lhera
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,835
- 3,603
ShukhranHahaha pole sana
ShukhranHahaha pole sana
tuandamane na mm nirudishiwe boxer zanguArudishe saa yangu
Ex wangu kila Mwezi alikua akiniletea boxer na kadituandamane na mm nirudishiwe boxer zangu
Najiuliza ile saa ya kike ana vaa huko aliko😀😀😀tuandamane na mm nirudishiwe boxer zangu
Hapana sio mm, sijawahi kuletewa kadi wala kupeleka kadiEx wangu kila Mwezi alikua akiniletea boxer na kadi
Ndio wewe nini?
Kampa mwenzioNajiuliza ile saa ya kike ana vaa huko aliko
😀😀😀Mwizi mkubwa siku nikikutana nae atajutaKampa mwenzio
wivu huoMwizi mkubwa siku nikikutana nae atajuta
MIMI huwaga siwapi kitu,funguka inawezekana yupo hapa akarudisha
Halafu wanaume kama nyinyi mnakuwa na sura nzitoMIMI huwaga siwapi kitu,
NAGONGA TU, NABEBA MBEGU ZANGU KWENYE kondomu NAYE NAMWACHA ALONE, akizubaa hata nauli ya kurudia kwao halambi......!
Niko beautiful, ACHA TU.Halafu wanaume kama nyinyi mnakuwa na sura nzito
Mm napenda wenye sura ngumuNiko beautiful, ACHA TU.
ni pm picha yako nikupe yangu, ila usijichanganye......!
UJE NA NAULI YAKO.
Basi mm sio type yako....Mm napenda wenye sura ngumu
NdioBasi mm sio type yako....
Aliondoka na tamu yake kwa kweli sijapata mbadala wa K Yake.