Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,246
- 1,727
Duh 😂 😂Ameondoka na laki 8 yangu wew Hassan kadoke kada wa fisiem tapeli mkubwaaa
Duh 😂 😂Ameondoka na laki 8 yangu wew Hassan kadoke kada wa fisiem tapeli mkubwaaa
Mwendo wa slope tu kipindi hikiYaani Hussein alipo mbona shughuli imempata leo,dawa ya deni ni kulipa mfyuu,mie sipendi mijianaume inayopenda slope.Shenzzy zake
Salam amezipata huyu usalama wa taifa feki.Naona atakutafuta mwenyewe akulipe.Maana si kwa kuanikwa huku.
Ha ha ha, unaniacha hoi na vituko vyako, leo location wapi?
SawaNipende mimi
Hili tapeli lina roho ngumu haswaa ebu tulipeleke kesho makao makuu Lumumba tukamsemehe haiwezekani akichafue chama.Ila wadaiwa wengi wanakuaga wanajua kuchimba bit
Alikukopa wifi??Eti nampiga mkwalaaa mfyuuuuView attachment 1097806
Kumbe hutanii?Eti nampiga mkwalaaa mfyuuuuView attachment 1097806
Kumbe hutanii?
Nimecheka kama mazuri jinsi ulivyokuwa unalalamika whatsapp baada ya kupigwa la macho na Hussein ila malipo ni hapa hapa duniani.
Alikukopa wifi??
Mkoa ghani, nipo ungesogea hapa Rose garden- mikocheni, nimepark harrier nyeusi, tupate dinner.Modern Hotel
HallelujahNataka unipende Mimi....hutojuta
Pole jamaniAmeondoka na laki 8 yangu wew Hassan kadoke kada wa fisiem tapeli mkubwaaa
Nimesoma wii wake.. ukimuona mdai hela yakoAnza page 10 utapata majibu wifii akeee
Yahya wa Mujini, Hilo ni somo tosha.Mm sinaga uongo bhn kanipiga hela huyo kaka wala sitanii mtoa mada kasema tufungukee jaman
Acha nisogee nipo hapa kwenye car wash ya EvansMkoa ghani, nipo ungesogea hapa Rose garden- mikocheni, nimepark harrier nyeusi, tupate dinner.
Karibu, nimekaa upande huu wa signboard ya TCRA, naangalia Tv wakati nasubiria dinner.Acha nisogee nipo hapa kwenye car wash ya Evans
Kwa hiyo lijamaa limekugegeda na pesa limechukua...afu utashangaa ulikuwa unalipa bureHahahahhaha