Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

THAN0S

THAN0S

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2019
Messages
657
Points
1,000
THAN0S

THAN0S

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2019
657 1,000
Aliondoka na offer letter yakiwanja. Asee nilikiuza fasta kwa jamaa ambae alikuwa anafahamu fika kile kiwanja ni Cha kwangu
Waah ulikuwa umemuoa au ndo "baby come we stay"
 

Forum statistics

Threads 1,306,824
Members 502,218
Posts 31,592,653
Top