Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

Moderator hawana huruma dah
Lakini huyu Kanye west mpya akiendelea kama hivi alivyokuja itapendeza

Niliona tu kwenye ule uzi wangu kule nikajua kabisa huyu ni yuleee
Ila sasa huyu Kanye west hana dhamana
Aisee ni dhahiri kabisa alimwe maana kwa zile nyuzi zake za kuita wanawake vikaragosi alikosea sana kwa kweli.

Binafsi ni wakati wa mimi kuweza kufuta uchafu na makosa yake yote aliyokwisha kuyafanya wakati anatumikia kifungo chake.

Je, Unge penda kutoa neno gani kwake ili aweze kujitambua na kutokuwa na ego mbaya ya kudhihaki wengine na kujiona kuwa yeye ni wa maana?
 
Si kukupenda bali kukubali upendo wake kwake na kurudisha kwa kukuridhisha zaidi

Wanawake wanapenda for real KWA DHATI precisely wanajua wanachokipenda hawabahatishi,akikupenda amekupenda KWELI ,kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume(EMOTIONS zipo juu KWA wanawake)

wanaume wanatamani.TAMAA Kali sana kama ya MNYAMA ubwa 🐶 kwa kiwango kikubwa kuliko wanawake wanavyotamani wanaume.
 
wanawake wanajua wanachokitaka hawabahatishi wanajua wanayempenda AKIPENDA AMEPENDA..when a woman love...she love for real(R.kellys).
 
Mara nyingi mnawapenda watu wasiowapenda wala kuwa na hisia na ninyi.

Na huo ndiyo mtihani mwenyezi Mungu alituwekea binadamu.

Sure
Hata kwenye swala la KUPATA watoto wanawake wanajua wanayetaka kuzaa naye hata kama yupo kwenye ndoa hawabahatishi WAKO very precise..unaweza mwanaume ukalea watoto hata sio WAKO(na hii imetokea hata sio mara moja ...sidhani kama hata wanaruhusu watu kupima DNA za watoto randomly ,mana wengi wanalea watoto sio wao)

SULUHISHO UPATE MWANAMKE MWENYE HOFU YA MUNGU PIA..plus OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA this will solve a lote of issues za ndoa.
 
Aisee ni dhahiri kabisa alimwe maana kwa zile nyuzi zake za kuita wanawake vikaragosi alikosea sana kwa kweli.

Binafsi ni wakati wa mimi kuweza kufuta uchafu na makosa yake yote aliyokwisha kuyafanya wakati anatumikia kifungo chake.

Je, Unge penda kutoa neno gani kwake ili aweze kujitambua na kutokuwa na ego mbaya ya kudhihaki wengine na kujiona kuwa yeye ni wa maana?
Watu walishasema na hakusikia mimi ni nani ni maisha yake aliyochagua

Japo inaonekana kuna situation anapitia lakini angejaribu kua na mipaka tu na kujifurahisha kwake isiwe kero kwa wengine
 
Wanawake wanapenda for real KWA DHATI precisely wanajua wanachokipenda hawabahatishi,akikupenda amekupenda KWELI ,kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume(EMOTIONS zipo juu KWA wanawake)

wanaume wanatamani.TAMAA Kali sana kama ya MNYAMA ubwa 🐶 kwa kiwango kikubwa kuliko wanawake wanavyotamani wanaume.
Mkuu binafsi naona kila kiumbe kiko sawa tu,
. Mwanamke anaweza kupenda na mwanaume pia anaweza.

Ila sisi wanaume huwa ni vin'gang'anizi sana tunapenda kuji zima data then tukipigwa matukio unaanza kujiliza
 
Watu walishasema na hakusikia mimi ni nani ni maisha yake aliyochagua

Japo inaonekana kuna situation anapitia lakini angejaribu kua na mipaka tu na kujifurahisha kwake isiwe kero kwa wengine
Kwakweli maana de Gunner alisema kuwa huwa anafanya haya just for fun. Na hakuna mtu anataka amuumize ila watu wanaishia kuwa triggered sana. Na alisema ya kuwa wewe pia ni mmoja wao, eti matani kidogo tu unaanza kulia lia kama mtoto.

Anyways nahisi hii ban ya miezi 6 itampa somo zuri sana, hata hivyo sasa amesema atawekeza hiyo nguvu katika vitu productive
 
Back
Top Bottom