Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

Chrismoris

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
11,230
Points
2,000
Chrismoris

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
11,230 2,000
Aliondoka na degree yake. Aliyopata tukiwa pamoja.

Hatudaiani.
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
10,625
Points
2,000
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
10,625 2,000
Kulala mda huu haiwezekani, club mziki ni kama wote join me please kama hutojali
Ungeniambia mapema sasa manake hata mie leo usingizi hautaki kuja niko na movie hapa ...upo club gani?
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,220
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,220 2,000
Write your reply...boksi langu niliifadhi misokoto na majani ya mmea aka bangi au cannabis sativa ilikuwa nzuri sana Nadhan kilikuwa kitu cha mererani au umbuluni kile nlikuwa najisevia taratibu Kama dozii aliamua kuondoka nalo Licha ya kujua kilichomo naskia alienda kulichoma moto

kokote ulipo mama malipo ni hapahapa duniani mungu atanalipia tu sio kwa dhuluma hiyo
😂😂😂😂😂
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
9,220
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
9,220 2,000
Nimekuja kugundua kachukua vitu vingi kwangu......I hope Karma finds you before you die!!!!
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
8,270
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
8,270 2,000
Siwaamini tena wasichana nakuwa na 30 percent tu, wakati niliwaamini 70percent
 
mistari4G

mistari4G

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2019
Messages
233
Points
500
mistari4G

mistari4G

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2019
233 500
Write your reply...boksi langu niliifadhi misokoto na majani ya mmea aka bangi au cannabis sativa ilikuwa nzuri sana Nadhan kilikuwa kitu cha mererani au umbuluni kile nlikuwa najisevia taratibu Kama dozii aliamua kuondoka nalo Licha ya kujua kilichomo naskia alienda kulichoma moto

kokote ulipo mama malipo ni hapahapa duniani mungu atanalipia tu sio kwa dhuluma hiyo

Senge sana....

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,334,314
Members 511,934
Posts 32,472,567
Top