Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

Kwakweli maana de Gunner alisema kuwa huwa anafanya haya just for fun. Na hakuna mtu anataka amuumize ila watu wanaishia kuwa triggered sana. Na alisema ya kuwa wewe pia ni mmoja wao, eti matani kidogo tu unaanza kulia lia kama mtoto.

Anyways nahisi hii ban ya miezi 6 itampa somo zuri sana, hata hivyo sasa amesema atawekeza hiyo nguvu katika vitu productive
Mimi ni mmoja wao
Ila nasikitika sana kwa sababu hakuniangalia kwa jicho la upendo akaishia kupandisha bipolar na kusema ni miongoni mwa vikaragosi woiiiiiii 😅😅

Angetuwekea kwanza pic yake tupate kulinganisha basi
Ila ndio hivyo huwezi ku deal na mwenye maumivu maana hana cha kupoteza

Mimi utani napenda mnoo ila uwe ndani ya mipaka

Karibu Kanye west jukwaani tuendelee kujadili na kujifunza kukosoana kwa hoja 🪑
 
Naskia alikuwa anawashambulia mpaka mods kwa kufuta nyuzi zake za kuwasema wanawake wa jf... Aisee.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Sema unayajua mabandiko yako,
Hapo unawavutia upepo tu,wakikaa vibaya unaruka nao... baada ya siku mbili unakuja na code mpya.
 
Mimi ni mmoja wao
Ila nasikitika sana kwa sababu hakuniangalia kwa jicho la upendo akaishia kupandisha bipolar na kusema ni miongoni mwa vikaragosi woiiiiiii 😅😅
Hahaha pole sana kwa Kadhia hiyo iliyo kukumba mrembo, ila jua tu de Gunner huyafanya yote yale kwa ajili ya fun, maisha halisi hawezi kabisa kufanyia mtu mwingine, hata ubavu wa kutukana mtu haha kabisa.
Angetuwekea kwanza pis yake tupate kulinganisha basi
Ila ndio hivyo huwezi ku deal na mwenye maumivu maana hana cha kupoteza
Hahaha, aisee yule anachekesha sana, ukute ana pisi mama Amina akasome!
Mimi utani napenda mnoo ila uwe ndani ya mipaka

Karibu Kanye west jukwaani tuendelee kujadili na kujifunza kukosoana kwa hoja 🪑
Sasa kumbe wewe wapenda matani,

Sasa rafiki, matani hayawezi kuwa matani yasipo vuka mipaka, sema kuvuka zaidi nayo ni mbaya. Kweli yawezekana de Gunner alizidisha sio kwa kupingwa na kila mtu

Asante sana, na ni naahidi kuwa mshirika mzuri na kumsafisha de Gunner kwa uchafu mbaya alio Wacha hapa jukwaani.

Asante.
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Sema unayajua mabandiko yako,
Hapo unawavutia upepo tu,wakikaa vibaya unaruka nao... baada ya siku mbili unakuja na code mpya.
Mkuu,

Unajua fika kabisa mimi siye huyo unaye mzungumzia japo pia mimi sio mgeni.

Ila katika pitapita zangu jukwaani nilikuwa naona jinsi de Gunner alivyokuwa akipeleka mashbulizi mabaya kwa wadada wa jamiiforums aisee, ni kheri alichapwa ban ya miezi 6 kabisa
 
Hahaha pole sana kwa Kadhia hiyo iliyo kukumba mrembo, ila jua tu de Gunner huyafanya yote yale kwa ajili ya fun, maisha halisi hawezi kabisa kufanyia mtu mwingine, hata ubavu wa kutukana mtu haha kabisa.

Hahaha, aisee yule anachekesha sana, ukute ana pisi mama Amina akasome!

Sasa kumbe wewe wapenda matani,

Sasa rafiki, matani hayawezi kuwa matani yasipo vuka mipaka, sema kuvuka zaidi nayo ni mbaya. Kweli yawezekana de Gunner alizidisha sio kwa kupingwa na kila mtu

Asante sana, na ni naahidi kuwa mshirika mzuri na kumsafisha de Gunner kwa uchafu mbaya alio Wacha hapa jukwaani.

Asante.
Muda utasema 📌
 
Hajui wewe huna rafiki
Mtu akikusogelea lazima utamchafua tu
Ana jizima data
Hahaha
De gunner ni kweli alikuwa na tabia mbaya ya kuwafanya watu wachafuke, ila haikuwa intention yake mama, drama na attention ndo vilivyo muweka mjini. Ila kanituma nije nifute kabisa tabia ile chafu.

Mimi Nitakuwa muwakilishi mwema na Nita hakikisha ban yake ya miezi 6 inafanya kuwa mtu bora kabisa humu jukwaani
 
😅 Unaanzaje ?
Wewe Binti wa zamani ni kati ya wachache miompelekea moto de Gunner mpaka kufikia hatua ya kuwa mtu mbaya jukwaani na kuanza kudhihaki wanawake wote na kuwaita vikaragosi🤣

Ni wakati sahihi wa yeye kufocus katika mambo productive ili akifanikiwa mje mumpigie magoti kwa vilio vya kumtaka kisa kafanikiwa
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kupoteza thamani zao, kisa Wali date na kuoa wanawake wajinga.

Mr kweka tayari anaingia hatiani na kuteswa watoto wake kisa mwanamke mpuuzi.

Unajua kuna kitu kimoja ambacho sisi wanaume tunajisahau sana.

Mwanamke sio mauwa kama wasemavyo walimwengu, mwanamke ni mtu kama wewe, sio kiumbe dhaifu, sio kiumbe cha pekee. Usimpe umuhimu sana utapoteza.

Wanaume wengi sana wamejitoa kusaidia binadamu wenzao(wenye akili, mikono, na miguu kama wewe) eti kisa ni wanawake.

Kuna clip moja ya fundi mwashi naona ni bora nishee nanyi maana huenda elimu zenu zinawaponza, mnasahau kutumia busara zenu mlizo jaaliwa na mwenyezi Mungu.

View attachment 3685906
Hawa wanawake wenye uchafu kichwani mwao Kamwe wasikupannde kichwani.

Yaani wanataka kuendesha wanaume kwenye kila sekta, ukikosa hela unaitwa bahili, ukiwa na hela ukawa busy unaambiwa hujali, ukichoka na kazi ukaleta shoo mbovu unaambiwa sio rijali. Sasa hawa viumbe wanataka nini?

Wanaume, tuache kuwa washamba wa hizi mbogo, Kamwe usiruhusu mwanamke akupande kichwani. Ishi maisha yako bila kutaka validation ya Mwanamke. Acha kabisa kuwapa kichwa hawa viumbe, utapoteza na utamharibu maisha yako na akili ya afya.

Kwa yaliyo tokea mpaka sasa, Ikawe funzo kwenu wanaumme.

You should never give a shit, to a woman. Especially if their intention is to use you. Usiwe mdhaifu wa kihisia mpaka uka fall kwenye traps za mwanamke utapotea

Eti unakuta dume zima linakosa focus kazini kisa limeshindwana na mwanamke.

Stop the bs, man up and leave her behind, kipindi unamchukua alikuwa yukoje, mwache atarudi aliko toka.

Once a hoe will always be a hoe.

Ni hayo tu, nimeona niwape hii reminder muhimu.
 
Back
Top Bottom