HahaaaaaaAccount number yangu.
Anirudishie tu maana hata hela hatumi tena.
Au kama vipi awe anatumapo vihela jamani.😂😂😂😂😂
Hebu dear x kama unasoma hapa urudishe a/c number ya watu
Penda tu tena muda bado unaruhusuMapenzi yangu. Kaniachia moyo wa kikauzu na mimi nataka kupenda tena
Au kama vipi awe anatumapo vihela jamani.
Karibu sanaMapenzi yangu. Kaniachia moyo wa kikauzu na mimi nataka kupenda tena
uliyewahi kuwa naye kimapenzi hayo mengine mi sijui kweliKwani Ex ni yule uliyemlala au ambye ulikuwa naye lakin haukumlala?
pole babaMemory yangu 16gb ilkua na pics zangu nnazo zikubari sana dah
ukipishana na mtu kavaa kama hiyo roho inaanza kuuma upyaTisheti yangu ya taifa stars..... Niliipenda sana
cheersAliondoka na moyo wangu na hakuthamini mapenzi yangu kwake ila sasa amefikia hatua anawaza kurudi kula matapishi ila Big No yameshakwisha kwani nafasi imeshajazwa
Watakuelewa wapenzi wa pirates of carribean tuDavy Jones
Kabisaukipishana na mtu kavaa kama hiyo roho inaanza kuuma upya
Mapenzi yangu. Kaniachia moyo wa kikauzu na mimi nataka kupenda tena
Namaanisha hakuna ninaye mpenda kama yyUnaishije