Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

Mm wa kwangu alisema anenda zanzibar alete sjui tv na redio yake wenyewe wanaitaje sijui mwaya nikaambiwa laki 8 nikaingia laini toka siku hiyo mpaka leo hapokei simu na zanzibar ikaishia hapoo ila nasema ipo siku yake yajaaa

Huyo Hassan kadoke kada wa fisiem Dodoma namlaani mpka kufaaaa
ndio tulikua tunafanya biashara akapita nazo hivi,yaani nimedai hadi nimechoka mwenzio.Ila Mungu anamuona sidhan kama jasho langu litaenda bure.
 
Doh kweli shoga angu huyu dude alikupiga kiujanja khaaa,pole mwaya atleast ungekua umeandikishiana nae ungemchukulia RB siku akiiingia line unampopoa hadi polisi.Shenzy zake kabsa huyu kada mpigaji.
Mm wa kwangu alisema anenda zanzibar alete sjui tv na redio yake wenyewe wanaitaje sijui mwaya nikaambiwa laki 8 nikaingia laini toka siku hiyo mpaka leo hapokei simu na zanzibar ikaishia hapoo ila nasema ipo siku yake yajaaa

Huyo Hassan kadoke kada wa fisiem Dodoma namlaani mpka kufaaaa
 
Achaaa tu namvizia siku hizi natembea na nyundo gar yake halal yang
Doh kweli shoga angu huyu dude alikupiga kiujanja khaaa,pole mwaya atleast ungekua umeandikishiana nae ungemchukulia RB siku akiiingia line unampopoa hadi polisi.Shenzy zake kabsa huyu kada mpigaji.
 
Mm wa kwangu alisema anenda zanzibar alete sjui tv na redio yake wenyewe wanaitaje sijui mwaya nikaambiwa laki 8 nikaingia laini toka siku hiyo mpaka leo hapokei simu na zanzibar ikaishia hapoo ila nasema ipo siku yake yajaaa

Huyo Hassan kadoke kada wa fisiem Dodoma namlaani mpka kufaaaa
1097792

Pole Demiss kwa kuhonga mwana CCM mwemzake na ndege JOHN
 
Huyu huyu jaman kaka simpendi huyuu nakwambia kanitapeli mshweeenz jaman ooooh siku nikimkamata gar yake nitaiharibu mbayaaa sanaaaa

Haha ila jamaa kibobo laki nane za mwanamke ni nyingi mlivyo bahiri wa hela zenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom