Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

Usipoweza kujipa wewe mwenyewe umuhimu then wewe ndiye mwenye shida.

Umuhimu wa mwanamke unapatikana kwa mwanaume ila umuhimu wa mwanaume anajipatia yeye mwenyewe hakuna mwanamke duniani wa kukupa umuhimu
Asa shida inakuja pale unaompa umhimu halafu anakuangu hapo ndo ina affect hata umhimu uliojiwekea mwenyewe
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kupoteza thamani zao, kisa Wali date na kuoa wanawake wajinga.

Mr kweka tayari anaingia hatiani na kuteswa watoto wake kisa mwanamke mpuuzi.

Unajua kuna kitu kimoja ambacho sisi wanaume tunajisahau sana.

Mwanamke sio mauwa kama wasemavyo walimwengu, mwanamke ni mtu kama wewe, sio kiumbe dhaifu, sio kiumbe cha pekee. Usimpe umuhimu sana utapoteza.

Wanaume wengi sana wamejitoa kusaidia binadamu wenzao(wenye akili, mikono, na miguu kama wewe) eti kisa ni wanawake.


Kuna clip moja ya fundi mwashi naona ni bora nishee nanyi maana huenda elimu zenu zinawaponza, mnasahau kutumia busara zenu mlizo jaaliwa na mwenyezi Mungu.

View attachment 3685906
Hawa wanawake wenye uchafu kichwani mwao Kamwe wasikupannde kichwani.

Yaani wanataka kuendesha wanaume kwenye kila sekta, ukikosa hela unaitwa bahili, ukiwa na hela ukawa busy unaambiwa hujali, ukichoka na kazi ukaleta shoo mbovu unaambiwa sio rijali. Sasa hawa viumbe wanataka nini?

Wanaume, tuache kuwa washamba wa hizi mbogo, Kamwe usiruhusu mwanamke akupande kichwani. Ishi maisha yako bila kutaka validation ya Mwanamke. Acha kabisa kuwapa kichwa hawa viumbe, utapoteza na utamharibu maisha yako na akili ya afya.

Kwa yaliyo tokea mpaka sasa, Ikawe funzo kwenu wanaumme.

You should never give a shit, to a woman. Especially if their intention is to use you. Usiwe mdhaifu wa kihisia mpaka uka fall kwenye traps za mwanamke utapotea

Eti unakuta dume zima linakosa focus kazini kisa limeshindwana na mwanamke.

Stop the bs, man up and leave her behind, kipindi unamchukua alikuwa yukoje, mwache atarudi aliko toka.

Once a hoe will always be a hoe.

Ni hayo tu, nimeona niwape hii reminder muhimu.
Kwa "Mario" ni kawaida kwani mwanamke ndiye kaoa.
 
anakuwa anakupenda.

Kila mwanamke kuna MTU ANAYEMPENDA yeye type yake,ila si mara ZOTE anaolewa na MTU ampendaye.. anaweza akakubali kuolewa na MTU yeye asiyempenda kabisa KWA sababu ya mafanikio ili kunufaika na maslahi binafsi Fulani kadhaa WA kadha huku hisia zake moyo wake ukiwa una belong kwingine KWA mwingine ila mwili wake umeolewa na mwingine.
 
Back
Top Bottom