Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,601
2,000
Mm sinaga uongo bhn kanipiga hela huyo kaka wala sitanii mtoa mada kasema tufungukee jaman
Kumbe hutanii?

Nimecheka kama mazuri jinsi ulivyokuwa unalalamika whatsapp baada ya kupigwa la macho na Hussein ila malipo ni hapa hapa duniani.
 
Top Bottom