Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,279
Points
2,000
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,279 2,000
Koti langu alilompa baba yake naona analivaa tu!
 
L

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Messages
553
Points
1,000
L

Lihove2

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2018
553 1,000
Aliondoka na mikero kama yote kaniacha na furaha tupu
 
Smokey D

Smokey D

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
2,665
Points
2,000
Smokey D

Smokey D

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
2,665 2,000
Nakumbuka papuchi yake ilkuwa nzuri kitumbua kimetuna mbano. Yani nilkuwa nakula kitu kutoka peponi ni kimwaga nahisi namwaga bone marrow..
 
gh hussa

gh hussa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
1,768
Points
2,000
gh hussa

gh hussa

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
1,768 2,000
Write your reply...boksi langu niliifadhi misokoto na majani ya mmea aka bangi au cannabis sativa ilikuwa nzuri sana Nadhan kilikuwa kitu cha mererani au umbuluni kile nlikuwa najisevia taratibu Kama dozii aliamua kuondoka nalo Licha ya kujua kilichomo naskia alienda kulichoma moto


kokote ulipo mama malipo ni hapahapa duniani mungu atanalipia tu sio kwa dhuluma hiyo
 
Yedder

Yedder

Member
Joined
May 5, 2019
Messages
63
Points
125
Yedder

Yedder

Member
Joined May 5, 2019
63 125
Aliondoka na pc yangu, converse yangu, African boy yangu bora hvyo ila nilochoshanga zaidi kuondoka na boxer yangu na SHUKA langu moja na tukishaachana huwa sina shobo ya kukufatilia
 
Gonzalo Miguel

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
619
Points
500
Gonzalo Miguel

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
619 500
Dah! aliondoka na card ya chama.....mpaka sas nashndwa kuuzulia vikao vkubwa vya chama (CHAPUTa)😞😞😞pote ulipo naomba unirudishie au uje uwe kamashaid ili niipate ingine Mi amor😢😢
 

Forum statistics

Threads 1,306,791
Members 502,218
Posts 31,591,156
Top