Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniamhongera Sanabia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
Hongera sana
 
Naamini wife yuko mbioni kulipa kisasi kama hiki. Na mimi nimemtegea afanye kosa kama hilo. Atabeba makosa yangu yote
 
Kwahiyo mkeo ameliwa mkuu?..na unaendelea kulala nae kitandana kimoja..Hell nah.

Sema kwa sababu hii ni chai basi acha nikanunue mkate na blueband
 
Nilimkuta I kama alivyozaliwa baada ya mtoto wa watu kujisitiri

Kumbuka kuwa Huyu alikuwa mke wa Mtu tayar lkn mtoa mada alimkuta mtoto wa watu kujisitiri..

Uchumi wa Kati
 
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
Mke wa mtu umemkuta kama alivyozaliwa?!
 
Mnavyopeana mimba nini maana yake?

Kwamba mnatafuta mtoto aliyezaliwa kutokana visasi vya wazazi au

Tuheshimu watoto ht kama hawana kauli.

Kisasi akisaidii,mwanamke/mwanaume hayupo mmoja Na sio lazima muendelee na mahusiano.
 
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
Mke wa mtu halafu umemkuta kama alivyozaliwa......

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ahahaha..hebu ngoja nijifanye kam hii sio chai kwanza..

Sasa mkuu huyo mtot akizaliwa sijui utakua unajiskiaje ukiwa unamwangalia...ZAO LA KISASI...dah...
 
Unajichanganya kusema mke wa mtu umemkuta anajitunza yupo kama alivyozaliwa! Kwamba ni bikira Ama! Anawezaje mke wa mtu kuwa bikira? Na Kama sio bikira, anakuwaje kama alivyozaliwa!!!
 
Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
Alijifunza nini mke wa mtu anajitunzaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom