Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

UMELIPA KISASI KIFALA SANA ULITAKIWA UMWONYESHE MUHUSIKA ILI NAE AUMIE
 
Sawa
tapatalk_1574068945033.gif
 
Mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

UWONGO MWINGNE DOOO HV MKE WA MTU ANAKUA BIKRA KWEL AU NI MIMI SIJAELEWA
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Mke wa mtu umemkuta kama alivyozaliwa kivipi? Hebu fafanua vizuri hapa.
 
Mke wa mtu umemkuta kama alivyozaliwa wakati mm3 wake umeambiwa ni kiwembe, hicho kiwembe alikua hakinyoi mkewake?
 
mtoto wa watu alijitunza sana yaani nilimkuta kama alivyozaliwa.

UWONGO MWINGNE DOOO HV MKE WA MTU ANAKUA BIKRA KWEL AU NI MIMI SIJAELEWA
Mimi sijaelewa pia. Sasa kama alikuwa bikra si inamaana hatoi gemu kwa mumewe wa ndoa sasa akimuoa wa kazi gani?!

Sasa mbona ana mlaumu mumewe kutoka nje, sasa kama hampi alikubali kuolewa ili iwaje?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom