Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,374
- 40,420
huwa inatokea sikulaumNamaanisha hakuna ninaye mpenda kama yy
huwa inatokea sikulaumNamaanisha hakuna ninaye mpenda kama yy
Account number yangu.
Anirudishie tu maana hata hela hatumi tena.
Memory yangu 16gb ilkua na pics zangu nnazo zikubari sana dah
Hii kumbe ni ID ya soudybrown
afande afandeWe afande B, rudisha kiredio changu na hot pot langu. Kukuletea msosi isiwe sababu ya kudhulumu vyombo vyangu
Mwenza ukimuona mpe ujumbe tafadhali.
Nitamwambia mwenzaMwenza ukimuona mpe ujumbe tafadhali.
Hata sielewiHahaha, hivi hapo anaweza kukurudishiaje?
Utamu wake!funguka inawezekana yupo hapa akarudisha
haha fungua tu account nyingine u knowAliondoka na password yangu ya Insta , naumia mimi mwanaume wa Dizzim , u know
Hahaha pole sanaMm kaondoka na moyo wangu
haha fungua tu account nyingine u know