Fungarakwaki
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,720
Binafsi hakuna ujumbe nauchukia kama ule wa "Ndugu mteja, umetumia 75% ya kifurushi chako". Huu ujumbe huwa unanikata sana yani.
Je, wewe ni ujumbe gani huwa unakukera kutoka kwenye hii mitandao yetu ya mchongo? Funguka hapa.
Je, wewe ni ujumbe gani huwa unakukera kutoka kwenye hii mitandao yetu ya mchongo? Funguka hapa.