Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Wanawake wengi hawajuagi kuwa mwanaume kuwa broke ni temporary situation katika maisha, with the right resource unaweza kuwa mtu tofauti kabisa in a few years!
Uwezo wao wa kuona mbali huwa ni mdogo sana kwa hawa dada zetu.
 
hizi stori zenu natamani zinitokee na mm nashangaa zinatokea kinyume. mie manzi niliyekuwa nae kitambo icho alikuwa ananikubali balaa alafu sina kitu.

uoga wa maisha ukanifanya kurudisha majeshi home after kumaliza masomo. kalia sana nimuoe tutyafika mbali mie kimyaa.

alisha alewa, ana kazi maisha yanaenda.mie ni vibarua vya msimu na kupigana na kijibiashara

nahisi yuko moto sana na mimi, maana hatuna mawasiliano.
 
Shida ya hawa viumbe hawezi kukaa na mabwana zao wakajenga future zao, huwa wanaona wanachelewa maisha na kuwahi kutafuta waliofanikiwa baadae giza likiwashinda wanajirudi. So sad!
Kuja kujua lile li uncle kumbe li mme la mtu
 
Mimi ex wangu katusua kunizidi, ila mimi ndie niliemuacha! Siku ameniona pale Kimara naingia stend za mwendo kasi akanipigia honi akitaka kunipa lift.
Mmmm[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] tupe ushuhuda
 
hizi stori zenu natamani zinitokee na mm nashangaa zinatokea kinyume. mie manzi niliyekuwa nae kitambo icho alikuwa ananikubali balaa alafu sina kitu.

uoga wa maisha ukanifanya kurudisha majeshi home after kumaliza masomo. kalia sana nimuoe tutyafika mbali mie kimyaa.

alisha alewa, ana kazi maisha yanaenda.mie ni vibarua vya msimu na kupigana na kijibiashara

nahisi yuko moto sana na mimi, maana hatuna mawasiliano.
May be nguvu zako za kiume zinakubeba [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kuja kujua lile li uncle kumbe li mme la mtu
Pole sana mkuu.Hapo ndo utajua ule msemo wa kwamba mke wako mhesabu mnapokuwa naye tu ila akitoka nje inakuwa bahati nasibu
 
Inaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.

Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo makapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.

Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpr hata mia yangu.

Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kuna demu mmoja mzuri alikuwa anasoma Uraki sec Arusha 2007. Nusu mrangi mpare. Nilimpenda ila aliniacha akamuendea jamaa flan mambo fresh ila siyo tajir. Nimeona picha yake majuzi dah kachakaa wanaume wanajua kuchakaza mademu.
Yamakagashi
Hahaha hii story naikumbuka Copenhagen ..sasa hivi unagonga Cuban Cigars na kuteleza na wameli lazima azime fegi
Malabuk .
 
hizi stori zenu natamani zinitokee na mm nashangaa zinatokea kinyume. mie manzi niliyekuwa nae kitambo icho alikuwa ananikubali balaa alafu sina kitu.

uoga wa maisha ukanifanya kurudisha majeshi home after kumaliza masomo. kalia sana nimuoe tutyafika mbali mie kimyaa.

alisha alewa, ana kazi maisha yanaenda.mie ni vibarua vya msimu na kupigana na kijibiashara

nahisi yuko moto sana na mimi, maana hatuna mawasiliano.
Oa haraka sana huyo. Unazngua
 
Back
Top Bottom