Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,269
Kama wote tungejua kesho yetu tungeepukana na upumbavu mwingi sana.

Kama wote tungejua kesho yetu tungeepukana na upumbavu mwingi sana.

Inaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.
Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo makapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.
Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpr hata mia yangu.
Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
itakuwa huyu aliyesimuliwa hapa ni Kuku Kuchiii .aiseeee

Poleni sana,Whatever be, lkn kuna cha kujifunza. Ni kama ka copy na paste maisha niliyopitia chuoni
Yule mkurugenzi fulani akakusaidia kikazi,ushasahauMm mbona sikutani na ma X zangu kbs
Ndio,chagua mmoja sasaKumbe kuna Billie na BILGERT
Wanawake wengi hawajuagi kuwa mwanaume kuwa broke ni temporary situation katika maisha, with the right resource unaweza kuwa mtu tofauti kabisa in a few years!
Kuna demu mmoja mzuri alikuwa anasoma Uraki sec Arusha 2007. Nusu mrangi mpare. Nilimpenda ila aliniacha akamuendea jamaa flan mambo fresh ila siyo tajir. Nimeona picha yake majuzi dah kachakaa wanaume wanajua kuchakaza mademu.
Yamakagashi
Baba yangu alinambiaga,,Mwanangu siku nilipoacha kuwafukuzia wanawake, nikaanza kujipa Thaman, Mama yako alinifuata mwenyewe.
Wanawake wengi. ,, Hawapendi mwanaume akiwa mtafutaji. ,,wanataka wakukute unamaisha.
Mlete kwangu atatakata tuuofcoz japokuwa uandishi wangu mbovu nimetype nikiwa kazini nimetingwa na kazi nimefanya hivi kumuonesha ulivyokuwa unaniliza kwa hali yangu ya uanafunzi haimanishi kuwa ningedumu nayo mpaka leo.Japokuwa nimetumia hela nyingi moyo wangu umeridhika nimemuachia homa.
Ukajificha kwa aibu?Mimi ex wangu katusua kunizidi, ila mimi ndie niliemuacha! Siku ameniona pale Kimara naingia stend za mwendo kasi akanipigia honi akitaka kunipa lift.
Maamuzi magumu kwa mtu makini na wakati sahihi.Nilianza kujifunza kukubali kuwa nimeshatemwa taratibu kwa msaada na usimamizi wa rafiki yangu akaanza kunikeep bize na masomo na mazoezi mpaka ikafika point nikakubali kuwa huyu sio wangu japokuwa kuna wakati alikuwa ananimiss na kujirudi kiuongo uongo ila upendo nikaanza kuuvua taratibu nikajiapiza sitaki mbwa yeyote wa kike aharibu furaha,masomo,moyo na hata afya yangu.
Kwanini nijifiche mkuu wakati nilimuacha for good! Huenda ndio nilimfungulia milango kumpata mwingine zaid yanguUkajificha kwa aibu?
Kuna demu mmoja mzuri alikuwa anasoma Uraki sec Arusha 2007. Nusu mrangi mpare. Nilimpenda ila aliniacha akamuendea jamaa flan mambo fresh ila siyo tajir. Nimeona picha yake majuzi dah kachakaa wanaume wanajua kuchakaza mademu.
Yamakagashi
Sante sana manPoleni sana,
Ilikutokeaje mkuu,Hahahaha eti mbwa wa kike, Umenikumbusha yaliyowahi kunitokea