Ex wako akikuomba utamnyima?

Ex wako akikuomba utamnyima?

Kuna mmoja tu, hata anikute na vitukuu nampa
Wengine

Haaahahahahahaaha! Kongosho umenigusa maini maana hata mm Kuna jamaa mmoja tu huyo akija kwa kweli hata kama yeye hajasema mm huwa nasema na nampa . mpaka huwa najiuliza kwa nn , nashindwa kupata jibu ana nn.
 
...Ni kweli kuna uhusiano ambao hauwezi kufutika kamwe ..but ..Uhusiano huo utumke sasa kujenga miradi ya kijamii but no ..to do..!!!
 
Just curious lara1,hata kama huwa anapiga game kali na anakudrive crazy kwa bed? :thinking:
 
Kwa sababu kawa "Jogoo la kuazima" eenh?

sio wa kuazima bana ila hiyo kitu sio yako peke yako. halafu ujue inategemea na sbb iliyowaachanisha. kama mmeachana huku mwapendana kwanini mnyimane mautamu Mtu8??????
 
Last edited by a moderator:
sio wa kuazima bana ila hiyo kitu sio yako peke yako. halafu ujue inategemea na sbb iliyowaachanisha. kama mmeachana huku mwapendana kwanini mnyimane mautamu Mtu8??????

hahaha we bi dada mbona wantisha mie!!! nitaafikiana na wewe kama tu bado mpo single, otherwise hiyo ni Hatareeee!!
hapo kwa RED kuna mushkeli, kama bado mna mahaba kwa nini kuachana sasa.
 
Last edited by a moderator:
hahaha we bi dada mbona wantisha mie!!! nitaafikiana na wewe kama tu bado mpo single, otherwise hiyo ni Hatareeee!!
hapo kwa RED kuna mushkeli, kama bado mna mahaba kwa nini kuachana sasa.

kuna sabb nyingi zinazowaachanisha watu ukiacha hiyo ya kukosekana kwa mahaba. ikitokea hivyo halafu mmekutana waweza shangaa mwenyewe unatafta pa kwenda kuduiana. lol.
 
kuna sabb nyingi zinazowaachanisha watu ukiacha hiyo ya kukosekana kwa mahaba. ikitokea hivyo halafu mmekutana waweza shangaa mwenyewe unatafta pa kwenda kuduiana. lol.

mara zote nimekua nikiwakwepa maEX kwa kuhofia kuvunja ndoa zao....si unajua mambo ya comparison...sasa nikitoa ile A-list game yangu naweza kuta nabishiwa hodi kila mara!!!
 
Mmh, tukienda kwa kufananisha kihivyo hatutafika

Nikuulize, unaweza kula chakula alichokula mwenzio afu akakitema??

Je, kwenye mapenzi mbona twala sana makombo na walivyotema wenzetu?
cc watu8

swali lingekuwa hivi; "waweza kula matapishi yako?" majibu yangekuwa the same?

cc Kongosho na shosti wake King'asti na bro wake Nyani Ngabu na washkaji zako wote! LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom