nilijikuta matokeo yangu ya UE yamekaa vibaya(graph la matokeo likawa limeshuka),marafiki zangu wakawa wanaona ninavyonyanyasika kimapenzi.Ki ukweli alinipenda ila kosa langu kubwa ni kuwa nilikuwa sina hela(mwanafunzi mwenzie).
Lile li uncle likawa lipo bize nae mpaka usiku likawa linampigia simu.Kuna rafiki yangu mmoja ambae tulisoma nae shule ya msingi tumekutana pale chuo akanikalisha chini na kunipa ushauri nikubali kuwa huyu msichana kashatekwa na wajanja coz hata huyo uncle wake kuja kufuatilia kupitia kwa mdogo wake mchumba wangu akaniambia hawana mjomba mwenye jina kama hilo na pia hawana mjomba anaefanya kazi mlimani city.
Nilianza kujifunza kukubali kuwa nimeshatemwa taratibu kwa msaada na usimamizi wa rafiki yangu akaanza kunikeep bize na masomo na mazoezi mpaka ikafika point nikakubali kuwa huyu sio wangu japokuwa kuna wakati alikuwa ananimiss na kujirudi kiuongo uongo ila upendo nikaanza kuuvua taratibu nikajiapiza sitaki mbwa yeyote wa kike aharibu furaha,masomo,moyo na hata afya yangu.
Niliweza kumove on ila niliapa kutafuta pesa kwa juhudi ili nilipize kisasi(japokuwa niliona upuuzi kulipa kisasi).Nilidelete kila kitu kwenye ubongo wangu kinachomhusu yeye nikawekeza nguvu kwenye kutafuta maisha
SABABU YA KUANDIKA:Baada ya kupotezana kwa muda mrefu mwenzangu kumbe ananitafuta kwa muda mrefu sana na kubahatika kunipata kupitia namba ya simu,White ameomba kuonana na mimi bahati mbaya mi nipo mkoa nje ya Dar ikabidi kumuonesha mi mbweha nikamfanyia booking ya Go and return fast jet ili aje huku nilipo tuonane nae nikamuandalia mtu wa kumpokea airport(nina gari yangu Carina TI inafanya service ya Tax) amefikia Hotel fulani kubwa hapa Mkoa nilipo, nimeenda kuonana nae kachoka mbaya ule uzuri wote aliokuwa nao umepungua.
Mbaya zaidi nikatoka nae out mpaka kwenye kitimoto tukapiga story nyingi mi nikamuambia kuwa nimeshaoa hivyo sipo tayari kufanya chochote kibaya nae kwa sababu mi sitaki kuumiza wasio na hatia.
ALILIA SANA AISEE ANAJUTIA MAZOMBIE ALIYONIFANYIA ANATAMANI MOVIE IRUDIWE ILI ASINIUMIZE NA ANATAMANI AWE MKE WANGU ILA NDO HIVYO TENA ANAISHIA KULIA LIA TU HAPA.Mbaya zaidi nimemkatia tiketi ya go n return ili nimuumize kidogo kwa alichonifanyiaga mpaka ikapelekea mimi kudrop kiufaulu.
UJUMBE WANGU:WASICHANA PENDENI WATU BILA KUANGALIA KIPATO CHAO,KWENYE LIFE KUNA UPS N DOWN TAJIRI WA LEO ANAWEZA AKAWA MASIKINI WA KESHO AND VICE VERSA.
USIMJUDGE MWANAUME ENZI ZA UTAFUTAJI WAKE KWA SABABU BADO ANAFIGHT HUJUI ATAPATA NINI?
Mimi ex wangu katusua kunizidi, ila mimi ndie niliemuacha! Siku ameniona pale Kimara naingia stend za mwendo kasi akanipigia honi akitaka kunipa lift.
Hahaha.... .mkuu umenikumbusha mbali sana "Malabuk"Hahaha hii story naikumbuka Copenhagen ..sasa hivi unagonga Cuban Cigars na kuteleza na wameli lazima azime fegi
Malabuk .
Hahaha....wewe hatari sana, vidudu una demu!!!!.....Toka demu wangu wa chekechea anitende
Kisa sikumnunulia andazi hiyo siku
Mmh ... Sipo serious now tena ..
[emoji23] [emoji23]Ndio,chagua mmoja sasa
Hahah nina babu yangu huyo Malabuk na Blaliful (blood fool)Hahaha.... .mkuu umenikumbusha mbali sana "Malabuk"
Ila ukiwa unakata shirika lolote Tanzania wanaiita 'GO and RETURN TICKET' hajakosea!.Tuelimishane kidogo, tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi, kwa Kiingereza wanaiita 'return ticket' na ile ya kwenda tu wanaiita ' one way ticket'
Hahahah me nina Ex mmoja nilimtorosha sana shule kipindi chetu lakini alipokuja kuwa Miss tukasahauliana, nilijiengua mwenyewe sikuhizi namsikia tu!.. Sijui nani katoboa zaidi kati yetu!.Mi nashangaa huu uzi, yaani wanaume wote kwenye huu uzi wametendwa na wameumizwa na ma Ex...halafu wote wamekutana nao wamepauka, wanaomba kurudi baada kuona wanaume mambo safi, wakaomba kuwarudia mkakataa, wamezalishwa[emoji15] [emoji15] .......hivi hakuna ex mliokutana nao mambo safi, na wana maisha mazuri na hata hawana mpango wa kuwarudia???
Miaka ya nyuma nilikuwa na msichana wangu mweupe(ugonjwa wangu aisee) Ni msichana ambae nilimpenda sana kwa sababu wenge la mapenzi ndo alinitoa yeye.In short nae alikuwa mzuri sana(according to my eyes) mpaka ikafika point akawa anavuma pale chuoni.
Nakumbuka ilipofika mwaka wa pili mwenzangu akawa na mambo mengi mimi nipo bize na masomo.Ilifika point akawa anafuata na gari kila ijumaa pale chuoni na jamaa fulani wa makamo.
Nikimuuliza mwenzangu anajibu kuwa yule ni uncle wake huwa anampenda sana na pia anafanya kazi pale mlimani city mall hivyo kila ijumaa anamchukua ili aende kwake na mke na watoto.Kwa uzoba wangu ilinibidi nikubali tu japokuwa kuna kitu kilikuwa kinanistua moyoni nikawa nakikemea.
Yule dada kwa kweli aliuwin moyo wangu kwa sababu kila sababu aliyokuwa akiniambia nilikuwa naiubali hata kwa kujilazimisha.
Uncle nilianza kumsuspect kwa sababu alikuwa anamnunulia zawadi nyingi sana including laptop,
na mazaga mazaga akawa ananitenga nikiuliza anakuwa mkali,Niwe tu muwazi mwaka wa pili nilijikuta matokeo yangu ya UE yamekaa vibaya(graph la matokeo likawa limeshuka),marafiki zangu wakawa wanaona ninavyonyanyasika kimapenzi.Ki ukweli alinipenda ila kosa langu kubwa ni kuwa nilikuwa sina hela(mwanafunzi mwenzie).
Lile li uncle likawa lipo bize nae mpaka usiku likawa linampigia simu.Kuna rafiki yangu mmoja ambae tulisoma nae shule ya msingi tumekutana pale chuo akanikalisha chini na kunipa ushauri nikubali kuwa huyu msichana kashatekwa na wajanja coz hata huyo uncle wake kuja kufuatilia kupitia kwa mdogo wake mchumba wangu akaniambia hawana mjomba mwenye jina kama hilo na pia hawana mjomba anaefanya kazi mlimani city.
Nilianza kujifunza kukubali kuwa nimeshatemwa taratibu kwa msaada na usimamizi wa rafiki yangu akaanza kunikeep bize na masomo na mazoezi mpaka ikafika point nikakubali kuwa huyu sio wangu japokuwa kuna wakati alikuwa ananimiss na kujirudi kiuongo uongo ila upendo nikaanza kuuvua taratibu nikajiapiza sitaki mbwa yeyote wa kike aharibu furaha,masomo,moyo na hata afya yangu.
Niliweza kumove on ila niliapa kutafuta pesa kwa juhudi ili nilipize kisasi(japokuwa niliona upuuzi kulipa kisasi).Nilidelete kila kitu kwenye ubongo wangu kinachomhusu yeye nikawekeza nguvu kwenye kutafuta maisha
SABABU YA KUANDIKA:Baada ya kupotezana kwa muda mrefu mwenzangu kumbe ananitafuta kwa muda mrefu sana na kubahatika kunipata kupitia namba ya simu,White ameomba kuonana na mimi bahati mbaya mi nipo mkoa nje ya Dar ikabidi kumuonesha mi mbweha nikamfanyia booking ya Go and return fast jet ili aje huku nilipo tuonane nae nikamuandalia mtu wa kumpokea airport(nina gari yangu Carina TI inafanya service ya Tax) amefikia Hotel fulani kubwa hapa Mkoa nilipo, nimeenda kuonana nae kachoka mbaya ule uzuri wote aliokuwa nao umepungua.
Mbaya zaidi nikatoka nae out mpaka kwenye kitimoto tukapiga story nyingi mi nikamuambia kuwa nimeshaoa hivyo sipo tayari kufanya chochote kibaya nae kwa sababu mi sitaki kuumiza wasio na hatia.
ALILIA SANA AISEE ANAJUTIA MAZOMBIE ALIYONIFANYIA ANATAMANI MOVIE IRUDIWE ILI ASINIUMIZE NA ANATAMANI AWE MKE WANGU ILA NDO HIVYO TENA ANAISHIA KULIA LIA TU HAPA.Mbaya zaidi nimemkatia tiketi ya go n return ili nimuumize kidogo kwa alichonifanyiaga mpaka ikapelekea mimi kudrop kiufaulu.
UJUMBE WANGU:WASICHANA PENDENI WATU BILA KUANGALIA KIPATO CHAO,KWENYE LIFE KUNA UPS N DOWN TAJIRI WA LEO ANAWEZA AKAWA MASIKINI WA KESHO AND VICE VERSA.
USIMJUDGE MWANAUME ENZI ZA UTAFUTAJI WAKE KWA SABABU BADO ANAFIGHT HUJUI ATAPATA NINI?
Yeye katoboa mkuu...Hahahah me nina Ex mmoja nilimtorosha sana shule kipindi chetu lakini alipokuja kuwa Miss tukasahauliana, nilijiengua mwenyewe sikuhizi namsikia tu!.. Sijui nani katoboa zaidi kati yetu!.