EWURA: Tunaomba sana kesho utufanyie jambo lililotukuka

Makebo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2025
Posts
1,979
Reaction score
2,390
Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu

Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na bidhaa ili tuweze kujipatia faida juu ya faida.

Kwa wale washangiliaji, mtakatifu Trump amewasikia vilio vyenu, sasa jiandaeni kula ugali kwa chumvi, chapati za karatasi na mazoezi ya kutembea umbali mrefu

Ameen.
 
EWURA wameniangusha, ongezeko ni dogo sana, tuombee mwezi ujao

1772639480438.png
 
Ndio maana tulisema tutasingizia mengi sana.Mtu amepigika...
 
Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu

Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na bidhaa ili tuweze kujipatia faida juu ya faida.

Kwa wale washangiliaji, mtakatifu Trump amewasikia vilio vyenu, sasa jiandaeni kula ugali kwa chumvi, chapati za karatasi na mazoezi ya kutembea umbali mrefu

Ameen.
Hahahahahaaaaa dogo kobaz
 
Kuna watu watatoa mlio muda sio mrefu

1772640041908.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom