Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

nasisitiza ukiamua kuchkua maamuz haya ucsahau kutembea na "kimbo" Kama lubricant chochote kinaweza kutokea

Muhudumu Leta chai
Bahati mbaya sana najiamini kupita kiasi hiyo kimbo atembee nayo yeye sio mimi
 
Umelipa kisasi sawa je umefikiria maisha ya huyo kiumbe ajae yatakuwaje vp akinyongwa pindi jamaa akijua

We na huyo mwanamke mna matatizo bora mngechepuka bila ya kuleta kiumbe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom