Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Bisheni kwa hoja nyie viumbe. Ona huyu eti nina kibamia sijui.

Tatizo lenu mfumo dume umewaharibu badala ya kuwajenga umewalemaza sana, unaacha kusaka do umpate umptakae. Nyie mmekalia kutaka huruma ya binti, unadhani yeye hawazi itakuaje km wewe utabadilika au unajiwazia wewe tu.

Akili zenu visoda nyie watu, lete hoja na huyo mwamba anasema mi ni type ya kina juma lokole ilhali hana hata hoja aliyotoa zaidi ya mipasho.
Yeah, ni kweli nina mfumo DUME na ninau-practise so what? Unafikir umpendaye utsmpata kwa pesa pekee? Na ndo maan nikasema ww co mzima, u must have 'kibsmia' thats why unatanguliza sana ela kuliko upendo
 
Relaax kijana, hakuna alietanguliza hela nadhani hujaelewa.

Nimesema hivi, kama unaona huyo manzi sio level yako achana nae wapo kibao unaoweza kuwamudu kwa icho kipato chako. Usilazimishe wala usimlaumu na kumtuhumu kivyovyote yule anaekuacha kisa huna pesa, ni haki yake kupenda popote na chochote. Narudia tena usitafute huruma kisa we ni maskini. Na kingine ambacho hujaelewa ni hiyo statement yako kua "unaempenda utampata kwa pesa pekee", ni hivi tafuta wa level yako.

Na pia nikasema kua mfumo dume haujakujenga ila umekuharibu kwa kuutafsiri vibaya. Hiyo ya kibamia em usiitaje tena unajishushia hadhi yaki mtoto wa kiume kusema sema kuhusu maumbile ya wanaume wenzio.
 
Una akili za kibaguzi sana kukosa kwa mwanaume ni jambo ambalo linamuumiza na kumkera kuliko hata wewe unaejiita manzi wake.UVUMILIVU KWA HALI YA MWENZIO NI KIPIMO CHA UBINADAMU KWAKO
Hilo ni dume mkuu wala usihuzunike saana,anajaribu kutengeneza mazingira tuu
 
Relaax kijana, hakuna alietanguliza hela nadhani hujaelewa.

Nimesema hivi, kama unaona huyo manzi sio level yako achana nae wapo kibao unaoweza kuwamudu kwa icho kipato chako. Usilazimishe wala usimlaumu na kumtuhumu kivyovyote yule anaekuacha kisa huna pesa, ni haki yake kupenda popote na chochote. Narudia tena usitafute huruma kisa we ni maskini. Na kingine ambacho hujaelewa ni hiyo statement yako kua "unaempenda utampata kwa pesa pekee", ni hivi tafuta wa level yako.

Na pia nikasema kua mfumo dume haujakujenga ila umekuharibu kwa kuutafsiri vibaya. Hiyo ya kibamia em usiitaje tena unajishushia hadhi yaki mtoto wa kiume kusema sema kuhusu maumbile ya wanaume wenzio.
Na ndio maana nikasema kuwa hata kama sina pesa na nimempenda mwenye ela zake, yaani aitokaa itokee eti nitsfute wa level yangu never, nitafanya juu chini nimpate regardless ananipenda, kwenye upendo pesa is not a big deal.

Kuhusu kuwa akiniacha nisimalumu yeyote, ni kweli sitoalaumu yeyote wala yeye sitomlaumu. Usichokijua ni kuwa sijawai kuachwa na demu mwenye ela, labada makapuku ndl huniacha, napo cjawai kuwapenda. Shortly sjawai kuachwa na pisi yenye ela zke.

Pia kutafuta ela ili nipendwe sio lazima ni hiyari, tupo tofaut ustake wote tutafute ela, wengine tuna vitu special vya kumfany msichana asiangalie pesa kwangu. Nyie mnaotsfuta pesa ili mpate wenye ela au pis kali endeleen, tupo tofauti kaka.
 
Ila wanawake bwana! Mungu awasamehe tu! Anakuacha kwa nyodo na kashifa kibao! Maneno ya shobo kibao! Siku yamemshinda huko,utaona tu ki sms, Mambo! Na wewe wala usiwe na hasira,nenda nae taratibu tu,unamjibu kila sms anayo text, mwisho wa siku I'm sorry nyingi,mara usichana tu,ndiyo ulinizingua,mara tamaa ya pesa,mara sijui shetani,naomba unisamehe nyingi hadi basi!! Kidume wakati huo na wewe mambo yameanza kunyooka,pesa ya kula sio shida tena,miradi ya hapa na pale,kazi nzuri,usafiri safi,site mjengo wa maana unasonga juu kila mwezi! Mwili unanukia marashi ya ukweli,bank account inasoma njema! Nyie haya maisha acheni tu!!
Umeniliza kaka, huu ni moja ya ujumbe bora jf kwa mwaka huu.umefkiria nn kaka?
 
Ila wanawake bwana! Mungu awasamehe tu! Anakuacha kwa nyodo na kashifa kibao! Maneno ya shobo kibao! Siku yamemshinda huko,utaona tu ki sms, Mambo! Na wewe wala usiwe na hasira,nenda nae taratibu tu,unamjibu kila sms anayo text, mwisho wa siku I'm sorry nyingi,mara usichana tu,ndiyo ulinizingua,mara tamaa ya pesa,mara sijui shetani,naomba unisamehe nyingi hadi basi!! Kidume wakati huo na wewe mambo yameanza kunyooka,pesa ya kula sio shida tena,miradi ya hapa na pale,kazi nzuri,usafiri safi,site mjengo wa maana unasonga juu kila mwezi! Mwili unanukia marashi ya ukweli,bank account inasoma njema! Nyie haya maisha acheni tu!!
Bro umeniliza
 
Mkuu hapa swala ni mwanamke mko nae chuo ina maana anakua na support kutoka kwa wazazi, sema vipesa vidogo vidogo jamaa sizani kama alikua hawezi kumpa ila demu tu tamaa nyingi inaonyesha alikua nazo.

Pia nakubaliana na wewe upande huu kwa mwanamke huyo huyo akiwa mtaani una mmiliki halafu huna mbele wala nyuma, bora umwache ajitafutie machungo mazuri sio kuleta mapenzi ya kihindi kua mvumiliane kwenye hamna, unakua unampotezea muda katafute pesa achana na mapenzi
Mimi naongelea in general mkuu, kama jamaa mleta uzi alivyotoa ushauri hapo mwisho hakubase chuo peke ake.

Wanaume tukubali kua ili kuhandle vizuri mahusiano basi pesa ni muhimu. Tusiwatwishe mizigo watoto wa kike kwa kutaka watusubiri tutusue na wakikataa kusubiri zigo la lawama na kejeli liwashukie. Nao wana maisha yao na kuna familia zinawategemea pia, tuwaache wajiamulie pia.
 
Inaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.

Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo kapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.

Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpe hata mia yangu.

Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
Weee umekomaa sasa
 
Nilichojifunza humu watu wanainjoi sana wakiona ma-ex wao walioachana kwa kashfa wanapigika🤔🤔🤔
 
sio kuja kujilalamisha huku akati mwenzio kapata mchongo sio, mimi nimekupata kabisa mkuu sema wengi wetu tukiachwa tunaweka vinyongo badala ya kuwapa uhuru wanawake kuamua wakitakacho

Muhimu wazingatie kuto waacha kwa nyodo basi na sisi tuache kuwekeana vinyongo na ma x zetu tusake pesa tu
Afadhari we umenielewa mkuu, wadau hapo juu wananishambulia wakati ndio ukweli. Mfano manzi kakuacha hata bila dharau wala nini ila wewe na umaskini wako unajenga chuki na visasi eti unataka akuonee huruma nyambaf. Ukimpata wa kukuvumilia shukuru ila sio kumwekea visasi aloshindwa kukuvumilia.

Tusake doo mkuu tuachane na kutaka huruma now days mtoto wa kike anategemewa kwao kama ilivyo kwa wa kiume ndio maana wanasomeshwa sana na wazazi wao, halafu leo kamtu kaje eti manzi avumilia shida wakati mlango wa kutusua anauona😂😂. Kikubwa asikuletee dharau akuache kwa amani.
 
Ndio la muhimu mzee asilete dharau tu, pia manzi akikuacha kisa huna pesa huwa inaleta hamasa sana ya kuzitafuta ili usiachwe tena kwa tatizo lile lile
Yaah inatia hamasa sana mkuu, kikubwa sio kumlaani na kumtakia mabaya ila pambana utoke kwenye umaskini.
 
Yaah inatia hamasa sana mkuu, kikubwa sio kumlaani na kumtakia mabaya ila pambana utoke kwenye umaskini.
Sasa wengine wakiachwa kisa mpunga huwa wanatia juhudi za kulia na kulalamika badala kuweka juhudi kwenye kuzitafuta.
 
Sasa wengine wakiachwa kisa mpunga huwa wanatia juhudi za kulia na kulalamika badala kuweka juhudi kwenye kuzitafuta.
Na ndio sababu wengine wanajinyonga badala ya kupambana na kujitoa huko kwenye umaskini mkuu.

Si busara kutumia pesa kama urimbo kunasa warembo wengi lakini ni poa zaidi kujichanga mpenzi wako asilalamike shida ndogondogo.
 
Afadhari we umenielewa mkuu, wadau hapo juu wananishambulia wakati ndio ukweli. Mfano manzi kakuacha hata bila dharau wala nini ila wewe na umaskini wako unajenga chuki na visasi eti unataka akuonee huruma nyambaf. Ukimpata wa kukuvumilia shukuru ila sio kumwekea visasi aloshindwa kukuvumilia.

Tusake doo mkuu tuachane na kutaka huruma now days mtoto wa kike anategemewa kwao kama ilivyo kwa wa kiume ndio maana wanasomeshwa sana na wazazi wao, halafu leo kamtu kaje eti manzi avumilia shida wakati mlango wa kutusua anauona. Kikubwa asikuletee dharau akuache kwa amani.
Hapo hata mimi nakuunga mkono, kikubwa ni heshima tu. Na mademu wengi hawawezi kuwaacha wanaume kwa heshima, huwaacha kwa dharau, na ndio tatizo huanzia hapo. Hususani hapa TZ, na ndio maana chuki za kimapenzi zinakuwa kubwa hata kwa mastaa, sio tu raia wa kawaida.
 
Miaka ya nyuma nilikuwa na msichana wangu mweupe(ugonjwa wangu aisee) Ni msichana ambae nilimpenda sana kwa sababu wenge la mapenzi ndo alinitoa yeye.In short nae alikuwa mzuri sana(according to my eyes) mpaka ikafika point akawa anavuma pale chuoni.

Nakumbuka ilipofika mwaka wa pili mwenzangu akawa na mambo mengi mimi nipo bize na masomo.Ilifika point akawa anafuata na gari kila ijumaa pale chuoni na jamaa fulani wa makamo.

Nikimuuliza mwenzangu anajibu kuwa yule ni uncle wake huwa anampenda sana na pia anafanya kazi pale mlimani city mall hivyo kila ijumaa anamchukua ili aende kwake na mke na watoto.Kwa uzoba wangu ilinibidi nikubali tu japokuwa kuna kitu kilikuwa kinanistua moyoni nikawa nakikemea.

Yule dada kwa kweli aliuwin moyo wangu kwa sababu kila sababu aliyokuwa akiniambia nilikuwa naiubali hata kwa kujilazimisha.

Uncle nilianza kumsuspect kwa sababu alikuwa anamnunulia zawadi nyingi sana including laptop,
na mazaga mazaga akawa ananitenga nikiuliza anakuwa mkali,Niwe tu muwazi mwaka wa pili nilijikuta matokeo yangu ya UE yamekaa vibaya(graph la matokeo likawa limeshuka),marafiki zangu wakawa wanaona ninavyonyanyasika kimapenzi.Ki ukweli alinipenda ila kosa langu kubwa ni kuwa nilikuwa sina hela(mwanafunzi mwenzie).

Lile li uncle likawa lipo bize nae mpaka usiku likawa linampigia simu.Kuna rafiki yangu mmoja ambae tulisoma nae shule ya msingi tumekutana pale chuo akanikalisha chini na kunipa ushauri nikubali kuwa huyu msichana kashatekwa na wajanja coz hata huyo uncle wake kuja kufuatilia kupitia kwa mdogo wake mchumba wangu akaniambia hawana mjomba mwenye jina kama hilo na pia hawana mjomba anaefanya kazi mlimani city.

Nilianza kujifunza kukubali kuwa nimeshatemwa taratibu kwa msaada na usimamizi wa rafiki yangu akaanza kunikeep bize na masomo na mazoezi mpaka ikafika point nikakubali kuwa huyu sio wangu japokuwa kuna wakati alikuwa ananimiss na kujirudi kiuongo uongo ila upendo nikaanza kuuvua taratibu nikajiapiza sitaki mbwa yeyote wa kike aharibu furaha,masomo,moyo na hata afya yangu.

Niliweza kumove on ila niliapa kutafuta pesa kwa juhudi ili nilipize kisasi(japokuwa niliona upuuzi kulipa kisasi).Nilidelete kila kitu kwenye ubongo wangu kinachomhusu yeye nikawekeza nguvu kwenye kutafuta maisha

SABABU YA KUANDIKA:Baada ya kupotezana kwa muda mrefu mwenzangu kumbe ananitafuta kwa muda mrefu sana na kubahatika kunipata kupitia namba ya simu,White ameomba kuonana na mimi bahati mbaya mi nipo mkoa nje ya Dar ikabidi kumuonesha mi mbweha nikamfanyia booking ya Go and return fast jet ili aje huku nilipo tuonane nae nikamuandalia mtu wa kumpokea airport(nina gari yangu Carina TI inafanya service ya Tax) amefikia Hotel fulani kubwa hapa Mkoa nilipo, nimeenda kuonana nae kachoka mbaya ule uzuri wote aliokuwa nao umepungua.

Mbaya zaidi nikatoka nae out mpaka kwenye kitimoto tukapiga story nyingi mi nikamuambia kuwa nimeshaoa hivyo sipo tayari kufanya chochote kibaya nae kwa sababu mi sitaki kuumiza wasio na hatia.

Alilia sana aisee anajutia mazombie aliyonifanyia anatamani movie irudiwe ili asiniumize na anatamani awe mke wangu ila ndo hivyo tena anaishia kulia lia tu hapa.mbaya zaidi nimemkatia tiketi ya go n return ili nimuumize kidogo kwa alichonifanyiaga mpaka ikapelekea mimi kudrop kiufaulu.

Ujumbe wangu:wasichana pendeni watu bila kuangalia kipato chao,kwenye life kuna ups n down tajiri wa leo anaweza akawa masikini wa kesho and vice versa usimjudge mwanaume enzi za utafutaji wake kwa sababu bado anafight hujui atapata nini?
Duuh
 
Back
Top Bottom