Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

Yan ni mfupi kadogo tu nakwambia hata kidole hajai ila sasa tapeli kuna nesi General hospital kamtapel dada wa watu mkopo wa 4 million wafungue butcher sijui alimuingizaje lain mpaka leo dada analipa madeni
Angalia visikio vyake kama sungura
 
Kwahyo huyu ndo alipita na laki nane zako?do inabidi tukamsemehe kwa Katibu wake Dk.Bashiru ili azitoe tu mfyuu kada tapel hata apendezi.Utakuta kule jukwaa la siasa id yake ni ya Jingalao
Hahahah mwenyewe tena acha tu sina hamu mm acheni tu niendelee kutapeli na mm labda hasira zitapungua
 
We afande B, rudisha kiredio changu na hot pot langu. Kukuletea msosi isiwe sababu ya kudhulumu vyombo vyangu
Dah nina hotpot kama tatu hivi za wadada, huyo mmoja baada ya kuachana miezi kadhaa iliyo pita.. Leo kanitumia sms kuwa anahitaji hotpot lake. Sijamjibu chochote..
 
Wewe acha tu nimetoka naye mbali kabla hajawa maarufu anasoma mipango pale anakuja kula kulala kunyaaaa getho kwangu.

Saiv kawa maarufu utapeli kanifanyia lazima alipeee nimesema .
Haha ila jamaa kibobo laki nane za mwanamke ni nyingi mlivyo bahiri wa hela zenu.
 
Mm wa kwangu alisema anenda zanzibar alete sjui tv na redio yake wenyewe wanaitaje sijui mwaya nikaambiwa laki 8 nikaingia laini toka siku hiyo mpaka leo hapokei simu na zanzibar ikaishia hapoo ila nasema ipo siku yake yajaaa

Huyo Hassan kadoke kada wa fisiem Dodoma namlaani mpka kufaaaa
We Demiss ukidanganya uwe na kumbukumbu, si ulisema hiyo laki nane uliyotapeliwa ilikuwa ya sofa? Usije kuwa nawe tapeli.
 
Hahahhahahahaha aiseee anavyoipenda fisiem sasa jaman khaaaaa
Wanajiitaga usalama wa taifa ni matapeli mbaya sana akikamatwa na trafik anasema unanijua mm ni nan?
Muulize basi atoe kitambulisho cha usalama hanaaa aiseeeee......
Hawa kina ndege JOHN mnafeli wapi buku 7 haziwatoshiii
Kwahyo huyu ndo alipita na laki nane zako?do inabidi tukamsemehe kwa Katibu wake Dk.Bashiru ili azitoe tu mfyuu kada tapel hata apendezi.Utakuta kule jukwaa la siasa id yake ni ya Jingalao
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom