Ex-GF wangu kaolewa jana

Hii thread nimelazimika kuitafuta hadi nimeipata tena. Nilinangwa sana nilipoileta. Lakini juzi tuesday nimekutana na huyu dada (ex wangu) kwenye ukumbi wa hoteli nilikokuwa napiga deiwaka siku hiyo. She is doing very well financially and professionally. Na ana mtoto mmoja wa miaka 3. Lakini she broke up with the guy mwaka sasa na hataki kusikia lolote about him. Msiseme nafurahia, lakini I saw it coming. Walikuwa hawaendani hata ukiwaangalia unaona wazi. Imagine hata nilipompa pole kwa tukio hilo alisema hahitaji pole, labda pongezi kwa uamuzi mgumu. Na akasema she is happier now, kwa maneno yake "single but not looking".

Mi pia bado niponipo.

Kubalini tu kuwa mtu huwa anamjua mtu wake, kisichomfaa akikiona tu atajua hapa no.
 

mhhh kwa hyo unatuambiaje...au ndo mambo ya Kna Ina na angelo,true love standing the test of time?!!
 
mhhh kwa hyo unatuambiaje...au ndo mambo ya Kna Ina na angelo,true love standing the test of time?!!

Ninachosema tu ni kuwa I was right. Yule nilikuwa namfahamu kama ninavyojifahamu mwenyewe.
 
haahaahaa, kuna m1 ameniapia hivyo,, ngoja nione mwisho wake
 
Habari ndungu huwa sitembelei anga hizi lakini naona hapa imebidi....... Kama ameolewa hatakuwaje demu wako tena..... jamaa hamfai???? kumbuka..... True love is not finding a perfect man, but loving an imperfect man perfectly...

mweleze maana naona hajui huyu
 

'only you know you love her when you her go'
 
Umechelewa kijana, tafuta ulipojikwaa na c ulipoangukia!!! Upooooo!!!!!!
 
Ye anamuona anafaa we vipi,wivu tu,mie sipendi kuambiwaa hivyo eti huyo hakufai oooh mara hiv wakati mi hapo namuona kama malaika
 
this should have been brought to our attention 5 years ago

oooh...I feel you brother....

well its now 9 years ago...any posssibilities to make amends? Now that she is free from the "imperfect man"?
 


eti hakuna anayenifaa na wala hatatokea zaid yake, na miaka inasonga sion chochote juu ya kaul aliyojifariji nayo,

ni hivi:- km huyo binti ana msimamo hata wewe huna nafasi kwake ,,(siusemei MOYO lakin lol.!)
 
Last edited by a moderator:
Kama mwanga hivii, soo unataka kwenda kwake tena? Acha hizo bro, usijivike unabii wa giza hapa! Eti nilijua, wewe nani bana? Nyie ndo wanga wenyewe!
 
Mmmh.... Think like a man! Kwanini uliachwa?

Dont give answers like a woman while pointing fingers at someone!

Btw, keshaolewa huyo! Usimsumbulie ndoa yake tena kwa kukumbushia madhambi!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…