Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Kuna jamaa kaninyandulia sana mke wangu, Mzee nilijifanya fala tu sijui kinachoendelea,kimya kimya nikaanza kupanga mikakati ya kumtafuta mke wake, haikuwa kazi rahisi kwasababu nilikuwa simfahamu, mwezi mmoja baadaye nikafanikiwa kupata namba yake tukaanza kuwasiliana, miezi mitatu baadaye nikamtia mikononi, mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

Baada muda fulani nikalazimika kumwambia sababu ya kutembea naye ilikuwa ni kulipa kisasi kwasababu mumewe anatembea na mke wangu,hakushtuka hata kidogo akaniambia anamjua mumewe ni kiwembe,ana watoto wawili nje ya ndoa, akaniambia nayeye anatamani sana alipe kisasi kama nipo tayari tukapime ngoma ili nimtie mimba ,tukakubaliana iwe hivyo tayari nimeshamtia mimba tunamsubiri ajaye

Nawashauri nyote mnaosalitiwa na wake zenu waume zenu msikurupuke ,dawa ni kulipa kisasi tu mkiamua kusameheana sameheaneni mkiwa ngoma droo,sio mnasameheana halafu mnabaki na vinyongo mioyoni mwenu,usipolipa kisasi utakuwa na kinyongo tu hatimaye magonjwa ya moyo.
Hii safiiii
 
Jamaa kachapa mkeo kwasababu anamwona ni pis kali, tko,tako, hips nk.
Wewe umelipa kisasi tu lakini mzigo haujakuvutia.
Huwezi enjoy kama anavyoenjoy jamaa kwa mkeo.
Wenzenu wananyanduana kwa hisia.
Jiandae kulea mtoto wa nje ya ndoa uone vurugu zake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa kachapa mkeo kwasababu anamwona ni pis kali, tko,tako, hips nk.
Wewe umelipa kisasi tu lakini mzigo haujakuvutia.
Huwezi enjoy kama anavyoenjoy jamaa kwa mkeo.
Wenzenu wananyanduana kwa hisia.
Jiandae kulea mtoto wa nje ya ndoa uone vurugu zake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Uko sahihi mkuu,Ila naye anavutia sana akichojoa kwa nje utamdharau
 
Inawezekana hii ni chai iliyopikwa juzi ikawekwa kwenye chupa kwa siku kadhaa,sasa umeamua tuinywe,iwapo ni tukio la kweli,Huoni kama wewe bado tunakuona fala,sababu wewe ndio ulianza kuchapiwa,badala utafute jibu kwanini mkeo alikusaliti unaanza hangaika na visasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom