EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

Mbalamwezi salama Mkuu,Wazambia wananunua Mafuta kwetu kwa sababu hela yao muda mrefu against us dola inayumba sana kuna kipindi ilifika us dola mia kwacha milion na laki tano ndio maana wakibadilisha shilingi kwa kwacha wanaaona bora wanunue hapa kwetu kama sisi tunavyotaka kununua mafuta kutoka kenya..isanga home kwa sasa nipo Arusha Mkuu.ukiwa bara bara ya Namanga, tarakea au holili boda eti biashara ya magendo ni mafuta ya Taa? Yaani ni kazi kwa kuwa hapa kwetu yapo juu kwa sababu eti ya kuzuia uchakuchuaji ni akili hiyo mkuu kweli au wezi walitoa walitoa wazo ili waibe kisheria maana bunge si lilipitisha sheria ya kupandisha bei ya Mafuta ya Taa wakati katika masoko ya Nje haipo bei iyo..

MwanaIsanga,

sasa ndiyo ugundue kwamba hata shilingi yetu inazidi kuwa dhaifu against dollar kila kukicha kama wazambia wanavyopata shida na Kwacha yao. Na hii ina effect kubwa tunaponunua mafuta nje ya Nchi: Exchange rate.

Mafuta ya taa hayajawahi kuwa bei rahisi kule yanakotengenezwa. Na sisi hapa hayajawahi kuuzwa kwa bei rahisi. isipokuwa yalionekana bei rahisi machoni pa watumiaji kwa sababu serikali iliondoa kodi miaka ya nyuma. Otherwise ni mafuta yanayopatikana kwenye mchakato ule ule wa refining Petrol na Diesel, na gharama ni zile zile. Inasikitisha kuwa baada ya kuwa hayana kodi kwa miaka mingi, wengi wetu tunayaona kuwa ni ya masikini. Unajua hayo ndiyo yanaitwa JET A1 kwa jili ya ndege? Kwa hiyo hutegemei kwamba mafuta ya ndege yakawa bei rahisi, isipokuwa serikali iliamua kurejesha kodi yake, nadhani walitaka fedha zaidi kwenye bajeti ya serikali. japo ni kweli yalitumika saana kwenye uchakachuaji... wale wa arusha, Moshi na Kibaha Chalinze wanajua huu mchezo. Millions of kerosene ziliishia maeneo hayo...huko kwenu Tukuyu zilikuwa zinakuja lita chache tu mwashie taa.
 
A
Sielewi

1. single source data reference nimekuuliza awali uweke sheet zilizotumika zoote kwa 2013, 2014, 2015 nayasasa....hapo ndo tutapata comparison na valid analysis

tuende na moja moja nikiuliza mengi hatuendi sambambs.

Mkuu Ado, kwanza hiyo siyo data sheet. hata kama ina act kama data sheet, lakini hiyo ni Pricing Formular. Ilikuwa amended July 2015 serikali ilipoongeza tozo ya REA na Reli. kwa hiyo, tukiwa tunajadili trend ya pricing, especially mwaka huu wa fedha, tunachotakiwa kutafuta hapo ni CIF value ya mzigo kwa miezi unayotaka wewe, then unabadilisha hapo juu kabisa, unapata bei ya mwezi husika. Mimi sina CIF value kwa sasa, ila naweza kutafuta labda after time. Ukiwa na hiyo, umeagiza mzigo wako, unaweza kuingiza CIF value humo na ukakisia bei ya EWURA itakuwa around ngapi.
 
Kulikuwa na refinery industry yakwetu, kwa nn kisifufuliwe? Ili tuagize crude oil na swala la kusafisha kupata aina zote za mafuta libaki kwetu. Naamin hata gharama zitapungua kuliko sasa..
 
Mkuu Isanga, nimetafuta pricing ya South Africa ambako ulisema bei ya mafuta ni mjoja nchi nzima. Si kweli. wanapanga bei kwa zones. Kila zone ina bei yake. Ukihitaji niambie nikutumie PDF file ya bei hizo. Ndiyo maana nimeshauri tuangalie wenzetu nchi nyingine hali ikoje na wanaikabili vipi.
 
Nadhan swali langu lipo very clear mkuu kwahiyo pricing

adolay said:
Sielewi

1. single source data reference nimekuuliza awali uweke sheet zilizotumika zoote kwa 2013, 2014, 2015 nayasasa....hapo ndo tutapata comparison na valid analysis

tuende na moja moja nikiuliza mengi hatuendi sambambs.
 
Kulikuwa na refinery industry yakwetu, kwa nn kisifufuliwe? Ili tuagize crude oil na swala la kusafisha kupata aina zote za mafuta libaki kwetu. Naamin hata gharama zitapungua kuliko sasa..

Mecher, refinery yetu ya TIPPER ilifungwa mwaka 1999 kwa sababu teknolojia ilishapitwa na wakati sana na ilihitaji re investment kubwa kubadili teknolojia hiyo ili pia tuweze kujitosheleza. Viongozi wetu waliona afadhali tuifungilie mbali.
Ukitaka kuona ukweli wa hii, angalia nchi ambazo bado zina refinery kama Zambia na Kenya. Bado wanaagiza mafuta masafi ili wafidie deficit na bei zao na zetu kwenye pump hazitofautiani sana.

Kwa kweli ukiangalia sarakasi za gharama za mafuta, ni kwa serikali kuongeza wigo wa kodi kwenye maeneo mengine ambayo hayatozwi kodi stahili, ili sasa kwenye wese ambako inachukuliwa sh hadi 700 kati ya 1800 iweze kupungua.
 
Ado, nitakutafutia za kabla ya BPS. Utapatwa na mshangao utakapoona actually demmurage costs zilikuwa juu kuliko hizi unazoziona hapo. Lakini sikuahidi leo.

Leo hebu appreciate kwanza comparison ya prices kwenye nchi nyingine kama nilivyoonesha hapo. Unazionaje? Any comment?
 
Hatuwezi kujadili nakufikia muafaka kwa poromoko la bei ya mafuta kuanzia 2013......2014.....2015.....2016 kwa kutumia hiyo amended pricing fomula ya July 2015 pekee. Isipokuwa kucheki trendi ya tulikotoka na tuendako.

tunahitaji tujuwe za huko nyuma ni principle neede ya data analysis ilikufikia conclusion yakweli.
 
Mkuu Isanga, nimetafuta pricing ya South Africa ambako ulisema bei ya mafuta ni mjoja nchi nzima. Si kweli. wanapanga bei kwa zones. Kila zone ina bei yake. Ukihitaji niambie nikutumie PDF file ya bei hizo. Ndiyo maana nimeshauri tuangalie wenzetu nchi nyingine hali ikoje na wanaikabili vipi.

Huyu Mbalamwezi achaneni naye, kwanza ndiye Titus Kaguo anatetea ugali wake!
Issue ni simple: bila kujali kuwavbei INA kodi na mazagazaga mengine: kwanini variable moja (crude oil) inaposhuka by over 70%, dependent variable (pump price) ishuke kwa only 10%? While other variables hazijapanda hats by 20%?
EWURAwasitufanye watz wore wajinga. Hii in simple arithmetic. Na Mimi advanced maths ndio profession yangu.
EWURA ni madalali Wa petroleum moguls na lazima watumbuliwe jipu tu, hakuna namna nyingine, maana tumechoka sasa.
 
A
Hatuwezi kujadili nakufikia muafaka kwa poromoko la bei ya mafuta kuanzia 2013......2014.....2015.....2016 kwa kutumia hiyo amended pricing fomula ya July 2015 pekee. Isipokuwa kucheki trendi ya tulikotoka na tuendako.

tunahitaji tujuwe za huko nyuma ni principle neede ya data analysis ilikufikia conclusion yakweli.
do uwe mkweli, bei ya mafuta imeporomoka kwa kasi 2014 July hadi Februari 2015, ikastabilize, ikapanda, na imeanza kuporomoka tena Mwezi November 2015.
 
Huyu Mbalamwezi achaneni naye, kwanza ndiye Titus Kaguo anatetea ugali wake!
Issue ni simple: bila kujali kuwavbei INA kodi na mazagazaga mengine: kwanini variable moja (crude oil) inaposhuka by over 70%, dependent variable (pump price) ishuke kwa only 10%? While other variables hazijapanda hats by 20%?
EWURAwasitufanye watz wore wajinga. Hii in simple arithmetic. Na Mimi advanced maths ndio profession yangu.
EWURA ni madalali Wa petroleum moguls na lazima watumbuliwe jipu tu, hakuna namna nyingine, maana tumechoka sasa.

Mkuu,
hoja hujibiwa kwa hoja. Tunasaidiana kuelimishana, kwa sababu wengine tunaumia kwenye biashara zetu kwa mambo yaliyo wazi. Mimi ni mdau wa biashara hii na mafuta bei imeshuka. Kuna wajinga wachache wanapotosha ukweli eti bei haijashuka, mnataka yauzwe sh 200?

Sidhani kama wewe unazijua hesabu vizuri. Ungekuwa unazijua, usingechukua kigezo pekee cha crude oil pricing ukalinganisha na pump price ya mwananyamala. Kwa nini hutaki kuchukua bei ya white product kwenye soko la dunia ambapo sisi ndiyo tunaagiza kwa ajili ya soko letu? Ukishupalia bei ya crude oil ambayo hatuagizi, utajikuta huna point. Mnaelezwa ukweli mnaanza kuatack personalities...mmezoea kudanganywa kiasi kwamba hata ukweli wa wazi hamuutaki?

Kukusaidia tu, hebu fanya comparison ya bei za bongo na nchi nyingine. Hata mawese hamuexport nyie mnataka petroli ya bure?
 
Mbona yakipanda huwa yanapandishwa hapo hapo tena kwa uwiano wa asilimia mia moja?!
EWURA ni rafiki wa wauza mafuta bhana,mazingira yanaonesha hivyo,jamaa huwa hawakawii kupandisha bei
How do you expect to see changes wakati msimamizi wa organisation naye ana "lions share" kwenye hiyo kitu anasimamia?
Hili ni Jipu. Linahitaji Kukamuliwa, Mh Rais Kamua Jipu Hili. Halipo kwa Maslai ya Wananchi Wanyonge, Bali kwa Maslai ya Matajiri wa Mafuta.
Sijaona wa.kulikamua kabisa kabisa
 
Nove 2015 ......Janan 2016 mwezi mmoja?
Siyo mwezi mmoja. Imeanza kuporomoka mwezi November na hadi sasa inaporomoka. Effect yetu tumeanza kuiona December, bei zilishuka, Januari zikashuka tena, na kwa sababu hadi sasa kwenye wordl market zinashuka, tutegemee February na March zitashuka tena.
 
Hili jambo la wafanya biashara kutuibia halokubaliki. Hapa chin ni bei mbalimbali kuashiria utetezi wowote hauna maana

Overall cost to produce one barrel of oil

The collapse in the price of oil has squeezed energy companies and countries that were betting on higher returns. Herhe’s what it costs on average to pump a barrel of oil in the 20 biggest oil producing nations.

  • United Kingdom $52.50
  • Brazil $48.80
  • Canada $41.00
  • United States $36.20
  • Norway $36.10
  • Angola $35.40
  • Colombia $35.30
  • Nigeria $31.60
  • China $29.90
  • Mexico $29.10
  • Kazakhstan $27.80
  • Libya $23.80
  • Venezuela $23.50
  • Algeria $20.40
  • Russia $17.20
  • Iran $12.60
  • UAE $12.30
  • Iraq $10.70
  • Arabia $9.90
  • Kuwait $8.50

What it costs to produce oil - CNNMoney
 
MwanaIsanga, unanunua bei sawa na Malawi kwa sababu huenda kodi ya serikali ya Malawi ni kidogo sana. Na huenda kuna makampuni ya umma yanayouza mafuta pia. Nimezungumzia bei ya nchi kadhaa ili kuondoa dhana kwamba hapa mafuta tunaibiwa, akuibie nani wakati hata yanakotoka bei ndo hiyo? Ni vema pia tukajifunza kujadili issues kwa kuangalia outside the box, hasa kwa sababu pia tunajadili issue ambayo chanzo chake ni nje ya nchi. Uarabuni mafuta sh 1, 011.85 wewe ungependa uuziwe sh ngapi ukishaongeza kodi ya magufuli ya sh 700?
Sasa mnyambala hutaki nilinganishe na Marekani unasema sipo sawa, wewe unataka tulinganishe na Malawi, sawa, tofauti bado zipo hata na malawi kwa sababu ya sheria na viwango vya kodi.
Asante sana Kwa ufafanuzi kwahiyo kodi ya nchi yetu ni sh.700 Kwa Kila lita????
 
Wakuu, kuna issues hapa ziko straight na tuwe wakweli:

1. Amesema bei zinazotajwa per barrel ni za crude oil, na hivyo ni vizuri kuzingatia gharama zinazoongezeka kwenda white product. Hata tunapobisha lazima tuzingatie pia kwamba kuna gharama za refinery na transportation zitaongezeka tukizungumzia bei ya mafuta safi.

2. Kuna gharama za usafiri na Bima (CIF ) zinaongezeka pale kwenye bei ya mafuta safi.

3. Mafuta yaliyopungua bei leo hapa yatauzwa baada ya miezi miwili kwa sababu za kuyanunua, kusafirisha

4. Tusisahau kuwa serikali yetu inachukua kodi kwenye mafuta karibu sh 600.

5. Kwenye website yea ewura kuna matangazo ya bei ambazo hutolewa kila Jumatano ya kwanza ya mwezi, ni vema tukaangalia iwapo bei ya mafuta imekuwa na tabia gani hivi karibuni? Nimeangalia katika miezi miwili ya hivi karibuni bei zimekuwa zikishuka.

6. Kwa nini tunasema mafuta huwa yakipanda soko la dunia basi bei huwa zinapanda mara moja wakati ukweli ni kuwa bei hutangazwa mara moja tu kwa mwezi? Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi. Tujadili haya kwa ufahamu wetu, bila hiyana wala choyo.
Bado EWURA jipu bhana,sasa unataka kutuambia tatizo kodi au usafiri,unaambiwa kenya mafuta ni sawa na Tshs 1,200/= sisi shida ni nini?lengo kutukomoa walaji au ni kukuza uchumi?
 
[QUOTE="Mbalamwezi, post: 15167067, member: 6077"]Siyo mwezi mmoja. Imeanza kuporomoka mwezi November na hadi sasa inaporomoka. Effect yetu tumeanza kuiona December, bei zilishuka, Januari zikashuka tena, na kwa sababu hadi sasa kwenye wordl market zinashuka, tutegemee February na March zitashuka tena.[/QUOTE]

Pole mkuu ......kushuka au kuporomoka ni tangu miaaka 2013 , 2014. soma hapa chin usitufanye hatuelewi utupotoshe.

Je hoja ya miezi miwili bado validi? au wizi wa mchana kweupe?

Oil price rebounds after falling below $28 a barrel
  • 18 January 2016
  • From the sectionBusiness
_87722142_87722141.jpg
Image copyrightGetty Images

The oil price has rebounded after falling below $28 a barrel as oil producers' group Opec predicted crude would mount a recovery this year.

Brent crude, used as an international benchmark, fell as low as $27.67 a barrel, its lowest since 2003, before recovering to trade at $28.86.

The price of US crude was $29.65 a barrel after hitting $28.36.

Investors fear the lifting of Western sanctions on Iran could worsen the existing oversupply problem.

Iran's deputy oil minister Roknoddin Javadi has expressed confidence the country can produce an extra 500,000 barrels per day.

Phillip Futures analyst Daniel Ang said the earlier price drop was due to concerns about Iran. "This means we will be seeing a bigger oil glut with Iranian crude exports coming back to the market," he said.

However, Opec said in its January market report that it expected to see the price of crude begin a rebalancing process in 2016.

The group forecast that in the next six months non-Opec members would be unable to sustain production because of the continuing low oil price.

Excess supply
The decision to lift the sanctions against Iran came on Sunday after the international nuclear watchdog, the IAEA, said Iran had complied with a deal designed to prevent it developing nuclear weapons.

Iran has the fourth largest proven oil reserves in the world, according to the US Energy Information Agency and any additional oil would add to the one million barrels a day of over-supply that has led to a more than 70% collapse in oil prices since the middle of 2014.

Analysts said Iran already had quite a lot of oil ready to sell.

"Iran has quite a large storage of oil at the moment. They are in a position to sell that if they choose to do so and increase supply quite quickly," said Ric Spooner, chief market analyst at CMC Markets.

The drop in the price of oil has been driven by oversupply, mainly due to US shale oil flooding the market.

At the same time, demand has fallen because of a slowdown in economic growth in China and Europe.

Historically, Opec has cut production to support prices. But led by Saudi Arabia, by far the group's most powerful member, the group has resolutely refused to trim supply this time.

Analysts expect supply to continue to outstrip demand over the next two years, which would keep prices low.

HSBC chief executive Stuart Gulliver said that he expected the price of oil to settle at between $25 and $40 in one year's time.

"Major producers are currently delivering 2-2.5 million barrels per day more than demand, so the question is how long they can continue to overproduce for at that level," he said, speakingat the Asia Financial Forum in Hong Kong.
 
Ado
[QUOTE="Mbalamwezi, post: 15167067, member: 6077"]Siyo mwezi mmoja. Imeanza kuporomoka mwezi November na hadi sasa inaporomoka. Effect yetu tumeanza kuiona December, bei zilishuka, Januari zikashuka tena, na kwa sababu hadi sasa kwenye wordl market zinashuka, tutegemee February na March zitashuka tena.

Pole mkuu ......kushuka au kuporomoka ni tangu miaaka 2013 , 2014. soma hapa chin usitufanye hatuelewi utupotoshe.

Je hoja ya miezi miwili bado validi? au wizi wa mchana kweupe?

Oil price rebounds after falling below $28 a barrel
  • 18 January 2016
  • From the sectionBusiness
_87722142_87722141.jpg
Image copyrightGetty Images

The oil price has rebounded after falling below $28 a barrel as oil producers' group Opec predicted crude would mount a recovery this year.

Brent crude, used as an international benchmark, fell as low as $27.67 a barrel, its lowest since 2003, before recovering to trade at $28.86.

Ado, pole pole.
"Brent crude, used as an international benchmark, fell as low as $27.67 a barrel, its lowest since 2003, before recovering to trade at $28.86." Unaelewa maana yake? naona wewe hapa ndiyo panakubabaisha useme imeshuka kuanzia mwana 2003.

"...over-supply that has led to a more than 70% collapse in oil prices since the middle of 2014" hii quote yako from BBC inaspoti nilichokwambia.

Hiyo quote ya juu mtafute mtu mwingine akufafanulie maana unaona nakupotosha.
 
Back
Top Bottom