EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

Hoja ya high transport cost.

swali kwa Mbalamwezi
Tulipokuwa tunauziwa mafuta petrol ....mm niko mbeya kwanza ufaham ...2300/lita petrol 2013/2014say transport cost ilikuwa ni kutoka huko sokoni hadi dsm kisha mitaani.

a. tuligharamia asilimiangapi ambayo ikaaffect mafuta kufikia 2300/lita petrol kumbuka bei ya crude oil at least 120 a barrel .... at least.

p>
1usd = 1729 January 2015 .....this should be 2014 kiasi kwamba tukauziwa mafuta kwa 2300/lita.....tafadhali ikiwezekana weka numbers na asilimia ya usd contribution

tunaendelea.
 
Ili niendelee nasubiri maelezo au majibu ya mfanyabiashara wa mafuta bwana Mbalamwezi ajibu hoja zangu hapi juu...ilituanze maswali yakihesabu na ukokotozi kama anafaham itambidi atusaidie kujibu kwa maaswali yetu kama tutakavyouliza.
 
Mkuu Adolay, asante. Lakini kabla hatujaenda mbali tafuta thread ambayo kuna mtu ameweka formular ya ewura ya kupata bei, na kwa uelewa wako haitakupa shida. La pili, fanya ulinganifu wa bei hizo ktk nchi kadhaa hata sita tu upate picha kamili ya hili suala la bei.
 
Maswali lingine
Tunaomba fomula ya ukokozi iwekwe hadharan.

kwa muda mrefu hiki ndio kichaka cha wizi wote kwenye biashara ya mafuta kwa serikali zetu za kiafrika sio Tanzania tu. sasa hii fomula iwekwe hadharani ili wapiga kelele wajiridhishe na taifa kwa ujumla.

Tuondoe dukuduku na tuache majibu yakiasa kuporomoka maneno mengi matupu bila facts wala data.

Fumula please .....ewura niwezi ...wezi waku na wahujum uchumo, wakishirikiana nawafanya biashara na wanasiasa....utetezi wowote kuwatetea ewura lazima uendane na
-data...with respect to time
-Fumula, percent increment/decrease, ratio and proportions etc
-Technical suports if any

Hatuhitaji siasa kabisa na kabobo tuwe realistic.
 
hii imekatwa, bei inayoonekana ni ya petroli tu. Hata hivyo itasaidia kutoa indications za gharama zinazowekwa humo, ikiwa ni pamoja na kodi za serikali. Adolay soma kwa makini na lete uchambuzi hapa. Next tafuta bei za nchi nyingine ufanye ulinganisho...hakuna siasa hapa
screenshot_2016-01-22-09-53-40-png.318449
 
Mkuu Mbalamwezi naomba nieleweshe inakuaje Botswana..bei ya mafuta Nchi zima ni moja hata Malawi,Namibia achili mbali South Africa hauoni ni kama ni wizi tuu huo kwa kutumia sheria..soda inauzwa bei moja Tanzania nzima na viwanda vipo baadhi ya maeneo inakuaje katika mafuta..mnamuongezea mtumiaji gharama ya usafirishaji ndani ya Nchi ?
 
Mbalamwezi
kwasababu unawatetea ewura, ndio tunakuta utushawishi tuamini utetezi wako.

please rejea maelezo nakauli zako kwamba --Tunadanganywa ewura wako sahihi ....how? ......maelezo yako

-Nimeassume data nyingi.....maelezo yako (ufaham ukokotozi wangu nimebase kwenye data na maelezo kutoka ufafanuzi wa ewura)

Umetoa sababu zakiasa sio kitaalamu

Tetea hoja zako kitaalam, ilitujuwe unajuwa unachokijadili kama hufaham please usitupotezee muda kusubiria majibu yakisiasa yasiyoeleweka, this is a serious case not a propaganda or polical
 
Kila sehem ni wizi, wizi, wizi.....no matter hatuendelei
madini ....wizi wakutupwa

gas....wizi wakutupwa

mafuta ....wizi hovyohovyo

ohoo dola....transport cost....tax...production cost.....nknk

weka fomula hapa tuchambue...msitufanye wajinga kutushawishi kisiasa mambo yakitaalamu...tujadili kitaalam fullstop
 
Mbalamwezi
1. Analysis yoyote hufanywa kwa data za miaka tofauti in this case hiyo table ya ya tukio moja la mwezi na mwaka huohuo?
-tuwekee table zingine kama hiyo tuanze mjadala weka za 2013/2014 ..........na walau by the begining 2026 ( tunajadili kuporomoka mafuta kwa kipindi 2013/2014 - 2015/2016

2. Je hiyo table ilkuwa na data fixed throughout the year? why and how na unawezaje ku-measure variation from a single data kama ulivotuma? fafanuwa

3. Hayo nimaelekezo baada ya ukototozi wa cost mbalimbali is not a fomula.....umepewa
mfano unakokotowaje transport cost ya dsm to morogoro na ile ya kigoma na inaaffect nini kwenye kupanda au kushuka dola refere utetezi wenu
 
Adolay,

asante kwa kuonesha kiu na kuuliza maswali safi. Botswana ikiwa bei ya mafuta ni moja nchi nzima basi sababu kubwa ni internal policies za nchi husika, ambapo hapa Tz bei ya mafuta inaanzia Dar (entrance) na inaongezwa sh 50 kwa kila kilomita kadiri unavyotoka mjini. Hii ina maana bei ya Dar ndiyo lowest.

Sera za ndani za nchi ndizo zinazosababisha nchi nyingine serikali zao kuweka ruzuku kwenye mafuta ili wananchi wao wasiumie sana...hata Nigeria kwa mfano, miaka yote wamekuwa na ruzuku hadi mwaka juzi serikali yao ilipoona haiwezi kuendelea kubeba hilo, ikaondoa ruzuku na mafuta yakapanda sana bei na wakaandamana sana...

Nimeangalia nchi kadhaa kwa ulinganifu: katika mtandao wa Gasoline and diesel prices by country | GlobalPetrolPrices.com
1. UAE petroli inauzwa Dirham 1.69 ambazo sawa na sh 1,011.85.
2. Marekani dizeli ni wastani wa 0.57 US Cents (sh 1,253),
3. Nigeria US cents 0.72 (sh 1,583)
4. Mozambique US Cents 0.75 (sh 1,649.15)
5. Singapore Us cents 0.70 ( sh 1,539)
6. Dar es Salaam sh 1,747.

Tukiwa tunataka kuwa werevu ni vizuri tukaacha kando hasira na mihemuko na kujaribu kuutafuta ukweli.
 
Adolay,

hii formula ndiyo inayotumika sasa. Components zote ziko fixed hapo isipokuwa tu bei ya mafuta na transport charges (CIF). Hii hubadilika mwezi kwa mwezi kutokana na gharama za mzigo husika kwa wakati huo. Na hii formula ilijadiliwa na kupitishwa na wadau wote kwenye mikutano ya wazi...tatizo huwa tunaenda Fiesta wakati wa kujadili mambo muhimu. Ukiangalia hapo faida ya mfanyabiashara ni sh 95 kwa retailer na 110 kwa wale wa jumla.

Issue si kutetea, ninaeleza hali halisi maana kuna upotoshwaji mwingi sana.

Zaidi, kanuni huweza kubadilishwa ikiwa kuna major issues mfano serikali imeongeza au kupunguza ushuru, na masuala mengine yasiyokuwa ya serikali amendments hufanywa kwa kuwashirikisha wadau wa sekta.
 
Adolay,

hii formula ndiyo inayotumika sasa. Components zote ziko fixed hapo isipokuwa tu bei ya mafuta na transport charges (CIF). Hii hubadilika mwezi kwa mwezi kutokana na gharama za mzigo husika kwa wakati huo. Na hii formula ilijadiliwa na kupitishwa na wadau wote kwenye mikutano ya wazi...tatizo huwa tunaenda Fiesta wakati wa kujadili mambo muhimu. Ukiangalia hapo faida ya mfanyabiashara ni sh 95 kwa retailer na 110 kwa wale wa jumla.

Issue si kutetea, ninaeleza hali halisi maana kuna upotoshwaji mwingi sana.

Zaidi, kanuni huweza kubadilishwa ikiwa kuna major issues mfano serikali imeongeza au kupunguza ushuru, na masuala mengine yasiyokuwa ya serikali amendments hufanywa kwa kuwashirikisha wadau wa sekta.

kuna mambo hatuend sawa
Tunajadili kuporomoka kwa bei ya mafuta na kujibalaguza kwa serikali yetu....ukonokono na utetezi hafifu.

1. Chochote tunachokijadili kiweke reference ya comparison nini kilifanya bei ikafikia 2300/lita petrol ambacho tukifaham sasa ilitujuwe kwanini mafuta hayashuki kama tunavyotarajia japo huko yatokako yameshuka...sokon ( Tunaongelea kushuka kwa uwiano wa kimahesabu yaan kushuka sana gharama za malighafi hupelekea bei za bidhaa kushuka pia parcentage wise.)

2. utetezi wa ewura umetaja mambo meengi lakin wewe unasema yapo fixed nani mkweli hapa ......Mbalamwezi au ewura

3. Jambo moja tunaweza kukubaliana sasa...policy yetu....(Wizi umejificha hapa). Je kama policy/sera mbovu ambayo inawabeba wafanyabiashara ilkuibia wananchi ....hapa sio ndio tupopalalamika? au wizi katika kichaka cha policy ni halali?

4. Tunapataje uwiano wa kuporomoka crude oil na kutoshuka bei hapa kwetu.....contribution yake to local pump sales or retail price
 
Mkuu Isanga family,

salama huko? au uko Nzovwe?

Unajua kuna miezi ya hivi karibuni pale Tunduma kuna magari ya Zambia yalikuwa yanavuka kuja kwetu kujaza mafuta kwa sababu huku ilikuwa cheap zaidi? Na kuna wakati tulikuwa tunaenda kuuza mafuta kule kwa njia za magendo...tukakamatwa. Tukaacha.

Gharama za usafiri zinaongezeka kadiri umbali unavyoongezeka. Hata wewe zile mbao na mchele unaowapelekea wabongo huwa unaongeza bei ya usafiri.

Sina hakika njia gani wanatumia hizo nchi nyingine, lakini kumbuka hapa major transport system ni sekta binafsi. Labda tungekuwa na treni inayobeba mafuta ingesaidia sana kupunguza gharama.
 
Mkuu unapozungumzia bei ya Marekani wakati kipato cha watu wa kule tofauti na hapa haupo sahihi kabisa,, sisi tunapohoji inakuaje mimi ninunue Malawi bei sawa na Tanzania wakati mafuta yanapita hapa kwetu..
 
Adolay, kwanza umeona comparison ya bei za nchi zingine hapo juu?

Gharama za kodi na mazaga zaga mengine yako fixed, kinachobadilika kila mwezi ni bei ya kununulia mafuta plus usafiri, hata hiyo table ukiwa nayo wewe home, ukiwa na namba au bei ya kuingiza pale kwenye CIF then utaweza kufanya hesabu kwa kuongeza yoote ya pale chini ili upate final price. Hii ina maana kuwa, kwa mujibu wa kanuni hiyo, mafuta ya mwezi huo, yalifika bandarini kwa gharama ya sh 840.09 kabla ya kodi. Pump price ikaja kuwa 1,898. Tofauti ya hiyo ina maana ni kodi sh 752 na faida ya wauzaji na mazagazaga mengine.

Huelewi nini sasa?
 
Mkuu unapozungumzia bei ya Marekani wakati kipato cha watu wa kule tofauti na hapa haupo sahihi kabisa,, sisi tunapohoji inakuaje mimi ninunue Malawi bei sawa na Tanzania wakati mafuta yanapita hapa kwetu..

MwanaIsanga, unanunua bei sawa na Malawi kwa sababu huenda kodi ya serikali ya Malawi ni kidogo sana. Na huenda kuna makampuni ya umma yanayouza mafuta pia. Nimezungumzia bei ya nchi kadhaa ili kuondoa dhana kwamba hapa mafuta tunaibiwa, akuibie nani wakati hata yanakotoka bei ndo hiyo? Ni vema pia tukajifunza kujadili issues kwa kuangalia outside the box, hasa kwa sababu pia tunajadili issue ambayo chanzo chake ni nje ya nchi. Uarabuni mafuta sh 1, 011.85 wewe ungependa uuziwe sh ngapi ukishaongeza kodi ya magufuli ya sh 700?
Sasa mnyambala hutaki nilinganishe na Marekani unasema sipo sawa, wewe unataka tulinganishe na Malawi, sawa, tofauti bado zipo hata na malawi kwa sababu ya sheria na viwango vya kodi.
 
Ado,
hakuna anayebisha kwamba kuporomoka kwa bei ya crude hakuna effect kwetu. Isipokuwa, kwa utaratibu wa kuyaleta mafuta, effect hiyo itaja onekana miezi miwili mbele, kumbuka hilo. Hayo mafuta ghafi yanakwenda refinery kwanza, then yanakuwa exported kuja kwetu...hili la kuzingatia sana.

Na si kweli kwamba bei zinawahi kupanda. Bei zinabadilika kila Jumatano ya Kwanza ya mwezi, na zinatangazwa. Mtu hawezi kubadilisha bei zaidi ya hapo, labda aamue kushusha mwenyewe
 
Mbalamwezi salama Mkuu,Wazambia wananunua Mafuta kwetu kwa sababu hela yao muda mrefu against us dola inayumba sana kuna kipindi ilifika us dola mia kwacha milion na laki tano ndio maana wakibadilisha shilingi kwa kwacha wanaaona bora wanunue hapa kwetu kama sisi tunavyotaka kununua mafuta kutoka kenya..isanga home kwa sasa nipo Arusha Mkuu.ukiwa bara bara ya Namanga, tarakea au holili boda eti biashara ya magendo ni mafuta ya Taa? Yaani ni kazi kwa kuwa hapa kwetu yapo juu kwa sababu eti ya kuzuia uchakuchuaji ni akili hiyo mkuu kweli au wezi walitoa walitoa wazo ili waibe kisheria maana bunge si lilipitisha sheria ya kupandisha bei ya Mafuta ya Taa wakati katika masoko ya Nje haipo bei iyo..
 
Adolay, kwanza umeona comparison ya bei za nchi zingine hapo juu?

Gharama za kodi na mazaga zaga mengine yako fixed, kinachobadilika kila mwezi ni bei ya kununulia mafuta plus usafiri, hata hiyo table ukiwa nayo wewe home, ukiwa na namba au bei ya kuingiza pale kwenye CIF then utaweza kufanya hesabu kwa kuongeza yoote ya pale chini ili upate final price. Hii ina maana kuwa, kwa mujibu wa kanuni hiyo, mafuta ya mwezi huo, yalifika bandarini kwa gharama ya sh 840.09 kabla ya kodi. Pump price ikaja kuwa 1,898. Tofauti ya hiyo ina maana ni kodi sh 752 na faida ya wauzaji na mazagazaga mengine.

Huelewi nini sasa?

Sielewi

1. single source data reference nimekuuliza awali uweke sheet zilizotumika zoote kwa 2013, 2014, 2015 nayasasa....hapo ndo tutapata comparison na valid analysis

tuende na moja moja nikiuliza mengi hatuendi sambambs.
 
Back
Top Bottom