nampata huyo mdada anakufuata hadi huko Arusha hutaki kula mishe analala mwenyewe Lodge na unampatia tiketi anarudi ila uzuri unampatia hela tayari amenunua kiwanja gongolamoto ndo anaanza kujenga kwa hela zako na anadai husimamishiMiaka ya nyuma nilikuwa na msichana wangu mweupe(ugonjwa wangu aisee) Ni msichana ambae nilimpenda sana kwa sababu wenge la mapenzi ndo alinitoa yeye.In short nae alikuwa mzuri sana(according to my eyes) mpaka ikafika point akawa anavuma pale chuoni.
Nakumbuka ilipofika mwaka wa pili mwenzangu akawa na mambo mengi mimi nipo bize na masomo.Ilifika point akawa anafuata na gari kila ijumaa pale chuoni na jamaa fulani wa makamo.
Nikimuuliza mwenzangu anajibu kuwa yule ni uncle wake huwa anampenda sana na pia anafanya kazi pale mlimani city mall hivyo kila ijumaa anamchukua ili aende kwake na mke na watoto.Kwa uzoba wangu ilinibidi nikubali tu japokuwa kuna kitu kilikuwa kinanistua moyoni nikawa nakikemea.
Yule dada kwa kweli aliuwin moyo wangu kwa sababu kila sababu aliyokuwa akiniambia nilikuwa naiubali hata kwa kujilazimisha.
Uncle nilianza kumsuspect kwa sababu alikuwa anamnunulia zawadi nyingi sana including laptop,
na mazaga mazaga akawa ananitenga nikiuliza anakuwa mkali,Niwe tu muwazi mwaka wa pili nilijikuta matokeo yangu ya UE yamekaa vibaya(graph la matokeo likawa limeshuka),marafiki zangu wakawa wanaona ninavyonyanyasika kimapenzi.Ki ukweli alinipenda ila kosa langu kubwa ni kuwa nilikuwa sina hela(mwanafunzi mwenzie).
Lile li uncle likawa lipo bize nae mpaka usiku likawa linampigia simu.Kuna rafiki yangu mmoja ambae tulisoma nae shule ya msingi tumekutana pale chuo akanikalisha chini na kunipa ushauri nikubali kuwa huyu msichana kashatekwa na wajanja coz hata huyo uncle wake kuja kufuatilia kupitia kwa mdogo wake mchumba wangu akaniambia hawana mjomba mwenye jina kama hilo na pia hawana mjomba anaefanya kazi mlimani city.
Nilianza kujifunza kukubali kuwa nimeshatemwa taratibu kwa msaada na usimamizi wa rafiki yangu akaanza kunikeep bize na masomo na mazoezi mpaka ikafika point nikakubali kuwa huyu sio wangu japokuwa kuna wakati alikuwa ananimiss na kujirudi kiuongo uongo ila upendo nikaanza kuuvua taratibu nikajiapiza sitaki mbwa yeyote wa kike aharibu furaha,masomo,moyo na hata afya yangu.
Niliweza kumove on ila niliapa kutafuta pesa kwa juhudi ili nilipize kisasi(japokuwa niliona upuuzi kulipa kisasi).Nilidelete kila kitu kwenye ubongo wangu kinachomhusu yeye nikawekeza nguvu kwenye kutafuta maisha
SABABU YA KUANDIKA:Baada ya kupotezana kwa muda mrefu mwenzangu kumbe ananitafuta kwa muda mrefu sana na kubahatika kunipata kupitia namba ya simu,White ameomba kuonana na mimi bahati mbaya mi nipo mkoa nje ya Dar ikabidi kumuonesha mi mbweha nikamfanyia booking ya Go and return fast jet ili aje huku nilipo tuonane nae nikamuandalia mtu wa kumpokea airport(nina gari yangu Carina TI inafanya service ya Tax) amefikia Hotel fulani kubwa hapa Mkoa nilipo, nimeenda kuonana nae kachoka mbaya ule uzuri wote aliokuwa nao umepungua.
Mbaya zaidi nikatoka nae out mpaka kwenye kitimoto tukapiga story nyingi mi nikamuambia kuwa nimeshaoa hivyo sipo tayari kufanya chochote kibaya nae kwa sababu mi sitaki kuumiza wasio na hatia.
Alilia sana aisee anajutia mazombie aliyonifanyia anatamani movie irudiwe ili asiniumize na anatamani awe mke wangu ila ndo hivyo tena anaishia kulia lia tu hapa.mbaya zaidi nimemkatia tiketi ya go n return ili nimuumize kidogo kwa alichonifanyiaga mpaka ikapelekea mimi kudrop kiufaulu.
Ujumbe wangu:wasichana pendeni watu bila kuangalia kipato chao,kwenye life kuna ups n down tajiri wa leo anaweza akawa masikini wa kesho and vice versa usimjudge mwanaume enzi za utafutaji wake kwa sababu bado anafight hujui atapata nini?
Are you normal upstairs?Mi nashangaa huu uzi, yaani wanaume wote kwenye huu uzi wametendwa na wameumizwa na ma Ex...halafu wote wamekutana nao wamepauka, wanaomba kurudi baada kuona wanaume mambo safi, wakaomba kuwarudia mkakataa, wamezalishwa![]()
.......hivi hakuna ex mliokutana nao mambo safi, na wana maisha mazuri na hata hawana mpango wa kuwarudia???
Haupo normal upstairs, mwanamke kama weww ni hasara kwa taifa. Pia unawachoresha wanawake wenzio na kuwaaibisha.We nae mfyuuu![]()
Wee ni mndukuu...na ndio maana wanawake mtaan kwenu wanakudharau sanaHaupo normal upstairs, mwanamke kama weww ni hasara kwa taifa. Pia unawachoresha wanawake wenzio na kuwaaibisha.




Yeah mimi ni mlevi hasa, hata avatar inajieleza. Yaani unakimbilia kutukana? Wewe ni dume, sio mwanamke. Kama mwanamke basi njoo PM nikutong*ze halafu tukupige mt*ngo au mande na washkaji zangu. Offer hiyo!Wee ni mndukuu...na ndio maana wanawake mtaan kwenu wanakudharau sana
Unaitwa boya, fala, jinga wameona uzezeta wako, na hapa unajidhirisha!
Ndio maana lilevi la mataputapu
Kwendraa na nyuzi zako za kuomba omba hela humu!
Kupauka kwake kunanikumbusha maumivu aliyonipa enzi zile nikajiona mbuzi kumbe ili nifae nilitakiwa niwe na hela.mara nyingi tunatamani sana hizi story kuwa uliemwacha kapauka and so on, wewe mbona husemi mwanamke mwanzo na uzuri wake alikukubalia... ilitosha wewe hapo chuo kuanza biashara ndogondogo hata kuuza bagia umtunze!!
.
.
huoni ulivyopata shekeli ameanza kurudi!?
we jamaa huyu mwanamke ni kama unamkumbuka kiaina, eb kaa na mkeo, ye akipauka inakuhusu nini?? mwache yupo kuna mwamba atamtakatisha muda si mrefu!!
.
.
kikao chetu tulichokaa kilitoka na azimio moja Hela zitafutwe kwa nguvu zote, maana bila shekeli huwezi pata hata busu la mrembo.
.
.
nakala aione kwenye jalada:
zero IQ
😝😝😝😝😝😝😝😂😂😂😂😂😂😅😅😅🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸. Daaah aseee nilipo sina mbavu pesa mzizi mkavu yaaani ukiwa kama Ginimbi hutashangaaa fulani kapata wapi namba.Kuna ka ujumbe nilikapata jana kalinifurahsha na kunichekesha sana, NANUKUU
"Kwa wale waliowapoteza ndugu na Marafiki na wanataman wapate mawasiliano nao, usihangaike we tafta tuu pesaa, watakutafta wenyewe, wapi watapata namb zako? Hilo sio jukumu lako"
Mwisho wa kunukuu
Nimeiona mkuu japo kwa kuchelewamara nyingi tunatamani sana hizi story kuwa uliemwacha kapauka and so on, wewe mbona husemi mwanamke mwanzo na uzuri wake alikukubalia... ilitosha wewe hapo chuo kuanza biashara ndogondogo hata kuuza bagia umtunze!!
.
.
huoni ulivyopata shekeli ameanza kurudi!?
we jamaa huyu mwanamke ni kama unamkumbuka kiaina, eb kaa na mkeo, ye akipauka inakuhusu nini?? mwache yupo kuna mwamba atamtakatisha muda si mrefu!!
.
.
kikao chetu tulichokaa kilitoka na azimio moja Hela zitafutwe kwa nguvu zote, maana bila shekeli huwezi pata hata busu la mrembo.
.
.
nakala aione kwenye jalada:
zero IQ
Umenena ukweli mkuuWakat mwingne mshukuru sn uyo white wako, maana alivyokupiga chini ukaanza kufeli baadae ndo ukapata Akili ya kukaza kwenye masomo na ukawa na usongo wa kuzitafuta pesa, might be asingekupiga chini nyie wote wawil akili zenu zingelala leo hii mngekua na maisha duni au ya kawaida sana.
Kikubwa tujifunze kua kwa kila Changamoto tunayokutana nao mbele ya iyo changamoto kuna Fursa kubwa sana
Huu ujumbe sijaukubali na sitakaa niukubali mkuu. Yaani manzi avumilie shida,dhiki, tabu , mateso kwa mtu asie na pesa eti kwa kuamini kua atapata baadae.Ujumbe wangu:wasichana pendeni watu bila kuangalia kipato chao,kwenye life kuna ups n down tajiri wa leo anaweza akawa masikini wa kesho and vice versa usimjudge mwanaume enzi za utafutaji wake kwa sababu bado anafight hujui atapata nini?
Una gundu mkuuMe demu wangu,aliniacha kwa mbwembwe,akaolewa(nabado kaolewa hadi sasa),na ana maisha mazuri tu,Mimi nilie achwa bado nasota mtaani mwaka wa pili sasa.namuombea afanikiwe zaidi
Hahahah yaani bado anampa helanampata huyo mdada anakufuata hadi huko Arusha hutaki kula mishe analala mwenyewe Lodge na unampatia tiketi anarudi ila uzuri unampatia hela tayari amenunua kiwanja gongolamoto ndo anaanza kujenga kwa hela zako na anadai husimamishi





